tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Taifa langu Tukufu Tanzania

    Mungu akulinde Jamhuri yangu na watu wangu wa Tanzania. Mungu Tukumbuke watoto wako na Uzao wa Taifa lako siku moja tusije kuwa manamba ktk Taifa letu. Baba yetu na Rais wetu wa kwanza aliona leo na akalia sana na kumbukizi zinatuambia akikaribia kuipumzisha roho yake akasema Anatuombe wa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Maisha ya magereza ya Tanzania ni kama jela za Marekani?

    Maisha ya magereza wengi tumezoea kuyaona kwenye muvi na miziki hasa ya Kimarekani. Magereza ya huko kuna ubabe uliokithiri, magenge na kubakana kwa sana. Kwa hapa Tanzania haya mambo nayo yapo?
  3. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 Afrika zenye tatizo dogo la ajira! Vijana wasio na ajira wategemee nini?

    Kwa takwimu hizi nafikiri wasio na ajira Tanzania watasota sana. Below are 10 African countries with the lowest unemployment rate in 2024: Rank Country Unemployment rate 1 Niger 0.49% 2 Burundi 0.98% 3 Chad 1.28% 4 Benin 1.58% 5 Madagascar 2.07% 6 Côte d'Ivoire 2.61% 7 Tanzania...
  4. Kaka mwisho

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania latest Car ni chache sana kuonekana. Bado wanaagiza Magari ya 2000-2010

    Kwanini Tanzania bado wanaagiza Magari ya zamani sana. Yaani mpaka Leo mtu bado anaagiza Old Model Car.
  5. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Njiti za kiberiti kutoka Tanzania, TBS wapo kweli?

    Hizi ni njiti za kiberiti Tanzania na TBS wapo! Hii ndio bidhaa ya Tanzania, sitotaja brand ila hizo ni njiti zinazozalishwa Tanzania. Hata kabla ya kuiwasha imeshajikunja, hata kwenye kuiwasha lazima ukaze mkono isijipinde na kuwaka ni kimbembe! Tanzania kushindana na mataifa mengine kwenye...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa kwa kiwango cha lami

    Ninatafuta kazi ya ukandarasi wa barabara za kujengwa Kwa kiwango cha lami, wapi kuna mradi mpya ya barabara hizo TANZANIA? Ninaomba kujulishwa au kuambiwa mradi mipya ya ujenzi wa barabara ulipo TANZANIA.
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Tanzania wakalia kuti kavu, badala ya kununua dola mil 1 kwa Tsh 2.3 bil sasa wananunua Tsh 2.9 bil

    Taarifa ya Nabii wa Mungu Godbless Lema, ambayo ameisambaza leo Duniani kote kwenye kuhamasisha maandamano ya amani huko Arusha, imewataka matajiri wote wa jiji hilo kushiriki maandamano hayo, kwa vile hata wao wamekumbwa na Ugumu wa maisha baada ya dola kutoweka, na huenda wakafirisika baada...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania Samia aagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure

    Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel amesema Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure Dkt Godwin Mollel amesema hayo leo Februari, 25, 2024 alipowajulia hali majeruhi wa ajali hiyo iliyohusisha magari manne...
  9. comte

    JamiiForums Tanzania Ukimzikiliza huu mama unaona uajabu wa wanasiasa wa Tanzania ambao wanadhani lazima washinde na wasiposhinda wanatukana

    https://twitter.com/MSNBC/status/1761567158432125272?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1761567158432125272%7Ctwgr%5E846d6e646e81a2ca35613cddb03e9e5a11890929%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=https%3A%2F%2Fnews.yahoo.com%2Fmajority-south-carolina-republicans-oppose-220610110.html
  10. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji CHADEMA ili iweze kujirejeshea heshima kama taifa huru na imara barani Afrika

    Tanzania kama taifa licha ya ukongwe wake toka tupate uhuru ni dhahiri kwamba mifumo ya utawala imekuwa ikibidi kuwa mibovu kila kukicha. Hii hali imekuwa ikichangiwa sana sana na uchu wa viongozi waliowahi kushika nyadhifa kubwa serikalini kutaka uzao wao urithi nafasi na kufuata nyayo zao...
  11. Msanii

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Tanzania yaliasisiwa na waliopigania uhuru wa Tanganyika

    Salaam kwenu. Ni kweli lengo la kupigania Uhuru wa Tanganyika, lilikuwa kuwafanya wananchi ama raia kuwa huru kuchagua aina ya uongozi na viongozi wanaotaka, kujiamulia mambo yao ya Kiuchumi, Kisiasa na Kiutamaduni bila kuingiliwa na kikundi ama mataifa ya nje. Lakini tujiulize hapa, baada ya...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Annual Tanzania Service Excellence Awards 2024 waitaja NMB kama Benki bora zaidi Tanzania

    Benki ya NMB imeshinda tuzo tatu kutoka Taasisi ya Chartered Institute of Customer Management zikiitambua Benki kama kinara katika utoaji huduma bora na wezeshi nchini. NMB imepata heshima hiyo kupitia tuzo za ‘Mwaka za Umahiri wa Huduma kwa Wateja 2024 (Annual Tanzania Service Excellence...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kati ya Nchi 4 za Afrika zitakazokuwa na Uchumi mkubwa Duniani ifikapo mwaka 2100

    #UCHUMI: Kwa mujibu wa chapisho la #YahooFinance kutoka katika Ripoti ya 'Economics in The Year 2100', ya Mtando wa #FathomConsulting, Tanzania imetajwa kuwa kati ya Nchi 4 kutoka #Afrika zitakazokuwa katika orodha ya Nchi 25 zenye Uchumi mkubwa duniani ifikapo mwaka 2100. Ripoti hiyo imeonesha...
  14. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Rais kutumia ndege ya abiria badala ya ndege yake binafsi, nani mshauri wake?

    Jamani ndege kama hii BOEING 737-9 max ni ndege ya gharama sana achana na ununuzi wake tu bali hata maintenance pia. Inasikitisha kuona Rais anatumia ndege hii yenye gharama kiasi hiki huku ndege ya Rais ikiwepo bado. Sitashangaa ikipata hitilafu tukaitelekeza mahali kwa sababu matumizi yake...
  15. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Waislamu nchi wakipelekwa kwenye nchi wanazoona bora watarudi mbio Tanzania wakiangalia amani walioiacha hapa

    Ukitaka kujua shida angalia wale kila kukicha wakikimbilia Ulaya kutafuta amani na utulivu na nchi nyingi ndio za kiislamu. Sasa kuna Msomali mmoja alikuwa rafiki yangu sana japo Kiswahili chake cha shida kwa sasa yupo Canada, kuna neno aliniambia; "Hawa wanaojifanya hapa Tanzania uislamu...
  16. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Ivi ndivyo Nchi Walivyotaka Kuiongoza Lakini Sio Kama Ule Uongozi.

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya mungano...... mtamalizia wenyewe!
  17. Hidden Diamond

    JamiiForums Tanzania Mto nile umepita Tanzania?

    Je, ni kweli mto Nile umepita Tanzania. Na kama ni kweli umepita mkoa upi Tanzania kama hamtajali mnaweza kunitajia chanzo cha mto nile ni wapi na nchi ambazo mto Nile umepita
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu asema Tanzania inakopa kwa sababu inaweza kulipa

    Serikali imesema nchi inaendelea kukopa fedha kwa ajili ya utekelezaji miradi ya kimkakati kwa sababu ina uwezo wa kulipa. Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa Februari 23, 2024 na Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, akisema kadri nchi inavyokuwa tajiri ndivyo viwango vyake vya madeni huwa vikubwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni Jamuhuri ya Watu wa Kukurupuka?

    Kwa yanayoendelea sasa hapa nchini sambamba na mengine ya siku za nyuma, nikisema hii ni Jamuhuri ya Watu wa Kukurupuka nitakuwa nakosea? Kabla ya kujibu hili swali, tafakari mfululizo wa matamko kuanzia yale ya kusitisha mishahara na haya mengine ya leo. Tuna safari ndefu sana wabongo!!
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania yasaini Mikataba miwili ya Tsh. Bilioni 398.7 na AfDB kwaajili ya ujenzi wa SGR

    Serikali ya Tanzania na Benki ya Maendeleo ya Afrika (@afdb_group ) zimesaini mikataba miwili yenye thamani ya takribani dola za Marekani milioni 158.1 (sawa na shilingi za Tanzania, bilioni 398.7) kwa ajili ya ujenzi wa Mradi wa Kimataifa wa Reli ya Kisasa (SGR) utakaoziunganisha nchi ya...
Back
Top Bottom