tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Mbowe amekutana na Balozi wa Uingereza (British High Commissioner) David Concar hii leo kuzungumzia maswala kadhaa ya kuhusu siasa nchini Tanzania

    Katika Ukurasa wa Ubalozi wa Uingereza Tanzania, Umeonyesha Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa amafanya mazungumzo na Balozo huyo kuhusu Mambo kadhaa ya Mustakabali wa siasa nchini.. Huu ni muendelezo wa vikao vyake na Mabalozi kadhaa wa.nchi za ulaya na Marekani kabla ya kuenda kwenye Maandamano...
  2. JamiiForums Tanzania Express of Interest (EOI) for the Provision of Transport and Logistics Services for WFP Tanzania January, 2024

    Express of Interest (EOI) for the Provision of Transport and Logistics Services for WFP Tanzania (2024 – 2025). Express of Interest (EOI) for the Provision of Transport and Logistics Services for WFP Tanzania (2024 -2025). The United Nations World Food Programme (WFP) is a humanitarian...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania: The Personal Data Protection Commission's Board should be independent from any interference - Minister

    Hon. Nape Nnauye "The Minister of Information, Communication and Information Technology, Hon. Nape Nnauye, has officially launched the Board of the Personal Data Protection Commission, urging it to perform its duties in accordance with the law, regulations, and guidelines set, and not based on...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kupata visa/hati ya kusafiria ya tanzania

    Wanajukwaa habarini za wakati huu. Poleni kwa majukumu. Nilikuwa naomba msaada wa namna ya kupata visa/hati ya kusafiria ya hapa kwetu Tanzania. Nataka niende ughaibuni (taifa X huko America kaskazini) nikajitafte kidogo na huko maana bongo land kwetu wanga wamekuwa wengi (natania 😅) Naamini...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM)

    Takriban theluthi mbili ya nchi duniani zimekusanyika Jijini Kampala, Uganda kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) wenye nchi Wanachama 120 na Mkutano wa nchi za Kundi la 77 na China (G77+China) lenye Wanachama 134. Tanzania ni...
  6. JamiiForums Tanzania Mwaka 2024 mwenye taarifa za miradi ya maendeleo Tanzania tukutane hapa!

    Wakuu, happy new year 2024. Wenye taarifa za miradi ifuatayo tukutane tujadiliane: 1. Uwanja wa ndege wa Msalato 2. Ujenzi wa barabara ya mwendokasi kuelekea uwanja wa ndege wa Dar 3. Ujenzi wa chuo kikuu Butiama 4. Ujenzi wa barabara Kwa kiwango cha lami kutoka SikongeTabora hadi Makongorosi...
  7. JamiiForums Tanzania UNICEF yasema Tanzania na nchi nyingine zenye Kipindupindu zisipodhibiti Ugonjwa shule zitafungwa

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limezitahadharisha Nchi za Afrika zinazokabiliwa na Kipindupindu na kueleza kuwa endapo hazitafanikiwa kudhibiti Ugonjwa huo unaweza kusababisha Shule kufungwa. Dkt. Paul Ngwakum ambaye ni Mshauri wa Afya wa Kikanda wa Shirika hilo katika...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania tukijidanganya kuokota points kwa Zambia na Congo DR wao wamesema hivi

    Zambia: Kama kuna timu ambayo tunaenda kuokota points za bure ni ya Tanzania ila kwa Morocco tutajitahidi tupate angalau sare au suluhu kisha huko mbele tutajua nani ataenda. Congo DR: Morocco tukijitafuta tuna uwezo wa kuwafunga au basi tukiwashinda tutatafuta sare au suluhu ila kwa Tanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Nigeria ilianza kuchimba mafuta 1956, bado inauza mafuta ghafi nje na kununua yaliyosafishwa. Tanzania tutatoboa na gesi?

    Nigeria ni nchi ya pili kwa uzalishaji mafuta barani nyuma ya Angola, ilianza rasmi uchimbaji mafuta na kuyauza nje kibiashara mwaka 1956, kufikia mwaka 2000 mapato ya mafuta ghafi yalikuwa 98% ya mapato yote Nigeria iliyopata kwa kuuza bidhaa na huduma nje ya nchi. Pamoja na mafuta ghafi kuwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania na China zapigana jeki katika kukuza na kutangaza sekta zao za utalii

    Utalii nchini Tanzania umekuwa ni moja ya sekta muhimu ambayo inaingiza mapato mengi na kutoa mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi nchini. Ni jambo lisilopingika kwamba Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na vivutio vingi vya asili zikiwemo mandhari za kuvutia, maeneo ya kihistoria na ya...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Michezo Tanzania acheni Unafiki na Upuuzi

    kabla ya Taifa Stars kucheza na morocco leo katika michuano ya AFCON huko nchini ivory coast waandishi wa habari za michezo wa Tanzania walituaminisha kuwa morocco atafungwa tu huku wakiwapa sifa kem kem za uwongo na kweli wachezaji wa Taifa Stars na kuna wapuuzi na majuha waliwaamini Cha...
  12. JamiiForums Tanzania Sky Sports News Watupiga Spana Japo Wengi Wanaona ni sifa

    Mwaka huu kumekuwepo na mjadala wa uraia pacha ila ilipokuja issue ya AFCON kuna baadhi wa wachezaji hata haifahamiki wametoka!!. POINT: Kuna mchezaji anacheza team ya daraja la tano huko uingereza kuja kucheza kombe kubwa la mataifa ya Afrika. Soma mwenyewe hapo 👇🏾
  13. JamiiForums Tanzania Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

    Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa Nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana Hata watoto wa-nigerian diaspora wanafanya mambo ya maana mfano wakina Anthony Joshua, Israel Adesanya, Saka, Rotimi n.k Wakenya watoto wao waliozaliwa abroad na...
  14. JamiiForums Tanzania Haya nyie mnaoiombea Tanzania ifungwe na Morocco uzi wenu huu

    Kuna vijana wa hovyo, pia kuna wananchi wa hovyo. Sasa sijui hawa wananchi wa hovyo wamechukizwa na nini, lakini najua tu kuna vitu vimetendwa aidha na serikali yao au na baadhi ya viongozi wao ndivyo vimewajengea chuki dhidi ya taifa lao tukufu. Haya haters toeni utabiri wenu hapa 😭😭😭😭
  15. JamiiForums Tanzania Madaktari wa Tanzania jifunzeni kwenda na muda

    Utafiti wangu binafsi. Madaktari wengi Tanzania hawawezi KWENDA na muda wanapoteza muda sana wawapo kazini. Kuna foleni zipo mahospitalini simply because madaktari na lab technician hawazingatii muda. Daktari anapiga soga na mgonjwa ndani ya chumba cha daktari kama wapo kijiweni. Wastani wa...
  16. JamiiForums Tanzania Nipe sababu tatu unapenda kuishi ukanda gani mwa Tanzania?

    Nimezaliwa na kukulia kanda ya kati ila Shule nimesoma sana kanda ya pwani ya mashariki dar na maisha ya kikazi nikatupwa kanda ya kusini na bahati nzuri field zangu nimebahatika kufika wilaya zote za mtwara lindi na ruvuma nimezizungikia zaidi ya mara kumi.sababu tatu kwanini ukanda wa kusini...
  17. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo. Upi utabiri wako wa mechi hiyo? ===========...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania sasa yapata kibali kipya cha kupakua na kupakia mizigo Nairobi. Kenya walitaka tufuate taratibu

    Baada ya maombi ya Tanzania kupata kibali kipya cha kuruhusu kupakia na kupakua mizigo kiitwacho Fifth Freedom Traffic Rights, ndege za ATCL sasa zimeruhusiwa kutua Nairobi. Ndege za ATCL zikiwa njiani katika safari za kimataifa safari hii zitaruhusiwa kupakua na kupakia mizigo katika katika...
  19. JamiiForums Tanzania Data Analyst and Computer Technician (DACT) at HelpAge Tanzania (HAT) January, 2024

    Position: Data Analyst and Computer Technician (DACT) Job purpose The Data Analyst and Computer Technician will provide support on programme data analysis and learnings, IT technical support and proactively leading and implementation of our HAT Data Protection and General Data Protection...
  20. JamiiForums Tanzania UWABATA- Umoja wa wanaume bahili Tanzania

    Kutokana na malalamiko ya wanaum e Humu jf, nimeona ni Bora kufungua Uzi huu ili kuweza kuwapa nafasi ya kutoa malamiko yao. Lengo la chama hiki ni kukumbushana misimamo na misingi ya chama chetu. 👉 Mwenyekiti ni Natafuta Ajira, katibu Mjanja M1. 👉Katibu mwenezi wa sera za chama ni dronedrake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…