tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Sitashiriki kamwe chaguzi yoyote nchini Tanzania kwa sababu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa na Wizara ya Ardhi

    Kipimo kikuu cha akili na ustaarabu wa binadamu yeyote yule ni namna anavyopangilia maeneo yake anayoishi na kufanya shughuli zake. Haijalishi kama anajenga nyumba za kitajiri au za kimaskini ila namna gani alivyopima na kupangilia makazi yake ndicho kielelezo pekee kinachoweza kukwambia kuwa...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shemsa Mohamed: Chagueni CCM kwa Maendeleo, Amani na Ustawi wa Tanzania

    SHEMSA MOHAMMED: CHAGUENI CCM KWA MAENDELEO, AMANI NA USTAWI WA TANZANIA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shamsa Mohammed ameendelea na Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 katika Wilaya ya Busega na kuwasihi wananchi wapenda maendeleo kuwaunga mkono...
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Uhalifu wa mitandaoni tanzania basi tena!!!! 2024 /2025

    Serikali nchini Tanzania imeamua kuunda kikosi Kazi maalum cha kufuatilia makosa yote ya uhalifu mtandaoni, baada ya kufanyika mkutano wa wadau wa mawasiliano Jana novemba 22 mwaka 2024. Mkutano ulifanyika makao makuu ya mawasiliano Tanzania (Tcra) , Dar es salaam ukihudhuriwa na Waziri wa...
  4. popah21

    JamiiForums Tanzania Ombi la wachimbaji wadogo kiomoni kwa mheshimiwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania, dr. Samia.

    Sisi wachimbaji wadogo kutokea mkoani Tanga wilaya ya Tanga kata ya Kiomoni mtaa wa Kiomoni, tunamuomba mheshimiwa raisi awaamrishe makamishna wa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro waweze kutulipa fidia zetu, tumekua tukidai fidia zetu miaka na miaka kutokea mwaka 2021, tunasomesha watoto katika...
  5. alaksh natena

    JamiiForums Tanzania Toyota rav miss Tanzania

    Wakuu naomba msaada kujua Toyota rav 4 miss TZ naweza toa mlango wake na kuweka mlango wa vanguard yaani rav 4 isiyokuwa na tairi nyuma ya mlango? Pili Kama ni ndiyo naomba kujua Bei ya mlango huo kwa used
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kabla wabantu hatujaingia Tanzania, inaonekana nchi ilijaa mbilikimo

    Wengi tukisikia mbilikimo huwa tunawaza wale wa misitu ya Congo, lakini historia inaonyesha kusini yote ya Africa, yaani kuanzia misitu ya Congo, kuja Uganda, Kenya kidogo, Tanzania yote hadi Africa kusini kulijaa mbilikimo na Wasan (Wabushemen). Wabantu walipokuja wakachanganyana na mbilikimo...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inazidi kuchukiwa kila kona ya Tanzania, kutokana na kupoteza uelekeo na utovu wa nidhamu na ukaidi wa sheria kwa waandamizi wake nchini

    "Mtashurutishwa kutii ratiba, kanuni na sheria za nchi bila shuruti mpaka lini chadema yangu? Vijana wanatukana viongozi wa nchi wanaachwa tu? Nani atatupenda chadema, na nani atatuheshimu sisi kama chadema kwa hali hiyo? Tutaacha kugawanyika kweli kama ndio hivi? nani atachagua watu ambao...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo kuongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano wa kujadili amani na usalama Ukanda wa Maziwa Makuu

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ataongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa Kawaida wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje (RIMC) wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) utakaofanyika jijini Luanda, Angola...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hongera mama Sasa tumekuwa ngoma moja na Brazil kimpira Tanzania inaogopeka sana umenyanyua soka la bongo.

    Mwenye macho haambiwi tazama. Tanzania mama ameinyanyua kimpira au kisoka. Tanzania inaogopeka sasa. Tumecheza na guinea nchi ambayo inq wachezqji mpaka wa Dortmund lakini tumewatandika. Hii yote ni guvu ya goli la mama Mitano tena.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania bila katiba mpya ni sawa na CCM kuumiliki upinzani

    Unajua inasikitisha sana, sijui wanasiasa wa upinzani wanajali zaidi ruzuku au kushika dora? Haya manyanyaso hayatakuja kuisha sababu wanaowatuma polisi kuwanyanyasa wapinzani ni makada wa CCM, hebu fikiri mkuu wa wilaya ni mkuu wa kamati ya ulinzi wa wilaya na RPC yuko chini yake na wote...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tukubali waamuzi wa Tanzania ni janga la taifa lile goli walilofunga pamba lilikuwa na tatizo gani?

    Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe! Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aieleza G20 namna ambavyo Tanzania itailisha Afrika

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika mkutano wa nchi zenye uchumi mkubwa duniani G20 alipata nafasi ya kueleza mikakati ya Tanzania ya kujitosheleza kwa chakula na kulisha nchi zingine Afrika. Aliyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mkutano huo wa G20 kuhusu...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania siyo masikini, tumeshindwa tu kutumia rasilimali vizuri

    Wakuu, “Umasikini ni tafsiri, mtu anaweza kuja Tanzania akasema Tanzania ni nchi masikini, lakini ni tafsiri, inategemea vigezo gani ametumia. Mimi ukiniambia Tanzania ni nchi masikini ninakukatalia, ninakwambia Tanzania siyo masikini, sisi ni matajiri mno, tuna rasilimali, tuna maji, tuna...
  14. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Sisomi tena TANZANIA

    Mfumo wa elimu wa wengi umewafunza kuomba nafasi mezani ilihali maisha yanataka mtu achukue(ak-claim) nafasi yake mezani kibabe. Ukiomba unaweza kupewa ama kunyimwa, ukichukuwa nafasi yako mezani kibabe kila mtu atabaki akijiuliza, huyu ni nani? Nani yuko nyuma yake? Ametoa wapi ujasiri...
  15. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Sijaona Mkuu wa Mkoa bora Tanzania hii kumzidi RC Mtanda

    RC Mtanda piga kazi usiyumbishwe na maneno ya wakosaji sisi ambao tunakufahamu tunajua wewe sio mtu wa maneno ni mtu wa vitendo kwanza haupendi uonevu wewe unajali kuwaletea maendeleo wananchi tu ona sasa Mwanza ulivyobadilika baada ya kuingia wewe kuwa mkuu wa mkoa endelea kupiga kazi mkuu sie...
  16. B M F ICONIC

    JamiiForums Tanzania Changamoto, malalamiko, kero na ukombozi wa Sekta ya Afya Tanzania

    Kero na malalamiko wanayoyatoa wa Tanzania kuhusu changamoto kwenye Sekta ya Afya moja ya sababu ni Mifumo iliyowekwa huko nyuma kusimamia afya na kum chagua Mtu ambae hana maono / jicho la kutambua kero na Hajasomea Afya kusimamia Sekta ya Afya. Kwani yeye sio Daktari na hajawahi hashinda...
  17. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Kwanini Micky Jnr anachochea sana moto Tanzania wapokonywe nafasi yao AFCON apewe guinea?

    I salute you kinsmen. Huyu jamaa kwa sasa amezidi kututibua nyongo watanzania kwa kiasi kikubwa sana Inasemekana kuwa Tanzania wanaweza kupokonywa nafasi yao kushiriki Afcon na akapewa Guinea sababu hasa ni kuwa jamaa wameandika barua CAF kuwa. Haya yote ni nonsense kabisa Guinea wanatapa...
  18. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI WA PICHA: Wakuu wa Mikoa kuingilia soka Tanzania

    mwanajamvi jionee mwenyewe haya mambo yalikotokea
  19. Brojust

    JamiiForums Tanzania Hivi ina maana ile boeing max mpya, ilipelekwa Brazil halafu fasta ikarudishwa Tanzania

    Wenye mamlaka mnaenjoy sana. Mngejua hali ya huku chini basi tu. Wanamahesabu tuambie approximately ilitumia kiasi gani Siamini kama nakunywa gongo. Nimemaliza.
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini uchawi/ulozi/ ushirikina unapigwa marufuku na kuharamishwa katika mpira Tanzania?

    Tanzania ni nchi huru kidini na kiimani, kila mtu yuko huru kufanya mambo ya kiimani anayoona yanamfaa, Sasa kwa nini kwenye mpira wachezaji wakifanya matendo ya ibada ya dini mbili za Ukristo na Uislamu ni sawa lakini wakifanya vitendo vinavyoitwa vya ushirikina, ulozi, uganga, matambiko au...
Back
Top Bottom