Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho.
• Algeria 🇩🇿
• Angola 🇦🇴
• Congo DR 🇨🇩
• Egypt 🇪🇬
• Guinea 🇬🇳
• Libya 🇱🇾
• Morocco 🇲🇦
• Nigeria 🇳🇬
• South Africa 🇿🇦
• Sudan 🇸🇩
• Tanzania 🇹🇿
• Tunisia 🇹🇳
"Leo wananchi wanahamishwa, unapelekwa eneo unajengewa nyumba, unakuta hospitali, shule, unapewa hati ya nyumba, mimi naomba leo nitangaze rasmi naitwa Ole Kishoa ili nipelekwe kule na mimi nikapewe nyumba ya bure kabisa" - Jesca Kishoa, Mbunge Viti Maalum.
Chanzo: EastAfricaTV
Huwa napenda...
Habari wanaJamvi,
Natumaini siku yenu inaendelea vizuri.
Kama ilivyotajwa hapo juu, natafuta anayeshughulika na BioGas hapa Bongo. Nahitaji sana.
Asanteni.
Waziri wa fedha amechemka. Maana hata takwimu alizotoa hazilandani na kilichomo kwenye bajeti.
Na hii bajeti haikufanyiwa utafiti
Profesa Lipumba: Bajeti ya Serikali mbovu kuwahi kutokea.
=========
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameikosoa bajeti ya Serikali...
Salaam Wakuu,
Wizara ya Elimu imesema Tanzania itajenga Chuo Kikuu cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Jijini Dodoma. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, Dkt. Francis Michael Mkoani Dar es Salaam tarehe 19 Juni 2022 wakati wa kutiliana saini za...
Huwezi kuchanganya pamoja watu wanaoongeka idadi na wanyamapori wanaongezeka idadi kwenye eneo moja lisiloongezeka ukubwa milele. Kuendelea kufanya hivyo ni kuminya uhuru wa watu na wanyama hao.
Kama ilikuwa sahihi miaka mingi iliyopita haiwezi kuwa sawa Sasa na hata kesho na kesho kutwa...
Serikali kupitia Wizara ya Afya imeingiza ugonjwa wa Sikoseli katika mpango mkakati wa kupambana na magonjwa yasiyoambukiza ili kuweza kupambana nao na kuhakikisha huduma za vipimo na matibabu zinapatikana katika vituo vya kutolea huduma za afya ngazi ya msingi.
Hayo yamesemwa leo na Naibu...
It's advantage mikopo yake hutolewa haraka sana baada ya bank kujirizisha na thamani ya asset iliyopo na actually value it has,
It's loan are very fast even good for businessmen.
Kiukweli huku Bara hawana vichwa kabisa na hata huko Tanzania Visiwani wanatembelea nyota ya maalim Seif (RIP). Nani anawapa nguvu ya kufurukuta hawa ACT Wazalendo?
Ni katika muemdelezo wa sakata la wamasai wa Ngorongoro.
Bi Maria Sarungi ambaye ndiye mtu namba moja aliesimama kwa hali na mali kuwapigania Wamasai wa Ngorongoro ameamua kuishtaki serikali ya Tanzania kwa Mwanadada Beyonce na mumewe Jay Z.
Vita ya uchumi ni mbaya sana.
Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi, kumekuwa na utaratibu wa kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa. CCM imekuwa ikichukua lion's share. Hapohapo mkulima wa Tanzania anayezalisha chakula hapati ruzuku ya pembejeo. Kati ya mkulima na vyama vya siasa nani anastahili ruzuku?
Jamii imeshauriwa kujitokeza kwa wingi katika zoezi la kuchangia damu kwa lengo la kusaidia jamii yenye uhitaji kwa kuwa kuna upungufu wa damu maeneo mengi yenye uhitaji.
Imeelezwa kuwa uhitaji wa damu uliopo Nchini ni kati ya chupa laki tano na nusu mpaka sita huku akiba iliyopo ni chupa laki...
Ukiangalia mataifa mengine utaona kwamba yamepiga hatua kubwa mno kimaendeleo kutokana na matumizi sahihi ya Rasilimali zao.
Botswana na Nchi ya Falme za Kiarabu (UAE) especially Dubai au hata Libya utaona namna uwekezaji sahihi ulivyobadili kabisa maisha ya wananchi toka ufukara mpaka kuwa na...
Wakati mwingine unajiuliza kama kiongozi wetu anaelewa anachokifanya ama haelewi chochote kabisa.
Juzi rais akiwa Kagera akasema kodi inayopaswa kukusanywa ni ya mwaka mmoja nyuma tu, miaka ya nyuma mamlaka zilikua wapi. Hapo ndio palinifanya kujiuliza kama rais wetu ana ufahamu hata wa sawa na...
Habari za Usiku mabibi na Mabwana...
Niende kwenye Hoja.. VODACOM mmetupatia huduma ya M pesa Visa card aisee mmeturahisishia Usumbufu wa Mabenki ya ndani haswa, ulikua ukienda pale CRDB haki ya mama ukitaka kujiunga Online Banking unatazamwa mara mbili mbili, anachukua card yako anakwambia...
Habari!
Hii siijui niitaje kwa lugha ya kawaida isiyoumiza. Ila facts zitabaki kuwa facts.
Tembo , twigs, digidigi , paa n.k wamepewa thamani halisi.
Ukiwagonga kwa bahati mbaya utalipishwa kwa thamani yao halisi.
Tembo thamani yake iko kama 35 milioni za kitanzania. Huyo tembo akitoroka...
Majibu yenu ni muhimu Kwangu kwani kuna Mtu nasikia analalamika Maagizo yake hayafanyiwi Kazi haraka kama ya Waziri mwenye Wizara ambayo hapo kabla Yeye ndiyo ilikuwa Wizara yake na aliimudu vilivyo kwa Kutubania Fedha Watanzania hadi ikawa Ngumu kuipata ila Yeye na aliyemteua ( sasa kalala...
Watu wa Soka,
Naitwa Hussein Massanza. Ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano; Pia Afisa Habari na Msemaji wa Singida Big Stars FC (zamani DTB FC).
Timu yetu imefanikiwa kupanda daraja na kufuzu kucheza Ligi Kuu kuanzia msimu ujao wa 2022/2023, hivyo nitumie fursa hii kuwashukuru mashabiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.