tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Haijapata kutokea: Ndani ya Miezi 2 mastaa ya mpira duniani wanafurika Tanzania. Hongera Samia wewe ndo Deng Xiaoping wangu

    Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana! Mastaa hawa wanapiga picha kwenye mbuga zetu za Serengeti na Ngorongoro na maeneo ya Zanzibar na wanazipost kwenye pages zao...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa Kemikali mbalimbali nchini Tanzania

    Habari Kwa mahitaji ya chemicals mbalimbali, kama vile, ▶️CAUSTIC SODA ▶️HYDROGEN PEROXIDE ▶️SULPHURIC ▶️ACTIVATED KABONI ya (india,Philipines na usa) ▶️SODIUM CYNIDE ▶️SULPHONIC ▶️CAUSTIC SODA ▶️NITRIC ACID ▶️FORMALINE ▶️SODA ASH ▶️CMC (sodium methyl cellulose) ▶️SODA ASH ▪️TITANIUM DIOXIDE...
  3. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yazidi kuibomoa CHADEMA. Je, hizi nguvu wanazitoa wapi huku Tanzania bara?

    Wamebomoa ngvu ya Chaso vyuo vikuu kibao 👇
  4. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Mwarabu hakuwahi kuweka National Park Tanzania, kwa nini?

    Walikuwepo miaka yote, walieneza Dini ya Uislamu na utamaduni wao ndicho pekee walichoacha, lakini kwa nini hawakuwahi kuunda National Park ?
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni The Voices From Within kuwa "Japo Hawakutendewa Haki Ndani ya Chama Chao Chadema Kwa kufukuzwa Kwa kuvuliwa uanachama Kikangroo na CC ya Chadema iliyokaa as a kangaroo court, ikawavua...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Ushirikina bado upo sana katika siasa za Tanzania!

  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Balozi Mulamula atumia Mkutano wa CHOGM kuitangaza Tanzania

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki chini ya uongozi wa Waziri Liberata Mulamula imeendelea kutumia majukwaa ya kimataifa kuitangaza nchi na fursa zake kama sehemu ya utekelezaji wa diplomasia ya uchumi. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Baada ya zuio la miaka 21, Tanzania yaruhusiwa rasmi kupeleka bidhaa ya nyama nchini Saudi Arabia!

    Baada ya zuio la miaka 21, Saudi Arabia imeruhusu kampuni mbili za kitanzania kuingiza nyama nchini mwao Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi tueleweni jamani! Hii ni baada ya jitihada alizofanya kuongea na Serikali ya Saudi kutuondolea zuio hili Uchumi unafunguka kweli na nchi inafunguka...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Muda si mrefu Tanzania na Watanzania tutavuna tulichopanda kwa kukumbatia Katiba iliyopitwa na wakati

    Mjadala wa Katiba umekuwa ni suala la muda mrefu sana na watanzania walio wengi wanalichukulia ili suala kimasihara masihara lakini ukweli ni kwamba tukiendelea na hii Katiba muda si mrefu itatupatia dikteta wetu. Katiba hii imempa rais madalaka makubwa mno , rais anauwezo hata wa kulivunja...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dirisha la usajili Tanzania kufunguliwa Julai 1 kufungwa Agosti 31, 2022

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa taarifa rasmi ya dirisha kubwa la usajili kwa vilabu vinavyo shiriki ligi zote zilizopo chini ya shirikisho hilo la soka nchini Tanzania. Taarifa hiyo itavihusu vilabu vyote vinavyoshirki ligi kuu ya NBC Tanzania bara,ligi daraja la kwanza...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ngorongoro?

    Kabla hatujaanza kuchagua upande wa kusemea kuna maswali ya kujiuliza kuhusiana na suala zima la Ngorongoro, Kuna maeneo mengi sana nchini Tanzania watu wanahamishwa kupisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Baadhi ya sehemu hizo wapo wnaaolipwa fidia na wapo ambao hawaambulii chochote. Katika...
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yatangaza Operesheni Maalum kuondoa Wahamiaji haramu eneo la Ngorongoro na Loliondo

    Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania --- Kamishna Jenerali wa Jeshi la...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya maisha kati ya Tanzania na Somalia ni vita, ila ugumu wa maisha huwenda ikawa bora zaidi kule Somalia

    Tuna amani, sawa..! Ila cha moto tunakipata Kwamba 10,000 inaishia kwenye lita moja tuu ya mafuta ya kupikia na tena ni ya kupima yenye viwango vya chini kabisa cha uzalishaji Kwamba ukiwa na 20,000 unarudishiwa 10,00 tu kwenye kilo kumi za sembe ambapo mahindi tunalima wenyewe Kwamba ukiwa...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Morison aibu kwa mpira wa Tanzania

    Kwa tunavyofahamu mpira ni kazi kama zilivyo kazi zingine na mtu ili apewe kazi tabia na mwenendo ni kitu muhimu sana. sasa record za Morrison hazirizishi hata kidogo na kundelea kubaki kucheza Tanzania akilipwa ni dhararu ndio kitu kinampa jeuri, hii itawapa nafasi hata wachezaji wengine...
  15. GAGL

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Grofin Tanzania iko wapi?

    Naomba msaada, kwa anayejua walipo Grofin Tanzania kwa sasa anisaidie. Walikuwa Msasani, Chole Road lakini tumeambiwa wamehama.
  16. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee ambapo ujinga unatetewa na kundi kubwa la watu

    Wasalaam wana JF Katika kipindi cha miaka sita iliyopita nchi yetu ilishuhudia utawala usiofuata sheria na kutojali haki na heshima za binadamu. Watanzania wengi walikua wamekatwa mikia na kugugumia. Haki za kisiasa na kiraia ziliporwa na watu waliumizwa kimwili na kiuchumi na wengine kupoteza...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kunahitajika Adhabu kali; hali ni tete Tanzania

    Sina haja ya kubwabwaja sana, matendo na vitendo vinavyotendwa katika hujma mbalimbali humu Tanzania ni vya kusikitisha na kuhuzunisha sana. Mauaji ya ovyo ovyo, watu kukatwa mapanga mchana kweupe usiku ndio usiseme, na yote hayo hufanywa na watu wa rika mbali mbali na wakati mwengine au...
  18. Kufa c mwiko

    JamiiForums Tanzania Jaji Dkt. Adam Mambi aheshimu ratiba na majukumu yake, tunaoteseka ni wenye mashauri kwake

    Nianze kwa kukupa pole na majukumu mazito ya kulijenga taifa letu. Mimi kama mwananchi nina maoni au ushauri kuhusu Jaji Dkt. Adam Mambi wa Mahakama Kanda ya Kati DODOMA. Sina shaka hata chembe na utendaji wake nikili wazi tatizo lipo kupanga ratiba za kazi zake, mtu unasafiri kilomita 500...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya figo yanakua kwa kasi Nchini Tanzania, sasa ni 6%

    Imeeleza kuwa matatizo ya magonjwa ya figo ni tatizo la Kidunia kwa kuwa takwimu za magonjw aya figo ni 10% wakati ndani ya Tanzania takwimu za nchi ni 6% Serikali inajipanga katika mambo mengi, kwanza ni kutoa elimu ya afya mfano kula na mazoezi, pili kuna usalama wa chakula na usalama wa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yaikopesha Tanzania shilingi bilioni 195 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Usambazaji wa Maji safi Shinyanga

    Na Eva Ngowi, Dar es Salaam Serikali ya Ufaransa kupitia Shirika lake la Maendeleo la Ufaransa (AFD), imetia saini mkataba wa kuipatia Tanzania mkopo wa Euro milioni 75 sawa na takriban shilingi bilioni 195 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Usambazaji wa Majisafi na Usafi wa Mazingira katika...
Back
Top Bottom