tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania ipo hatarini. . Wenye ulimwengu washaanzisha script kua Tanzania kuna machafuko ya kidini na Wakristo wanaonewa

    Ted cruz akituchongea kua kuna machafuko yakidini Tanzania Oyaaa Tanzania ipo hatarini. Wenye ulimwengu washaanzisha script kua Tanzania kuna machafuko ya kidini na Wakristo wanaonewa. Mzalendo hiki sio ukweli. Ted Cruz wa Marekani ni muongo na mchonganishi. Tupambane tusichonganishwe zaidi...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania na Zambia Waazimia Kuondoa Vikwazo vya Biashara

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia zimeazimia kuendelea kuchukua hatua katika kuondoa vikwazo vya biashara ili kurahisisha usafirishaji wa bidhaa, huduma na watu, hatua inayolenga kuimarisha zaidi ushirikiano wa kiuchumi, biashara na uwekezaji kati ya mataifa hayo mawili...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Tanzania Hatufanyi kazi kwa masaa? Kwanini Hatuna Part time Jobs

    Habari Wakuu, Nimejiuliza sana hili swali, Kwanini Tanzania hatuja adopt kupeana kazi kwa masaa? Yaani mtu anakupa ajira unafanya 3HRS per day labda mara 4 kwa week na anakulipa kwa week au kwa siku kama mtakavo kubaliana. Ni kwann hii Tanzania haipo? Unapita pharmacy wana mfanyakazi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Nchi za watu wanapunguza bei ya bia/product zikikaribia expiry. Tanzania je?

    Supermarket nyingi nchi za wenzetu hupunguza bei ya bia na bidhaa nyingine zikikaribia tarehe ya “best before” ili zisitupwe na kupunguza waste. Mfano mimi nilienda supermarket nikakuta bia imewekewa sticker ya discount kubwa kabisa ili iuzwe haraka kabla muda haujaisha.imagine punguzo la 70%...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Ujerumani ahoji bungeni mauaji ya Oktoba 29 Tanzania na kesi ya Lissu

    Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU ameihoji Serikali ya nchi hiyo kwamba, inachukua hatua gani kwa Tanzania kutokana na mauaji ya raia katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na kuhusu kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliyosema inakiuka...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania ya 2030–2035: Baada ya SGR, tuingie awamu ya barabara kuu za njia nne

    Tanzania tunaelekea kufanya jambo kubwa kupitia mradi wa reli ya kisasa ya SGR. Lakini baada ya kukamilisha SGR, nina pendekezo Serikali iandae project nyingine kubwa ya kimkakati ya kujenga barabara kuu za njia nne (dual carriageways) kwenye route muhimu zote za nchi yetu zinazobeba uchumi wa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Balozi mtarajiwa wa Marekani Tanzania aongelea uchaguzi

    https://youtu.be/IwqpF3RcnDQ?si=1zvg40qWNAEird-_
  8. JamiiForums Tanzania Huyu ndo balozi mtarajiwa wa Marekani nchini Tanzania….

    Kwa mtaji huu, sidhani kama Samia ataenda Marekani kipindi hiki cha Trump. Binafsi naombea aende ili watu tupate fursa ya kumrushia mayai viza na kumtukana kwa kutumia vipaza sauti na ikiwezekana hata na kumfanyia mengineyo zaidi ya hayo 😉. Fedhuli Samia akae akijua kwamba damu za maelfu ya...
  9. JamiiForums Tanzania FT: Simba 1- 0 JKT Tanzania; ni "Mzee " Chama tena

  10. JamiiForums Tanzania Kuna sintofahamu kati ya elimu ya Tanzania na Mahitaji ya soko la ajira/kidijitari

    Kuna gepu la kutoelewana kati ya watanzania waliopata elimu ya juu na mahitaji yanaayohitajika kutatua changamoto za makampuni/Soko huria. Nimefatilia mahojihano mbali mbali ya watu wakilahumu vijana wamemaliza vyuo ila hakuna kazi. Nimefatilia mahojihano ya CEO wa NMB na chombo kimoja cha...
  11. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Tanzania na Zambia kukutana Tunduma, Mei 7, 2026 kuboresha ushirikiano wa uchumi, biashara na uwekezaji

    Maandalizi ya Mkutano wa Mawaziri wa Biashara (Joint Trade Committee – JTC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia yamekamilika kufuatia kuhitimishwa kwa kikao cha Kamati ya Pamoja ngazi ya Makatibu Wakuu kilichofanyika leo, Mei 6, 2026, katika Kituo cha Huduma cha Pamoja...
  12. JamiiForums Tanzania Wasioamini mungu (atheists) wanaweza kuwa viongozi Tanzania?

    Kuna uwezekano wowote wa mtu asiyeamini mungu(atheist) anayefahamika kwa wazi kabisa kuwa kiongozi wa nchi au serikali Tanzania kwa katiba ya sasa au hata mpya?
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania 10,000 ya Nyerere inanunua Lita 2 za mafuta ya dizeli na petroli?

    Babangu mzee, Leo kaamka vibaya, maana anadai 10,000 aliyonunulia eneo pale msasani makangira Leo hii inatumika kununulia mafuta ya gari Lita 2. Miaka 64 yrs ya Uhuru Taifa halina stock ya mafuta hata kwa mwezi mmoja ili kupunguza impact za mafuta ambazo ni nyingi. Namtambua Ikulu Ina stock kwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania LIVE / MUBASHARA : Rais William Ruto Akihutubia Bunge la Tanzania || Mei 5, 2026

    05 May 2026 Dodoma, Tanzania LIVE / MUBASHARA : Rais William Ruto Akihutubia Bunge la Tanzania || Mei 5, 2026 RUTO - MAADUI WETU SI WATANZANIA AU WAKENYA MAADUI WETU NI UKOSEFU WA AJIRA, UMASIKINI, MARADHI, NARUDIA WATANZANIA NA WAKENYA SI MAADUI WETU https://m.youtube.com/watch?v=mimwwdurzMU...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania na Zambia Wakutana Kuboresha Mazingira ya Biashara, kujadili uondoshwaji wa vikwazo vya ushuru

    Mkutano wa Kamati ya Pamoja ya Biashara (Joint Trade Committee – JTC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia umeanza tarehe 4 Mei 2026 mjini Tunduma mkoani Songwe, kujadili masuala ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili ikiwemo uondoshwaji wa vikwazo vya ushuru na visivyo...
  16. JamiiForums Tanzania 𝗪𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 𝗞𝘂𝗻𝗮 𝗳𝗲𝗮𝘁𝘂𝗿𝗲 𝟱 𝗭𝗶𝗻𝗮𝗸𝘂𝗷𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗵𝗮𝘁𝗮𝗿𝗶

    Watumiaji wa Samsung kwenye toleo jipya la Samsung one UI version 8.5 wametoa update mpya ya feature mbalimbali nzuri sana. Feature mpya imekuja kuongeza ubora kwenye muonekano wa apps, mipangilio ya simu, ufanisi, stability pamoja na security kwa ujumla. kama unatumia Simu ya Samsung Kuna...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto Lands Tanzania: Biashara, Ajira na Ushirikiano Mpya Kwenye Meza

    Rais wa William Ruto ameanza ziara ya siku mbili nchini Tanzania kuimarisha uhusiano kati ya majirani hawa wa Afrika Mashariki. Ziara hii inaonekana kuwa muhimu sana hasa kwa masuala ya biashara, ajira na maendeleo ya kikanda. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu ya Tanzania, Ruto atakutana na...
  18. JamiiForums Tanzania POTOSHI Paul Kagame, akipiga magoti mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

    Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mtandao wa Facebook likimuonesha Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame, akipiga magoti mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wakati wa ziara yake ya siku moja nchini Tanzania. Je ?ni upi uhalisia wa chapisho hilo la...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Biashara yetu kati ya Tanzania na Rwanda imekuwa hadi kufikia Bilioni 644 mwaka jana 2025

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame leo Mei 3, 2026 ambapo amebainisha kuwa mazungumzo yalifanyika yaliyohusisha pia mawaziri na viongozi wengine wa serikali. Pia alieleza Biashara kati ya nchi hizi mbili imekua kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Matukio mbalimbali ya ziara ya Rais Paul Kagame nchini Tanzania, Mei 3, 2026

    Matukio mbalimbali katika Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Mei, 2026. Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame akizungumza na Waandishi wa Habari kufuatia Ziara yake ya Kikazi Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Mei, 2026. Rais wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…