tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Inside10

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

    Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Tanzania shida ni nini?

    Habarini ndugu, Hii inawahusu moja kwa moja bodi ya mikopo elimu ya juu,kunashida gani mpka wanachuo mpka wiki jana hawajapata boom? Na nikiangalia kwa umakini huo ni mkataba kati yenu ninyi na wanafunzi husika sasa inakuwaje mpka boom linachelewa hivo? (Haswa kwa wanafunzi wenye akaunti ya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania JF MUSIC AWARDS: Upi wimbo bora wa mwaka 2024 kutoka kwa wasanii wa kurap Tanzania?

    Karibu kwenye kipengele hiki kizito cha upi wimbo ulio bora na umefanya vizuri kwa wasanii wetu wa kurap Tanzania. Piga kura ili tumpate mshindi. Tuzo za Tanzania huwa zinalalamikkiwa kwa kukosa uwazi, sasa hizi atakeyekuwa na kura nyingi ndie ataibuka mshindi. Malengo siku moja, sisi wanachama...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupitia TASAC imeteuliwa kuwa nchi mwenyeji wa Mkutano wa 7 wa Jumuiya ya Mamlaka za Usimamizi wa Usafiri Majini Barani Afrika

    TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA SABA WA (7) WA JUMUIYA YA MAMLAKA ZA USIMAMIZI WA USAFIRI MAJINI AFRIKA Dodoma. Wizara ya Uchukuzi inautaarifu umma na wadau wa sekta ya usafiri majini kuwa Tanzania kupitia Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) imeteuliwa kuwa nchi mwenyeji wa...
  5. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Simba ndiyo club iliyokomaa zaidi kimpira Tanzania

  6. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Tanzania Yupi CEO wako bora kuwahi kutokea Tanzania? Nchi masikini zinafeli wapi!?

    Hodi Jamvini, Nawasilisha mada hapo juu kuhusu dhana ya MaCEO's ambayo huku ipo lakini naona bado ipo duni sana. Kwenye suala la utendaji hatupimani kabisa kuhusu performances. Unakuta mtu ni mtendaji mkuu wa kuajiriwa iwe ni sekta binafsi au serikali yupo miaka mingi lakini bado Shirika au...
  7. Mparee2

    JamiiForums Tanzania AIR Tanzania, ndege yetu pendwa!

    Naomba niwakumbushe tu hawa wenzetu kuwa Sababu mojawapo kubwa kabisa inayofilisi mashirika ya ndege ni kuto kuaminika. Kuaminika maana yake ni kuwa na ndege ambayo abiria hana uhakika kama itasafiri, lakini muhimu zaidi, itasafiri kwa wakati uliopangwa kwenye ratiba. Hii ni kwa sababu, watu...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Nyalandu: CCM ikiyumba Tanzania itadorora, Maendeleo ya kweli yataletwa na CCM

    Waziri wa Zamani wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amesema Maendeleo ya kweli yataletwa na Chama cha Mapinduzi Akiwahimiza Wananchi kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa wanaotokana na Chama hicho Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Akizungumza na Wananchi wa kata ya Msisi Wilaya ya...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jinsi ya Kupiga Kampeni ya Kugombea Ubunge Tanzania

    Kupiga kampeni ya kugombea ubunge Tanzania ni mchakato unaohitaji maandalizi mazuri, mkakati wa kina, na kuzingatia sheria na taratibu za uchaguzi. Fuata hatua zifuatazo: 1. Elewa Sheria na Taratibu za Uchaguzi Soma na kuelewa Sheria ya Uchaguzi wa Tanzania, kanuni za NEC (Tume ya Taifa ya...
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashinda tena tuzo kubwa ya utalii ya kuitwa World's Leading Safari Destination

    Wakuu, Tanzania imeendelea kung'ara kwenye utalii katika ngazi ya kimataifa na hii ni baada ya kuibuka kidedea kwa mara nyingine tena kwenye tuzo za World’s Leading Safari Destination ============================================================= Hatimaye baada ya mchuano mkali Tanzania...
  11. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Wahindi walioko Tanzania huwapeleka watoto India kwa lazima kujifunza ugumu, ubahili

    Nilipewa hii habari juzi kati na ni kweli kwamba Wahindi wanao kaa Tanzania, hata Kenya pia, na kwingineko watoto wao walio zaliwa huku huku huwa wakisha fikisha umuri fulani wanapelekwa India either Kusoma au kwenda kujifunza Ubaya. Hata kama kaenda kusoma India pia lazima akajifunze na Ubaya...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu Tanzania havina umuhimu wowote, serikali iwekeze kwenye vyuo vya kati

    Ninayeandika hapa si mhanga wa ajira baada ya kumaliza chuo kikuu , maana hamchelewi kusema stress za unemployment zinanichanganya. Nina elimu ya university mwenye shahada ya Usimamizi wa Rasilimali watu na vifani vingine vingi. Ingawa sifanyi kazi ya HRM. Iwe na sharti kila mahali penye...
  13. Topman

    JamiiForums Tanzania Top 20 countries zenye uwezo mkubwa wa kivita. Je, Tanzania tupo nafasi gani?

    Source: Gobal Firepower Link; 2024 Military Strength Ranking Top 20 countries; 1. United States of Ameirca 2. Russia 3. China 4. India 5. South Korea 6. United Kingdom 7. Japan 8. Turkey 9. Pakistan 10. Italy 11. France 12. Brazil 13. Indonesia 14. Iran 15. Egypt 16. Australia 17. Israel 18...
  14. Saa kumi na moja

    JamiiForums Tanzania Hamsini ya Noti (Benki kuu ya Tanzania)

    Hamsini ya noti Wakongwe hii ilitumika mwaka gani? Na vitu gani ulikuwa unaweza kununua?
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio mtoto mwenye akili nyingi kuliko wote Tanzania 2024

    Huyu mtoto ukimsikiliza ana uwezo mkubwa sana wa kujieleza na kufanya hesabu. Anajibu maswali ambayo hata wewe huwezi kuyajibu hapo ulipo saivi Ee Mungu tunakuomba huyu mtoto asiharibiwe na mfumo wa elimu yetu. Mtumie huyu mtoto kuonyesha ukuu wako. Amen na Jumapili njema WE PROTECT THIS...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Zanzibar ni vitu wivili tofauti kabisa, yawezekana hata viongozi wetu hawawezi kutofautisha kati ya Tanzania na Zanzibar

    Kuna neno Tanzania na Kuna neno Zanzibar, haya maneno mawili hayana shida, yako vizuri tu na yanaeleweka ila unapojaribu kuyaweka kwenye sahani moja ndipo utaona utata wake. Utata usiomithirika. •Ukifika wakati wa uchaguzi mkuu ndipo utagundua kuwa haya maneno yana utata sana. Kuna watu...
  17. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Theresia Dismas : Mama jasiri aliyeiletea Tanzania medali ya kwanza 1965

    Katika medani ya kimichezo Tanzania, historia ya kuletwa medali ya kwanza katika mshindano ya kimataifa ilitekelezwa na mwanamama Theresia Dismas Watanzania hatukumjua na hata tukatabiri kwamba mama yetu Theresia Dismas hayupo duniani kama nilivyowahi kuandika katika blog hii. Ukweli ni...
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akichaguliwa rais wa Tanzania utafanya nini?

    Japo simpigii kampeni, nani ajuaye mipango ya Mungu. Katika gombea gombea ikatokea Tundu Lissu akachaguliwa kuwa rais, utanya nini au utajisikiaje? Nakumbuka. Alimuonya Magufuli juu ya uvunjaji wa sheria za mikataba akataka kumuwahisha kuzima akaishia kuwahi yeye. Alinusurika kuuliwa. Hakuuguzwa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini soka la Tanzania limetawaliwa na Waislamu?

    Asilimia 90 ya viongozi kwenye mpira ni waislamu na hao wakristo watalaazimishwa kufuata tamadani za kiislamu. Na hata baadhi ya timu ili upate number ni lazima ubadili dini kwenda uislamu hata kwa siri. Selection ya wachezaji taifa stars imejaa udini. Wachezaji wa kiislamu wanajazwa sana...
Back
Top Bottom