tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ubovu wa serikali ya awamu ya sita, Yakupate haya utajuta kuzaliwa Tanzania.

    Kuna watu bado wana shadadia hii serikali ya awamu ya sita sijui ni kwa makusudi au kukosa uelewa, inshort naweza sema wengi wao ni wapiga dili, kama siyo mpiga dili hii serikali huwezi iunga mkono hata kidogo ina mambo ya ajabu ambayo hayajawhi kutokea tongu tupate uhuru. Sasa Mwananchi...
  2. JamiiForums Tanzania Ukiacha kasoro ya Uchawi Wanawake wa Kirangi ni wazuri kuwazidi wa makabila mengine yote hapa Tanzania.

    Wasalaam JF, Kwenye ukweli tuseme kweli tuache mazoea ya kubisha bisha. Wambulu, wamang'ati, Wanyaturu, Wachaga, Wameru, wamasai wameachwa mbali na warangi kwa uzuri, wana rangi, wanashepu, wanatrackoo, wako soft, wanakwanguliwa kisimilo chote hakibaki hata chembe. Ni hayo ukibisha ni wewe tu...
  3. JamiiForums Tanzania KWELI Kwa nchi za jirani na Tanzania Hakuna bendera ya nchi hizo iliyowahi kuwekwa jengo la Burj Khalifa baada ya Tanzania

    Kuna wakati jengo la Burj Khalifa lilisambaa mtandaoni likiwa na bendera ya Tanzania na Picha ya Rais, lakini kwa siku za hivi karibuni nimeona tena mitandaoni kuna picha za bendera za majirani zetu zikiwa kwenye jengo hilohilo. Mjadala wa bendera za nchi za Afrika mashariki kuwekwa kwenye...
  4. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nakupenda Tanzania

    TANZANIA NAKUPENDA nchi yangu napenda vyote ulivyo jaaliwa na mwenyez mungu TANZANIA imejaaliwa vitu vingi vinavyo vutia nakupendeza macho mwakila mtu mito, maziwa, bahari, mbuga za wanya na vivutio vingi kama vile mbuga ya saadani mlima Kilimanjaro, hifadhi ya taifa ya kitulo, muga za mikumi...
  5. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania yangu

    TANZANIA yangu ni nchinzuri yakuvutia inavitu vingi vyakuvutia kama mrima Kilimanjaro mbuga za selengeti mikumi na hifadhi yakitulo saadani makumbusho ya bagamoyo Zanzibar forodhan na vivutio vingi pamoja na madini mengi adhim Dunia kama dhahabu, tanzanite inayo patikana Tanzania pekee hii...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania vs China na maendeleo yake

    Habari zenu.. Leo tujifunze kutoka kwa wachina. Tangu 1950s nchi ya Tanzania na china kimaendeleo zilikuwa sawa. Tangu hapo walijitokeza wanafalsafa wakiishauri china wakisema ''taifa ili liweze kuendelea lazima liwe na watu''.Nchi ya china ilianza kutekeleza sera hiyo kwa kuhamasisha watu...
  7. JamiiForums Tanzania Aliyeelewa Mkurugenzi wa DP World kusaini mkataba wa nchi ya Dubai na Tanzania anieleweshe

    Moja ya jambo ambalo linafikirisha katika IGA ya Tanzania na Dubai ni sehemu ya watia sahihi! Upande wa Serikali ya Dubai amesaini Mkurugenzi wa Bandari! Yani huu ni mkataba wa nchi na nchi anakuja kusaini Mkurugenz wa Bandari kwa niaba ya nchi yake? Mawaziri, na makatibu wakuu hamna huko...
  8. JamiiForums Tanzania Fleet Tracking, Fuel Sensors, Smart Generators, and AI Dash Cameras

    Karibu Afritrack, Afritrack ni alama ya biashara iliyosajiliwa ya Laiki Technology Limited ambayo ni kampuni iliyoanzishwa mwezi wa Aprili 2006 na ni moja ya kampuni za kwanza kuleta huduma za kufuatilia(kutrack) magari nchini Tanzania. Kwa miaka mingi, Afritrack imebadilika na kuwa mtoa...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania yaweka malengo ya kumaliza UKIMWI ifikapo 2030

    Dah , sio poa! Nipo hapa nafuatilia BBC London habari... Da'Ummy anasema , eti eti..kufikia 2030 Tanzania haitakua na UKIMWI kabisa. Wadau hii imekaaje? Kuna ukweli hapo? --- Nchi tano za Afrika: Botswana, Eswatini, Rwanda, Tanzania na Zimbabwe tayari zimefikia malengo ya kimataifa ya...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya kwanza kabisa ya malaria inasambazwa Afrika. Nchi 12 za kwanza kupatiwa

    Kati ya nchi za kwanza kabisa ulimwenguni kupata chanjo hii ya malaria ya kwanza kabisa duniani ni Kenya, Rwanda na Burundi. Watanzania tusibaki nyuma katika hili. 18 million doses of first-ever malaria vaccine allocated to 12 African countries for 2023–2025: Gavi, WHO and UNICEF World Health...
  11. JamiiForums Tanzania Bodaboda wa Kenya wanavuka mpaka kufata mafuta ya bei nafuu Tanzania

    Bodaboda kutoka nchini Kenya sasa wanavuka mpaka na kuingia Tanzania kufata mafuta ya bei nafuu huku Tanzania ikitajwa kuwa na bei ya chini zaidi ya dizeli na petroli kutokana na mfumo wa kuagiza mafuta kwa pamoja 'Bulk procurement'
  12. N

    JamiiForums Tanzania Huwenda miaka ijayo, misaada ya ARV inaweza sitishwa na Marekani. Je, Tanzania imejipanga vipi na suala hilo?

    Huwenda miaka ijayo, misaada ya ARV unaweza sitishwa na marekani. Je Tanzania imejipanga vipi na suala hilo? Nimekaa nikatafakari sana, huenda miaka ijayo misaada inayotolewa na marekani hasa dawa za kufubaza hawa virusi vya vinavyosambabisha UKIMWI. Kutokana na hali hii marekani atabaki kuwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba faida ya Kauli za Majigambo za Wasemaji wa Simba na Yanga katika Maendeleo ya Soka Tanzania

    Ali Kamwe (Msemaji Yanga SC) Siku ya Wananchi (Yanga Day) Taifa litatulia na Watu hawatoamini kwani tunaenda Kumtambulisha Mchezaji ambaye atawafanya Watu fulani Walie, Wasiamini na Wengine hata kutamani Bora Wafe tu.kuliko Kumshuhudia huyo Mchezaji akicheza Yanga SC. Ahmed Ally (Msemaji Simba...
  14. JamiiForums Tanzania Mahakama zenye mamlaka (jurisdiction) ya kusikiliza kesi za ndoa nchini Tanzania

    Mahakama za kesi za ndoa. Habari mpendwa msomaji! Leo nitatoa elimu ya Mahakama zinazosikiliza kesi za ndoa na unafikaje hapo Mahakamani. Kwa kusoma makala hii utajua mambo yafuatayo: -Jinsi ya kufungua shauri au kesi ya ndoa. -Masharti kabla ya kufungua kesi ya ndoa. -Ukomo wa muda wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kufuzu World Cup 2026; Tanzania yatupwa Kundi E ikiwa na Morocco na Niger

    #MICHEZO Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imepangwa kundi E katika harakati za kufuzu kombe la dunia mwaka 2026. Timu ambazo Stars imepangwa nazo ni pamoja na Morocco Zambia, Congo, Tanzania, Niger & Eritrea. Michezo hiyo itaanza kuchezwa mwezi Novemba mwaka huu #KombeLaDuia #TaifaStars...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania inamhitaji ‘Nyerere’ sasa kuliko wakati wowote

    Mchana, Oktoba 14, 1999, wimbo wa Taifa unasikika redioni na runingani. Kila mtu wima kwenye redio na televisheni. Miaka 24 imepita, sijasahau tangazo. Rais aliyekuwa madarakani, Benjamin Mkapa, mkono wake wa kulia aliketi Makamu wa Rais, Dk Omar Ali Juma na kushoto Waziri Mkuu, Fredrick...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini DPW Wameamua Kuchua Bandari za Tanzania, Kenya na Msumbiji kwa Wakati moja. Hii ndiyo sababu.....!!

    Kuna video nimeiona Wakenya wanalalamika kuwa serikali yao pia imesaini mkataba kisiri na DP World kucontrol bandari zote za Kenya. Kama hii ni kweli, hivi kweli kuna sababu yeyote ya kuendelea na hawa watu? Haiwezekani wachukue bandari zetu zote pamoja na za majirani zetu halafu tuwaamini kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Orodha ya njia tano za burudani nchini Tanzania

    Hapa kuna orodha ya njia tano za burudani nchini Tanzania. 1. Kusafiri: Tembelea maeneo ya kuvutia kama vile Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Mlima Kilimanjaro, Visiwa vya Zanzibar, na Mbuga ya Wanyama ya Ngorongoro. 2. Kucheza michezo ya maji: Furahia shughuli za maji kama vile kuogelea...
  19. JamiiForums Tanzania Supervisor Exploration at AngloGold Ashanti

    Position: Supervisor Exploration Contract type & Duration: Unspecified Time Contract Reporting to: Exploration Operations Coordinator Number of Positions: One (01) Location: Dodoma PURPOSE OF THE ROLE: Support the Exploration Manager Tanzania by providing a comprehensive support service for...
  20. M

    JamiiForums Tanzania DP World kumekucha Tanzania

    DEEPEE WELDI - Kumekucha Tanzania Sakata la mkataba/makubaliano ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu DP World – Kumekucha Tanzania. Wanaosapoti; Lugha za kebehi na dharau Uzalendo ni kukubaliana na serikali yetu Vitisho Mnaopinga mmenunuliwa Hamjui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…