Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Habari JF,
Naomba kuuliz kuhusu PMP(Project Management Professional) certified imeanza kuwa ya lazima kwa baadhi ya taasisi za serikali?
Maana kuna tetesi nimesikia kwa taasisi kama TANESCO NA TCRA wanataka watu waliokuwa na PMP hasa wahandisi, mwenye ukweli kuhusu hili anijulishe.
Habari wadau
Nimekumbuka sana heka heka za bwawa la umeme la rufiji kujengwa.
Ili bwawa limejengwa kwa mbinde sana.
Mshindi wa tenda hiyo kampuni ya Arab contractor ilipitiq vitisho vingi sana kwamba haitapewa support yoyote na ikapigwa vikwazo na banks zilizokuwa zinam support mpaka bank ya...
Miji ya Bongo ni aibu tupu na kero, Dar jiji kubwa halina hata Garden ya kusingizia, Jiji limajaa Frame tupu, Aridhi tunayo nini kinashindikana?Kila sehemu ya wazi basi hio ni soko la wamachinga.
Nenda Arusha ni full majengo yalio jaa frame, eti Geniva ya Africa, Ardhi zilizo kuwa za wazi kwa...
kwenye hii kesi jamaa yetu alichaniwa shati akiwapambania kawaingiza chaka wakafungue shauri canada yaani tumbili akashitakiwe kwa nyani. Anyway, yaani tukishitaki tunashindwa, wakitushitaki wanashida.
Huu mtandao wengi walikuwa wanautumia kwasababu za ngono! Lakini kwa wanaodeal na kutuma package za picha kubwa ulikuwa mzuri! Hapa kwangu ni zaidi ya miezi kama 6 hivi siupati!
Kwa Sasa CCM na serikali yake dhalimu wamezidi dharau nyingi. Wanafanya udhalimu wa wazi mchana peupe wakijua hakuna wa kuwafanya chochote.
Chaguzi ndio njia pekee ya kukabidhiana madaraka kwa amani. Pale ambapo uchaguzi hauheshimiwi na kura za wananchi hazipewi uzito unatakiwa basi njia...
Kipindi cha jk watu walifurahia kupiga kura kwa sababu kila kura ilikuwa na thamani na aliyeshinda ndo alitangazwa.
Lakini tangu Hayati Magufuli aingie madarakani tanzania ikawa jehanamu ya kila uozo. Vyama vya upinzani vikaanza kuonekana ni wakimbizi ndani ya nchi na vikaanza kusakwa kama...
Tanzania will maintain its agreements with an Adani Group subsidiary despite the recent indictment of Gautam Adani, the group’s billionaire chairman, on charges of bribery and fraud, a senior ports authority official confirmed.
Last week, Adani and his nephew faced fraud charges and arrest...
Wakati fulani mtu fulani alihoji humu sababu ya Kenya na Uganda kuwa na raia wengi walio ughaibuni na baadhi ya wadau wakadai ni kwa sababu nchi zao hazina fursa kama Tanzania.
Kuna taarifa inayoonesha kuwa Kenya, Uganda, na Rwanda zina raia wake wengi wanaosoma vyuo vya nje kuzidi Tanzania...
Ndani ya kipindi cha wiki tatu tu Tanzania tumeshuhudia vifo vya viongozi wawili wa kitaifa wakifariki wakati wakitibiwa kisiri huko India kinaashiria bado huduma zetu za kiafya hapa Tanzania ni duni, mbovu au haziaminiki na watanzania walio wengi wakiwemo viongozi wakubwa wa kitaifa.
Taifa...
1. Leo salary advaance/pension advancy /mikopo iko, kesho inaondolewa kesho kutwa inarudishwa! majaribio!
You cannot plan anything with this Saccos!
2. Most of the time ATM ni out of order
Wapo wapo tu nadhani hawana dira, wanafanya wanalolifikiria leo!
Taifa lenye misingi ya maarifa ya ukatiba thabiti na Demokrasia haliwezi kuwa na watu dhaifu katika kuishi kutenda haki na wajibu kwa misingi katiba na sheria, pia kuheshimu muundo wa demokrasia.
Taifa lolote hutegemea maarifa ya tasnia ya sheria, political administration, policies...
Hivi karibuni huko Tanzania Bara kumekuwa na mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo leo Novemba 27, 2024 Wananchi wanapiga kura.
Mimi kama mdau wa siasa na mifumo ya Uchaguzi Zanzibar nimekuwa nikipokea maswali mengi kuhusu kwanini Zanzibar kumekuwa hamna shamrashamra za Uchaguzi kama...
Kuna matumaini kuwa huenda mafuta yakagundulika Zanzibar. Ni habari njema!
Hilo likitukia, Tanzania itakuwa tajiri kama Libya ilivyokuwa kabla ya kuangushwa kwa utawala wa Gaddafi?
Sina uhakika kama Gaddafi alikuwa na Maalmasi, Matanzanite, Madhahabu, na Mamikaa ya mawe kama Tanzania, lakini...
Na John Mapepele
Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi amesema Tanzania inakwenda kuandaa Tuzo za Utalii duniani (World Travel Awards, WTA) kwa Bara la Afrika kwa mwaka 2025.
Dkt. Abbasi ametoa kauli hiyo leo Novemba 26, 2024 wakati akiongea na Vyombo vya Habari mara baada ya...
Due to the government's control over mainstream media in Tanzania, individuals now turn to social media to access alternative perspectives on government affairs, allowing them to openly challenge and criticize the administration. The...
Aisee nimeshaona mijadala Mingi saana ikisema Tanzania hakuna developer mara ujanja ujanja mwingi... hapa nitaelezea sababu kuu tatu ambazo ndo zinapelekea haya mambo.
1.Ufahamu wa Technology (Elimu)
yaani ni zaidi ya 60% ya watanzania wanamiliki simu janja lakini swala la matumizi sahihi ya...
Kwanza wanaongea Sana, midomo mingi, captain WA timu anasema tutapawapiga tano Yani anaongea kama anaharisha, Bora wamefungwa Kodi zetu watanganyika zimepona, maana wangeshinda wangemwagiwa hela nyingi Sana
Tuombe na WA kesho wafungwe.
Kwanini vijana wa Tanzania hawajadili mambo muhimu? Ni swali linalopaswa kutafakariwa kwa kina hasa tunaposhuhudia kundi kubwa la vijana likitumia muda na rasilimali zao kuwasifia viongozi pasipo kutathmini kwa kina viashiria vya moja kwa moja vya utendaji wao wa kazi unaolenga kuboresha maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.