Padre Kitima: Uchaguzi wa Tanzania hauna sifa ya huru

Huyu ndiye Padri wa falsafa, hajawahi kupindisha maneno, huyu amewahi kuhoji uharamia unaofanywa na makundi fulani kwenye uchaguzi. Inaskitisha Viongozi wa dini kukaa kimyaa ujambazi wa kisiasa ukifanywa na watawala, inaskitisha kiongozi wa dini anaingia kugombea ubunge na kukubali kujaziwa kura za uwizi, inaskitisha kuona kiongozi wa dini akikubali Mwaliko kuapisha kiongozi aliopatikana kwa ghilibha. Tunataka Viongozi wa dini wahubiri uzinzi, na nk kuwa ni dhambi hata hili la ujambazi kuwa ni dhambi na walikeemee na hata sura zao ziseme.
 
Unahitaji kuwa na akili ya kuvukia barabara tu kung'amua kwamba chaguzi zinazofanyika hapa bongolala hazina uhalisia wowote, ni kiini macho tu......
 
....JPM alikuwa akitamani kumfanya lolote ila basi tu.
 
Katibu wa balaza la Maaskofu TEC bwana Padre Kitima amehoji ni kwa sababu zipi uchaguzi wa Tanzania haufanyiki kwa uhuru na haki?

Msikilize hapo kuanzia dakika ya nne na kuendelea.

View attachment 2358484
Kuna mada humu iliyo katika mtindo wa "TETESI" ikisema Padre Kitima kuhojiwa kwa kauli yake hii, "...kwamba, chaguzi za Tanzania huwa si huru na haki.."

Kwamba, kwa maoni yake haya wahafidhina (conservatives) ndani ya CCM wanashinikiza vyombo vya ulinzi na usalama vimkamate na kumhoji Dr Kitime...

Kama hii ni ya kweli, basi huko CCM kuna watu waoga sana kiasi cha muda wote kudhani wanafuatwa na chui ili awale nyama...

Yaani wakihisi tu kuwa mtu fulani anajaribu kutaka kufunua madhambi yao, papo hapo wanaanza kumlia target ya kumpoteza...!!

Aaarrgh, hii ni mbaya sana na haifai hakika..
 
Unahitaji kuwa na akili ya kuvukia barabara tu kung'amua kwamba chaguzi zinazofanyika hapa bongolala hazina uhalisia wowote, ni kiini macho tu......

Namna pekee ya kukabiliana na hizi chaguzi za kihayawani ni aidha nchi kupinduliwa, au machafuko ndio turudi kwenye chaguzi za kweli zitokee. Kenya hapo machafuko ndio yalileta heshima.
 
Uzuri wa Padre Dr. Charles Kitima, huwa hapindishi maneno. Hata enzi za JPM, alikuwa akisema kile anacho kiamini.

Hivyo asitokee mtu wa kusema 'huyu Padre anakosoa wakati huu kwa sababu Rais ni Muislam'
Mbona inasemekana kuwa watu waliyokuwa wanakosoa enzi za Magufuli walikuwa wanauliwa?
 
Back
Top Bottom