TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,266
- 25,555
Bahati siyo yetu Tanzania au Afrika kwamba binadamu mwenye uwezo wa aina ya huyu anakuja na kuondoka na hawezi kutumika ipasavyo.
Kwanza wanapenda HAKI na ujue kabisa watu wanaopenda HAKI siyo rafiki wa maovu.
Vinginevyo kwa haya tunayoendelea kusoma anayomwaga huko mahakamani eeh bana NO!, huyu jamaa Mungu amlinde.