tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Kenya tumeweka ruzuku kwenye mafuta. Rais Museveni asema hiyo haisaidii yeye ataka Magari ya Umeme

    Wakati Tanzania tunapata unafuu wa Bei za mafuta kupitia ruzuku lakini Rais Museveni wa Uganda amesema ruzuku haisaidii lolote. Uganda wameanza Mfumo wa kuyabadili magari yaanze kutumia Umeme. Rais Museveni alikuwa akichangia nada kwenye kikao cha wakuu wa nchi za EA. Chanzo: ITV Habari
  2. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Kwa zaidi ya miaka 60 Tanzania haijawahi kutenga bajeti ya TZS 985Bl kwa ajili ya Elimu wala kuisamehe HESLB TZS 1.1 Trl ni Rais Samia tu 2025

    KASI YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA ELIMU, CCM YATOA NENO KWA RAIS SAMIA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu, unaendelea kutoa matunda mazuri katika sekta hiyo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama unafanya kazi na hujawahi kuona tajiri ndani ya Tanzania achana nayo haraka tafuta kazi nyingine

    Ni kweli kabisa sifa na utu wa mtu upo kwenye kufanya kazi, lakini si kweli kila kazi inalipa , kazi nyingine zinakupotezea muda tu. Kila kazi unayoifanya jitahidi sana kuifanyia tathimini inakupa nini kwenye maisha yako. Je, inakupa pesa inayoendana na kasi na mabadiliko ya maisha duniani na...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Ukikuta bidhaa ya Tanzania nchini Kenya inakuwa imelipiwa ushuru mkubwa sana

    Ukikuta bidhaa ya Tanzania nchini Kenya inakuwa imelipiwa ushuru mkubwa sana ama wakati mwingine biashara za Tanzania zinazuiwa kabisa Kenya, ni kwa nini? Kwa anaejua sababu tafadhali
  5. benzemah

    JamiiForums Tanzania Waliopata chanjo ya UVIKO-19 Tanzania wafikia milioni 11

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akizungumza mkoani Tanga wakati akifungua kikao cha viongozi wa Dini pamoja na wadau wengine maendeleo kujadili mambo mbalimbali ikiwemo mikakati ya uhamasishaji na elimu kuhusu chanjo ya UVIKO 19 amesema zaidi ya Watanzania Milioni 11 wamepata chanjo ya UVIKO 19...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natamani Mdahalo wa Wagombea Wenza wa Urais Kenya ungetokea Kwa Tanzania mwaka 2015 au 2025 ili tujue Ugoigoi wa Watu

    Kwa mliobahatika Kuutizama Jana mtakubaliana nami kuwa. 1. Wagombea Wenza wana Akili sana kiasi kwamba wanashawishi kuwa wakiwa Ikulu watakuwa Msaada mkubwa Kwa Mabosi zao (Marais) 2. Wagombea Wenza wamechujwa Kweli katika Vyama vyao husika na siyo tu wa Kukurupushwa Kiuhuruma au Kiupendeleo...
  7. kevylameck

    JamiiForums Tanzania Kenan Kihongosi: Sensa itaharakisha maendeleo kwa vijana

    "Takwimu za kiuchumi zitakazopatikana Agosti 23/2022 zitaonesha uwiano wa vijana wanaojishughulisha na kazi za kuzalisha mali na aina ya kazi tunazofanya. Hii itaisaidia serikali katika kupanga sera na mipango ya maendeleo inayolenga katika kukuza ujuzi kwa vijana, Utoaji wa ajira, Uboreshaji...
  8. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Kwani IMF imetoa trilioni 2.4 kwa Tanzania ?

    Jibu ni wazi kabisa wkamba, kutokana na kutambua rekodi ya Tanzania katika utekelezaji wa mageuzi na pia utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu ambapo fedha hizo zitatumika katika kutekeleza miradi ya maendeleo pamoja na kuleta nafuu kwenye mfumuko wa bei kwa kushusha bei ya mafuta na uchumi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanasema Tanzania rushwa imepungua Sana wakati wa Rais Samia kuliko ule wa Magufuli. Watanzania wanasema rushwa inaongezeka. Je, ipi ni ipi?

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila akihojiwa na Ayo TV amekuwa na haya ya kusema juu ya kupungua kwa rushwa Tanzania kisayansi,Msikilize Kafulila anasema,Ripoti ya kimataifa ya kupambana na rushwa inaonesha Tanzania tumetoka nafasi ya 94 mpaka 87 sawa na vietnam & Moroco kati ya nchi 180...
  10. system hacker

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimekuja kubaini Tanzania ni nchi ngumu sana ya kiume. Ukiwa legelege hauli

    Ndio. Finally, nimekuja kubaini hili. Ukiwanyoosha wanaume wenzio unakula shavu. Haijalishi upo chama gani. Kama upo CCM halafu ukawanyoosha CCM unakula shavu. Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CHADEMA unakula shavu. Kama upo CHADEMA na ukawanyoosha CCM unakula shavu. Kama upo CCM na...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wafahamu ma-IGP wa Tanzania

    Kwa rekodi za kipolisi IGP wa kwanza kurekodiwa ni Harun Mahundi ambayo alishika wadhifa huo miaka ya 1990s. Mwaka 1996 hadi mwaka 2006 wadhifa huo ulishikiriwa na Omary Mahita. Kuanzia 2006 hadi mwaka 2013 Said Mwema alishika kijiti cha wadhifa huo, ambapo alipokezana na Ernest Mangu...
  12. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio Camilius Wambura, Inspekta wa Polisi - Mpenda haki

    Nimejawa na furaha kuona mtu makini ndani ya Jeshi la Polisi mwenye uzoefu na weledi anakabidhiwa majukumu makubwa ya kuliongoza Jeshi letu la Polisi. Hakika CAMILIUS WAMBURA ni mtu sahihi mno. Wengi wetu tunaofuatilia utendaji wa Jeshi la Polisi nchini tulitegemea mabadiliko kufanywa hususani...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongereni Marais wote wa Tanzania kwa kutuheshimisha watu wa Mara katika teuzi za Taasisi 'nyeti' nchini

    Ukiwakosa Jeshini katika Nafasi za CDF badi utawakuta hata TISS katika Nafasi za Juu Juu na ukiwakosa huko basi huwezi Kuwakosa katika Jeshi la Police kama IGP na ukiwakosa huku basi hata kule JKT pia hutowakosa kama Wakuu. Sifa (Tunu) Kuu ya Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) ni... 1. Waaminifu na...
  14. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Kanuni na taratibu za kuanzisha huduma ya Upelelezi binafsi (PI) Tanzania ni zipi?

    ...
  15. plagiarism

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Rushwa nchini

    Rushwa ni mwenendo usio faa anao ufanya mtu kwa manufaa yake binafsi. Kuna Aina nyinginza rushwa Kama rushwa ya fedha, ngono, Mali n.k Sababu za kuongezeka kwa rushwa nchini. Ongezeko la umaskini nchini hupelekea kutoa rushwa kwa lengo la kujipatia kitu flani mfano kazi. Ubinafsishaji...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Marais wa Tanzania kujengewa Makumbusho Dodoma

    Serikali inakusudia kuanza ujenzi wa Makumbusho ya Marais katika Mji Mkuu wa Taifa letu, Dodoma. Akizungumzia hatua hiyo, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Pindi Chana amesema wapo Viongozi wengi walioihudumia Tanzania na Wizara imeona ni wakati mwafaka kuanza ujenzi. Kwa mujibu wa Waziri...
  17. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Ukali wa maisha upo lakini sio kwa Tanzania peke yake"- Dkt. Anthony Diallo

    Nimemsikiliza Dk. Antony Dialo akizungumzia ugumu wa maisha kuwa na kufanya uchambuzi wake msikilize hapa:
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Siku CCM ikifa Tanzania itainuka

    Kwa miaka zaidi ya thelasini CCM imekuwa ikifanya kila iliwezalo kusiwe na chama kingine cha siasa nchini Tanzania. Lakini juhudi hizo za CCM dhidi ya vyama vingine kumbe zilitakiwa zifanywe dhidi ya CCM yenyewe. CCM ndiyo chama pekee kilichokuwa madarakani tangu Tanganyika ipate Uhuru na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Mashindano ya CAF Super League kuzinduliwa nchini Tanzania kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa

    Nimekutana na hii babari kwamba Rais wa CAF bwana Dr.Motsepe anasema wanatarajia kuzindua Mashindano Mapya barani Africa yatakayojulikana kama Super League mwezi wa Agasti Nchini Tanzania.. Mashindano hayo yatakuwa na zawadi ya dola mil.100 sawa na zaidi ya bil.220 za Tanzania.
  20. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Ugonjwa wa U.T.I unaweza kusababishwa na Kutokuwa msafi (Uchafu)

    Mdau wa JamiiForums.com ameelezea wasiwasi wake juu ya kuongezeka kwa maambukizi ya ugonjwa wa UTI kwa wanawake. Anahoji inakuwaje sababu kubwa inayotajwa kuwa ni uchafu ipate mashiko kwa nyakati hizi, kwani wanawake wa zamani ndio walikuwa wasafi zaidi kuliko hawa wa sasa? Mdau huyu anashauri...
Back
Top Bottom