tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kamishina Kafulila: Biashara kati ya Tanzania na India ni zaidi ya Dola Bilioni 24 ndani ya miaka 10

    KAMISHNA wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (Public Private Partnership-PPP) chini ya Wizara ya Fedha na Mipango, David Kafulila, amesema hadi kufikia 2027 India itakuwa Nchi ya tatu kwa ukubwa wa Uchumi Duniani. India wana Miradi ya PPP 998 katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Baadhi ya mitandao ya simu nchini wana vifurushi kausha damu

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, Kwanza ningependa ujue mitandao yote ya simu Tanzania ina vifurushi vinavyofanana na kingine kila mtandao na spidi yake. Sasa kumezuka baadhi ya mitandao ya Haloteli, Airtel, Tigo kuwa na vufurushi vya data ambavyo ni data kausha damu, yaani ukinunua...
  3. JamiiForums Tanzania Mwana JamiiForums anayehoji kwanini Rais wa Tanzania akiwa ni Mkristo lazima awe ni Mkatoliki anatuaibisha 'Lake Zone Geniuses' wote

    Hili linajulikana tokea nchi hii inapata Uhuru na lipo katika Makubaliano ya Siri yenye Kiapo Kikali tena chenye Laana Kubwa kama likikiukwa / kikikiukwa ( ukibisha hili Huna Akili ) Inasikitisha sana na GENTAMYCINE nimesikitika kumuona Mtu ambaye amezaliwa katika Familia ya Mfumo ( System ) na...
  4. JamiiForums Tanzania Je Al Ahly imewahi kuifunga timu Gani ya Tanzania goli 5-0

    Kuelekea mechi za Simba na Al ahly super league na Yanga na Al ahly CafCl.. Nafahamu washawai kupigwa Moja bila na Yanga. Goli la Canavaro sasa nawauliza watunza kumbukumbu hivi washawai kuifunga timu ya TZ goli tano
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, tuendelee kuamini Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini?

    Katika siku za karibuni tulipewa taarifa na Mamlaka ya Hewa kuwa kutakuwa na mvua ya el Nino na hivyo wananchi wachukue tahadhari zote kuhusiana na mvua hizi. Walitutahadharisha kuwa mvua hizi zingeanza mwanzoni mwa Oktoba mwaka huu. Leo ni tarehe 8 Oktoba, 2023 na kuna joto kali sana na...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi wa Uturuki, Yapi Merkezi athibitisha pengo la $1.8bn katika ufadhili wa Tanzania SGR

    Wakati serikali ya Tanzania ikiendelea kuficha ukweli, Kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapi Merkezi imeripoti pengo la dola bilioni 1.8 (zaidi ya shilingi trilioni 4.5 za kitanzania) katika ufadhili wa mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa nchini Tanzania huku ikiendelea kuwezesha Dodoma...
  7. JamiiForums Tanzania Tazama Tanzania amani tulio nayo

    Kweli... Mungu hatupi vyote sisi watanzania. Leo yametokea Mashambulizi ya Kivita huko Israel kutoka kwa Palestina. Huku kuna Ukrain dhidi ya Mrashia. Pale kuna Mapinduzi ya Serikali sehemu mbali mbali hapa Afrika Kule Marekani watu wanamiliki silaha nje nje kama simu za Iphone. Lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Hadi kijana wa Tanzania anamaliza form four anatakiwa ajue haya yafuatayo...

    Nafikiri sasa wakati umefika kurekebisha mitaala iweze kum equip kijana na maarifa mbali mbali ya sasa....ili akiingia mtaani aweze moja Kwa moja kuchangia maendeleo na sio kugeuka mzigo wa na kuanza tena kupewa "training" ili aweze Ku fit in... Hizi trainings vijana wapewe kabla hawajamaliza...
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kuna nchi nyingine bora kuishi duniani kama Tanzania?

    Kwa uzoefu wangu mdogo, na nchi nyingi nimezijifunza kwa kusoma na kufuatilia maisha yao naona Tanzania licha ya madhaifu yetu ni sehemu bora sana. Unaweza kwenda popote ukapokelewa utadhani mlifahamiana miaka mingi iliyopita. Kama hauna ishu za kisiasa na ujanjaujanja maisha yako bomba sana...
  10. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura alivyofanya mabadiliko ya Makamanda wa Mikoa

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amefanya uhamisho wa baadhi ya Makamanda wa mikoa kwa lengo la kuboresha ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya Jeshi la Polisi.
  11. JamiiForums Tanzania Hongereni Walimu wa Tanzania naona kuna Mtu anaanza 'Kuwalainisheni' mapema 2023 hii ili awatumie 'Kumlainishia' 2025 Oktoba

    Kwahiyo matatizo yenu ( changamoto zenu ) alikuwa hazijui tokea akiwa hapo 2015 hadi 2021 hadi Jana ( 2023 ) ndiyo kazijua na kuwaahidi Kuwatatulieni zote? Na mlivyo Watupu ( Empty Sets ) Vichwani mwenu najua sasa nyote mtafurahi, mtamsifu na kumuona anafaa ila baada tu ya 2025 mtaendelea...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kuna aina tatu za watu (Idiot, tribalistic and citizens). Je, Tanzania kundi gani ni kubwa?

    Idiot - asiyependa kufikiri, mbinafsi na asiyetamani wengine wafanikiwe bali kila kitu anatamani ajilimbikizie yeye tu. Tribalistic- asiyefikiri nje ya box, anayeamini kwenye kundi dogo mawazo finyu. Mkatili kwa wanaompinga. Asiyefikiri kuacha alama chanya hapa Duniani. Anayeweza yeye na jamii...
  13. JamiiForums Tanzania Tamaduni na mila za kufikirika (ajabu) Tanzania na duniani

    "Anayesoma ana mengi sana asiyoyaelewa, asiyesoma hana asichoelewa". Kama umewahi kusikia kuona au kukutana na mila ambayo kwako ilikuwa ni ya ajabu au haijakukalia sawa lakini ulipoiona au kuikuta ilikuwa ni kitu cha kawaida, itupie uzi huu. Pia tupia hapa mila ambazo kwako au kwenu ni...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wa Tanzania wana sheria zao wenyewe zilizo tofauti na sie wengine?

    Pengine labda ni ujinga wangu. Labda ni mimi tu ambaye sijui. Kama ni hivyo, basi natumaini mtakuwepo mnaojua na hamtosita kunijuza. Hivi viongozi wa Tanzania wanaruhusiwa kukiuka sheria za barabarani? Niko mjini naenda nyumbani. Nyuma kwa umbali wa mita kadhaa nasikia sauti ya king’ora na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Billionaire kutoka Abu Dhabi aongozana na watu 680 kufanya utalii. Je, Tanzania tunaweza kuvutia utalii huu?

    Bhisho Bulembu Eastern Cape, Republic of South Africa REKODI HII YA RAIS WA UAE MTAWALA WA ABU DHABI Katika mwezi Aprili mwaka 2023 mji mdogo wa Bhisho Bulembu jimbo la mashariki la Cape ambapo kulikuwa na uwanja wa ndege pekee wa,nchi ya Bantustan nchini Afrika ya Kusini uliotelekezwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Je, kwanini Tanzania hatupati huduma ya starlink nini shida?

    Wenzetu Malawi wameshaanza kutumia huduma ya starlink toka mwezi July sisi Tanzania tunasubiri nini au waziri wa mawasiliano anakazia ni nini hasa?
  17. B

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani Tanzania vinashindana, vikipata mshindi ndio mapambano dhidi ya CCM yataanza

    Asalam, Tukumbushane, 20% wanataka vyama vingi, 80% wanaitaka CCM kama Chama Pekee. Hapajakuwa tena na kura za maoni tofauti na hizo. Matokeo ya Uchaguzi Mkuu hayajawahi kushinda huu utafiti wa Je tuwe na vyama vingi au lah. Hoja, hii 20% haina rangi kiasi kwamba unaweza kusema ni yule na...
  18. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

    Kumekucha tena, Kivumbi leo. Uwanja wa Sokoine Mbeya. Simba ya Dar es Salaam itaumana na Tanzania Prison ya Mbeya. Muda ni Saa 10 Jioni kwa Saa za Afrika Mashariki. Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Tanzania Prisons, Oktoba 5, 2023 Updates. Mchezo umenza 12' Tanzania Prisons Wanaongoza...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Salim Ahmed Salim ni Rais wa Tanzania ambaye haikuwa riziki

    DOKTA Salim Ahmed Salim, alipoteuliwa kuwa Waziri Mkuu, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kilikuwa kipindi cha uhaba mkubwa wa bidhaa. Nguo, viatu, sabuni, dawa za meno, vilikuwa adimu. Alikalia kiti baada ya kifo cha Edward Moringe Sikoine, aliyeendesha vita ya uhujumu uchumi. Mazingira ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania ya sasa ikiwa CCM itaendelea kubaki madarakani basi sitamsomesha mwanangu hapa

    Ukweli ni mtupu tuna wapotezea mda watoto wetu kwenye hii nchi isiyotaka waelewa na wenye kuona mbali. Angalia tu kuanzia serikali ya ccm,wajinga wanapewa nafasi kubwa kuliko welevu. Japo elimu tunayo ila Ijawahi kusaidia taifa hata kubuni njiti ya kiberiti. Tunawo wataalamu wakila nyanja ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…