tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Ludewa Press Conference - Miaka Mitatu ya Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan

    kuu wa Wilaya ya Ludewa- Mhe Victoria Mwanziva ameunga na Uongozi wa Chama na Serikali Wilayani Ludewa kuzungumza na vyombo vya Habari juu ya Miaka Mitatu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan- Wilayani Ludewa. Mheshimiwa Rais ameendelea kuonekana katika...
  2. Heparin

    JamiiForums Msajili wa Jumuiya za Kiraia: Makundi ya WhatsApp kusajiliwa Kisheria kwa TZS 200,000/-

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa, amesema kampeni ya usajili wa jumuiya zisizo za kidini iliyoanza mkoani Dar es Salaam, inahusisha vyama au vikundi vikiwamo vinavyoendeshwa kwa njia ya mtandao wa WhatsApp. Amesisitiza kuwa ni muhimu vyama...
  3. Influenza

    JamiiForums Baada ya 'Royal Tour', Serikali sasa yaja na filamu nyingine iitwayo 'Amazing Tanzania'

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa Bungeni leo wakati akiwasilisha Hotuba ya kuhusu Makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi yake kwa mwaka 2024/25 amebainisha kuwa Serikali kutokana na mafanikio ya programu ya The Royal Tour, Serikali imetengeneza filamu nyingine yenye hadhi ya kimataifa ya...
  4. K

    JamiiForums Mbona shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi dhidi ya dollar ya Marekani?

    Leo dollar moja ya Marekani ni T.shs. 2580 kulikoni?
  5. D

    JamiiForums Ubalozi wa Tanzania uliopo Afrika Kusini ubadilishwe, kwa Miaka sasa amna kitu wanafanya

    1. Kuna ndugu alifaliki SA back then, yani tunajua Mefariki kwa kutumiwa picha na anatafutwa ajulikani for a month and so, gari lake likekutwa limepata ajali. mwili aupo, damu tu. Tulihustle sana balozi bila bila. Amna hata coperation. Any way. TUKIO YA LEO YANGA KUKWAMA: same same senerio...
  6. G

    JamiiForums Aina ya Bangi inayovutwa Tanzania imeachwa kuvutwa Marekani na ulaya tangu miaka ya 1970, watanzania wanaendelea kuvuta na kuyasifia makapi

    Inashangaza sana kuona hadi leo watanzania wanavuta makapi yaliyoachwa kuvutwa miaka ya 1970, yani mpaka leo hawajastuka tu. Makapi haya yanasifiwa kwa majina kama "Cha Arusha", "Tarime one", "Cha malawi", "Skanka ya Moro" n.k, kwa kujidanganya ni kiwango sawa na bangi za Marekani, ni...
  7. Mhaya

    JamiiForums Muarabu wa Tanzania anaiponda sana Marekani, akipewa viza ya Afghanistan hataki kwenda

    Pamoja na yoooote, ila Marekani ni nchi fulani yenye uhuru sana akifuatiwa na Uingereza. Hebu fikiria, kwao unafanya maandamano ya aina yoyote ile. Wanaruhusu bila tatizo na wakati nchi nyingine wanakataa. Ujerumani walisema mtu yeyote atakayeandamana kuhusu Palestina, tunamchukua na kumpeleka...
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Account Clerk at African Fibres Tanzania Limited March, 2024

    Position: Account Clerk Office location: Ubena Zomozi, Chalinze Financial Data Entry and Maintenance: Accurately enter financial data into accounting systems, spreadsheets, or databases eg Tally, ERP, Quick Book. Maintain and update financial records, including accounts payable and accounts...
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Head of Security at African Fibres Tanzania Limited March, 2024

    Open Position: Head of Security Office location: Ubena Zomozi, Chalinze Duties and Responsibilities Physical security management: Develop and implement security protocols and procedures for safeguarding agricultural and livestock assets, especially against potential encroachment by Maasai...
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Head Of Stores And Procurement at African Fibres Tanzania Limited March, 2024

    Position: Head of Stores and Procurement JOD DESCRIPTION Store operations oversight: Manage and supervise all aspects of store operations, including receiving goods and dispatching them efficiently. Innovative Procurement: Utilize innovative methods to procure farm supplies, ensuring optimal...
  11. D

    JamiiForums Tanzania hatuna team ya kuingia semi final ya caf champions league, acheni hype

    direct to the point, simba na yanga are very small teams in Africa to qualify for the semi - finals. you need 1: experience 2. quality players 3. luck 4. money 5. leadership 6. fans 7.great manager 8. good facilities tunahitaji atleast 10 years ya kucheza quarter finals to reach the finals. 5...
  12. M

    JamiiForums Watu ambao Wanatengeneza maudhui (Content) ndio wanaopewa ajira sana zama hizi, fursa za pesa Tanzania zipo kwenye Content creations

    Huu ni ukweli mchungu, zama zimebadilika Vijana mnaomaliza chuo mjifunze kutengeneza content zitakazotrend hasa za kuelimisha, kufundisha, kuburudisha na kuchekesha watu.. huko ndipo kuna fursa za dili nyingi zama hizi
  13. mwehu ndama

    JamiiForums Bondia Dula mbabe wa Tanzania ashushiwa kichapo kizito huko Uk

    Bondia mtanzania abdalah Pazi maarufu kama dulla mbabe, amekumbana na kadhia baada ya kushushiwa kichapo cha kwenda na bondia toka United kingdom , dulla mbabe amepigwa ngumi mfululizo za mdomo na jicho huku ngumi zingine zikimpata kidevuni na puani, hali iliyopelekea apepesuke na kupoteza...
  14. L

    JamiiForums Paul Makonda anakwenda kulifanya Jiji la Arusha kuwa maarufu kuipita Washington DC Marekani au Dubai

    Ndugu zangu Watanzania, Kama mlivyosikia ya kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amefanya mabadiliko...
  15. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache, wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana

    Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache,wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana.
  16. Stroke

    JamiiForums Mitandao ya Tanzania ni ya hovyo mno, Tigo, Vodacom, Airtel internet ni takataka tu. Wanatuibia pesa zetu

    Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno. Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma husika. Muda mwingi network hakuna hata ikiwa ni maeneo ya mjini kabisa. Hivi wahusika mnajielewa...
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Diaspora Tanzania Waonywa, Wasipojitambua Wataendelea kulaumu!

    Mjomba wangu Emma Maruma, mchagga. Baada ya kuishi Marekani kwa zaidi ya miaka 40,akiishi Houston Texas na kufanya kazi mbalimbali Serikali ya Marekani. Mjomba wangu Emma Maruma, akiwa na umri wa miaka 70, hatimaye alihamia Tanzania mwaka huu, akiishi katika nyumba yake kubwa ya vyumba vitano...
  18. Tman900

    JamiiForums Ukabila, ukanda, udini, ubinafsi na siasa vitaigawa Tanzania siku za usoni, tuvikemee

    Ukitazama Muundo wa Kupata kazi sehemu Nyingi za Serikali, kumekua na Ukabila, Ukanda, Udini, Ubinafsi na siasa, hivi vimetawala Sana katika akili za watu wengi, ninachokiona kupitia hivyo, siku zijazo vitatumika kuligawa hili Taifa. Mfano wazanzibar walioko katika Vyombo vya usalama na sekta...
  19. G Jonathan Kamenge

    JamiiForums Zimwi la 'Udini' na utangamano wa Tanzania yetu

    Ni maoni yangu kwamba mazimwi matatu yanayouzinga utawala wa awamu ya sita ni (Ukabila) Uzanzibari na Utanganyika, Udini na Jinsia kuliko ilivyo maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kama ilivyo kwa "mazimwi" ni aghalabu kuzungumzwa kwa sababu ya hofu ya mazimwi yenyewe kujitokeza hadharani na...
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Nani kuivunja rekodi ya kiuchumi ya Hayati Rais John Pombe Magufuli?

    Kikao cha 75 cha mkutano wa 59 wa Umoja wa Mataifa kilichofanyika Aprili 16,2021 kilitambua mchango wa kiuchumi kwa taifa la Tanzania na alama za uongozi za aliyekuwa rais wa Tanzania, Hayati Daktari John Pombe Magufuli.Kikao hicho kiliongozwa na Volkan Bozkir Rais wa baraza kuu la UN kikiwa na...
Back
Top Bottom