Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Safari yangu ya kuelekea Uganda imekaribia na licha ya kujifunza humu kuwa kuna fursa nzuri ya biashara kule nimeona nikatafute mke mwema huko nirejee naye Tz niagane na ubachela.
Si kwamba kwetu sijaona, la hasha nataka! Kuchanganya damu. Wataalam kuna shida ya kuvusha mke mpakani au nikioa si...
"Mimi nimestaafu lakini moyo wangu ni Tanzania, na mimi nawashauri Watanzania kuipenda Tanzania. Ukiipenda Tanzania, utaitumikia Tanzania, na ndio itapata maendeleo."
- Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, katika hafla ya kuagwa rasmi jeshini.
CC: swahilitimes
CHONGOLO MGENI RASMI KIKAO CHA WAKUU WA SHULE ZA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA- ASUBUHI HII.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, Leo Ijumaa tarehe 15 Julai, 2022 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kikao cha Wakuu wa Shule za Umoja wa Wazazi Tanzania.
Kikao hicho...
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inafikiria kuanzisha Benki ya Maendeleo itakayokidhi mahsusi mahitaji ya ufadhili wa wafanyabiashara wadogo na wa kati (MSMEs) nchini Tanzania.
Benki ya AfDB, ambayo imekuwa ikisaidia ukuaji wa makampuni makubwa ya kibiashara ya Tanzania kwa njia mbalimbali...
Habari za wasaa wakuu.
Wakuu leo nilikuwa natafakari mwendo wa Uchumi wetu katika nyanja hizi mbili ila nikaona niwashirikishe wadau wa JF nione maoni yao .
Ila kwanza nianze na tafakari zangu binafsi kwa pande zote .
1.The Royal tour inamchango mkubwa kwasababu nchi yetu bado Uchumi wake uko...
Mikataba 10 ya ujenzi wa viwanda vikubwa 500 vya kuchakata nafaka, kuuza na kununua mazao, ufugaji samaki, usafirishaji bidhaa kimataifa utakaokamilika mwaka 2025.
Mikataba 9 ya uwekezaji wa eneo maalum la viwanda la Sino Tan Park ambavyo ni Kwara vilivyopo Kibaha mkoani Pwani.
Viwanda hivyo...
Wakati Watanzania wengi zaidi wakiendelea kujiunga Mtandaoni, kasi ya ukuaji wa Watumiaji hailingani na uelewa uliopo kuhusu hatari zinazoweza kutokea katika Mitandao
Ripoti ya CIPESA inasema Watumiaji wengi wa Intaneti hawafahamu kuhusu uhalifu mtandaoni au kwanini wanahitaji kulinda Faragha...
Yaani Beki Abdallah Shaibu 'Ninja' wa Yanga SC anajua kabisa kuwa hana hata Namba Yanga SC hii yenye Majembe tupu na Msimu uliopita kama kuna Mechi ya Ligi aliyocheza basi ni Moja na hata za Kirafiki pia kacheza chache cha Kushangaza Jana ameongeza tena Mkataba wa Miaka miwili zaidi kuendelea...
Dar es Salaam. If you believe that growing rice, maize and other crops that have traditionally been grown for food would not make business sense, then you far off the mark.
While it is true that Tanzanians have traditionally grown rice, maize, sweet potatoes, bananas, beans and sorghum mostly...
No Joke- Rais Samia Ametengeneza ajira nyingi zaidi ndani ya kipindi cha miezi 18 kuliko Marais wa Tatu waliopita Tanzania.
Amerejesha asilimia 90 ya kazi zilizopotea chini ya janga la Corona.
Amepandisha madaraja na mishahara kwa Watumishi wa Sekta ya Umma kwa asilimia 23 jambo ambalo...
Ualbino sio ulemavu bali ni kundi lenye mahitaji maalumu.
Maana ya ualbino. Ni hali ya upungufu wa chembe chembe za rangi ya ngozi, nywele, na hata macho. Upungufu huo husababisha mtu au mnyama kuwa na ngozi nyeupe au macho yasiyo kuwa na rangi.
Ulemavu. Ni hali ya kuwa na hitilafu ya kudumu...
Idadi ya watalii waliotembelea Tanzania miezi mitano iliyopita imeongezeka hadi kufikia 458,048 huku nchi ya Kenya ikiwa ni miongoni mwa nchi zilizoingiza watalii wengi.
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) katika taarifa yake iliyotolewa hivi karibuni kuhusu watalii walioingia Tanzania kati ya...
Habari Wana JF,
Ufisadi Tanzania sio kitu kigeni nimekaa kwa kipindi kirefu, nimefanya Utafiti usio rasmi nimegundua kuna vitu vinne ambavyo vinafanya uendelee kuwepo kama Ifuatavyo:
1. KATIBA, kwanza haina makali pili viongozi wengi hawawajibiki kwa Wananchi, wanafanya kazi kwa ajili ya...
Wadau kwema,
Naomba msaada ni wapi kupata recent GIS Shapeline ya Tanzania inayoonyesha kata, wilaya, na mikoa ya Tanzania.
Nimejaribu katika website ya NBS Tanzania lakini naona kuna shape za 2015.
Msaada naomba mwenye ufahamu wa hii taaluma.
Kuna Watu wanapenda sana kutufanya Watanzania Wote ni Mabwege Mtozeni kama walivyo.
Tukutane kuanzia Mechi ya Ngao ya Jamii na endeleeni tu Kukariri na kujipa Moyo kuwa Msimu wa 2022 / 2023 utakuwa ni kama wa 2021 / 2022.
Machafuko Mafuriko FC endeleeni Kusajili na sasa tunangojea mumsajili...
Habari JF ,Kiuhalisia unapozungumzia sifa NZURI za kiongozi hasa kwa Ngazi ya Urais huwa Hatuna kiongozi Bora ila tuna Mwanasiasa Bora au Kiongozi Mzalendo.
Kiongozi bora maana yake ni Mwanasiasa Bora na ni Mzalendo pia kupata mtu mwenye sifa hizi Mbili ni Ngumu sana kwa hiyo ni either utapata...
Ogopa sana taifa ambalo lenye bora kiongozi na sio kiongozi bora. Rais wa Sri Lanka alikua bora kiongozi, yeye alikuwa anafanya mambo kuwafurahisha wananchi bila kuangalia madhara yake hapo mbeleni.
Alikuwa akikopa mikopo mikubwa isiyo na unafuu na kufanya mambo ambayo yameifanya Sri Lanka...
Nimeangalia ruti za Shirika letu sijaona Dar-Nairobi, kuna sababu yoyote ya msingi labda ? Kwani hiyo ruti kwa maoni yangu ni nzuri hata kwenye mambo tu ya utalii, mfano kuna mashirika mengi makubwa ya ndege hayatui Dar lakini yanatua Nairobi halafu Kenya airways inaleta abiria mpaka Tanzania...
Mimi ni Mkenya na niko na jamaa wameoa mabinti toka Tanzania.
Nimependezwa sana na ukarimu na unyenyekevu wao. Wanawake wengi huku Kenya ni Magaidi, kiburi, wanapenda kushindana na wanaume kwa ndoa na wanajifanya wazungu kuliko hata wazungu wenyewe, ukijaribu kujadiliana nao wanaforce accent...