tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Heparin

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashindwa kesi, yakubali kuilipa fidia Kampuni ya Montero Tsh. Bilioni 71 kwa kukiuka Masharti ya Mkataba

    Tanzania inadaiwa kudondokea pua katika mwendelezo wa kesi zinazoikabili ambapo sasa itatakiwa kuilipa Kampuni ya Montero zaidi ya Tsh. Bilioni 71 kama fidia kwa kukiuka masharti ya mkataba. Inadaiwa kuwa tayari Novemba 20, 2024, Serikali imeshalipa Tsh. Bilioni 30 na zilizobaki inatakiwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maono: Kama viongozi wetu wataendelea hivi Majanga hayataisha Tanzania

    Kwa sisi wenye imani tunaamini majanga yetu ni kwasababu ya uporaji wa haki na bila kuwa na upendo na haki kwa wote ikiwa ni pamoja na katiba nzuri, demokrasia ya kweli, bunge na mahakama inayotoa haki majanga nchini hayataisha. Majanga yatakuja ya mvua, matetemoko , ajali na vifo. Viongozi...
  3. Investigation Unit

    JamiiForums Tanzania Gautam Adani na kashfa ya rushwa Marekani: Je, ni nini hatma ya TANESCO na PPP ya David Kafulila, tenda apewe au atoswe?

    === Billionaire wa Kihindi na tajiri namba mbili barani Asia Mr Gautam Adani anayetajwa pia kuwa ni miongoni mwamatajiri kumi ( 10 ) duniani anakabiliwa na tuhuma za kuahidi kutoa rushwa ya kiasi cha US$ 250M zaidi ya TZS 650bn ili apate kazi na Mikopo toka kwa mabanki na Wawekezaji...
  4. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Serikali impige marufuku kukanyaga Tanzania Micky Jnr kwa kuipakaza Taifa Stars

    Yupo mwandishi uchwara wa habari za michezo raia wa Ghana aitwaye Micky Jnr ambaye kwa ujinga wake ameamua kuwa upande wa wasio itakia mema timu yetu ya Taifa na kueneza habari za kuhanikiza iondolewe kwenye mashindano ya mpira wa miguu ya AFCON yajayo huko Morocco. Kama Taifa ni lazima...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TFF yakanusha kuhusu Tanzania kuwa hatarini kuondolewa AFCON 2025 baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF)

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeeleza kusikitishwa na taarifa zinazozagaa mitandaoni kuhusu uhalali wa mchezaji Muhamed Ame kuchezea Timu ya Taifa (Taifa Stars). TFF imefafanua kuwa Ame ni miongoni mwa wachezaji 23 walioorodheshwa rasmi kwa mechi dhidi ya Guinea, na alikaguliwa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania hatarini kuondolewa AFCON 2025 baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF)

    Wakuu, Mwandishi wa habari za michezo wa Ghana, Micky Jr ameripoti kuwa, Tanzania inaweza kuondolewa kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nchini Morocco licha ya kufuzu, baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF). Pia, Soma: Full Time: Tanzania 1 -...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yaanika Application 69 zilizofungiwa kwa utoaji mikopo kidijitali bila leseni

    Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications" zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania. Aidha, Majukwaa na Programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Yanga imevunja record Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika

    record babkubwa zaidi. 1) Aucho mchezaji wa Yanga alikuwa timu yao ya taifa na wamefuzu. 2) Diarra yupo Yanga kashiriki kufuzu AFCON na Mali imefuzu. 3) Dube yupo Yanga na kashiriki kufuzu AFCON na Zimbabwe imefuzu AFCON 4) Aziz ki yupo Yanga na kashiriki kufuzu AFCON na Burkina Faso imefuzu...
  9. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nairobi: Kamishna Mkuu wa TRA atembelea Ubaloz wa Tanzania nchini Kenya

    Baada ya kikao cha Wakuu wa Mamlaka za Mapato za Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda ametembelea ubalozi wa Tanzania nchini humo na kuwashukuru watumishi wa ubalozini kwa kazi ya uwezeshaji wa shughuli za kibiashara...
  10. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Tanzania yaipiku Kenya katika FIFA - Football ranking - CAF Zone, Rasmi Tanzania na Uganda ndiyo Giants wa soka East Africa

    Je, huu ni Mwanzo wa Tanzania kuwa power house of East africa, Kimichezo na Kiuchumi kama ilivyokuwa mwanzoni mwa miaka ya 80's?
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mdude: Tanzania haina kifaa cha uokozi kwenye majanga ya Vifusi na maji (rescue radar)

    Hiki kifaa kinatumika wakati wa majanga ya watu waliofukiwa kwenye kifusi au maji ku-scan na kujua walipo. Hiki kifaa TZ haina na kinauzwa milion 10 tu. Ila Samia katoa milion 700 za pongezi kwa Taifa stars, halafu waokoaji Kariakoo wanakisia kutafuta wahanga walipo ili wawaokoe.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania hauna nguvu ya kuleta mabadiliko huu ndiyo ukweli.

    Zilikuwa Propaganda tu za kutojianda kwenye uchaguzi, wamethibitisha wenyewe mmeliona. Hadi muda huu hakuna chama kilichosusia uchaguzi kila chama kipo dimbani kwenye kampeni, CHADEMA wao wameamua kuchangisha kabisa na Fedha za ufunguzi wa kampeni kwa maana hiyo vyama vyote vimethibitisha...
  13. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi inayotengeneza matatizo na kutatua matatizo

    Tangu uhuru, Tanzania imekua na Viongozi wengi ambao si wajenzi wa taifa, ni wasuluhishaji wa MATATIZO ma mambo kisiasa na kuacha mianya kesho mwingine aje ale. Barabara zinajengwa hazimalizi hata decades zinabomolewa, masoko, airport mbali mbali, mahospital, mifumo ya maji na umeme, maswala ya...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwa sasa kuna Wimbi Kubwa sana la Vifo vya ghafla ghafla vya Wasanii wa Maigizo nchini Tanzania?

    Je, ni.... 1. Ahadi ya Mola 2. Kafara la Kundi 3. Dally Kimoko Virus 4. Kurogana / Kupigana Vipapai 5. Kupenana Sumu kutokana na Umaarufu wa ghafla wa Mtu
  15. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Nani ni Brand ambassador bora Tanzania kwa sasa kati ya Babalevo, Idriss Sultan, Mwijaku na Joti?

    Nilikuwa natazama nominations ya tuzo fulani hapa Tanzania. Nikaona majina ya brand ambassadors wanaochuana kama mnavyoona kwenye picha. Kwa mtazamo wako unadhani ni nani bingwa hapa kwa kuitambulisha bidhaa kwa mteja na ikamvutia na kuitumia? Mimi kwa sasa nasimama na Babalevo.
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Tanzania wanapenda ziara za nje kuliko hata raia wake?

    Hii ndiyo tabia ya viongozi wetu kupenda kusafiri, kuiona dunia. Yaani hata wanatafutiwa Ndege kwa ajili ya safari tu! Hiyo ni kazi ya maendeleo ya Taifa? Wakati MV Bukoba inazama mwaka 1996, waziri mkuu wa Taznzania Ndg. Sumaye alikuwa ziarani Kusini mwa Afrika. Ikatangazwa ni janga la...
  17. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwanini hii ndege ya serikali imeitwa Musoma na sio jina la mji mwingine wa hapa Tanzania?

    Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii ndege ya serikali imeandikwa musoma. So maybe help me to understand kwa nini iitwe musoma na sio Iringa,kasulu,sumbawanga,ilala au mji mwingine wowote? Asante
  18. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania

    Kubali au ukatae wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania,kabila tajiri,kabila la watu wakarimu na kabila la watu wanaojielewa sana na pia kabila ambalo halina ubinafsi kama makabila mengine. Yaani kuna mikoa mingine ukienda kutafuta pesa au maisha wenyeji hawakuruhusu kumiliki ardhi wala...
  19. dogman360

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu Vilivyotambuliwa na UNESCO Tanzania

    Kwa nini Utambuzi wa UNESCO Muhimu? Vyeti kutoka vyuo vikuu vilivyotambuliwa na UNESCO vinakubalika kote duniani. Waajiri mara nyingi huthamini sifa kutoka vyuo vikuu vilivyotambuliwana unesco .sana sana kazi za mashirika ya kimataifa . Utambuzi wa UNESCO unaonyesha kwamaa chuo kinatoa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Jana: Nigeria 1-2 Rwanda, Ghana 1-2 Niger Kwanini mnakuwa wazito kuamini Tanzania anashinda leo

    Hivi wasiwasi unatoka wapi, Huyo Guinea Alikaa mchezo wa kwanza akiwa kwao.. Mpira ndugu zangu umebadirika pakubwa.. Mlitegemea Comoro angeweza kufuzu kwa kuongoza kundi mbele ya Giant Tunisia.. Mlitegemea jana Rwanda kuifunga Nigeria kwake na kufikisha alama 8 sawa na Benini. Naomba tuwe...
Back
Top Bottom