tangazo

  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tangazo

    1. Chinese translator 2, finance 3.hotel reception desk Contact number 0752333880
  2. W

    JamiiForums Tanzania Huduma za ujenzi wa sakafu ya tarazo

    🔨 UNAHITAJI SAKAFU TARAZO IMARA NA YA KISASA? 🔨 Tunatoa huduma za ujenzi wa sakafu ya tarazo kwa shule, maghala (godowns), majengo ya biashara na makazi kwa ubora wa hali ya juu. ✅ Tunatumia vifaa bora na wataalamu wenye uzoefu ✅ Ujenzi imara unaodumu kwa miaka mingi✅ Bei nafuu na...
  3. Denis Gregory

    JamiiForums Tanzania Tangazo Nafasi yakazi ya haraka kweli

    Natafuta kumwajili mtu mwenye cheti cha ADDO.. Medication back ground.. Anisaidie kuuza dawa.. Zinga Bagamoyo.. Unasifa izo na unahitaji wasiliana nami 0679102559 au 0755102559
  4. EDIGAR JO

    JamiiForums Tanzania 🚨🚨🚨🚨 MLIONA TANGAZO

    TANGAZO NI ZURI SANA HUENDA KUNA WATU NIKATOKA NAO HUU MWAKA CHA MSINGI NI USHIRIKI
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi unarudi: CCM, Makalla na mzee Wassira fuatilieni hili tangazo

    Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru. Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi. ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY. Haya ni matusi kwa CCM.
  6. greater than

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA AJIRA,ARCHITECT/CIVIL ENG

    Kuna nafasi ya kazi kwa mtu mwenye taaluma ya Usanifu majengo.... Architect/Civil engineer Uzoefu : miak isiyopungua miwili. Ukiwa interested nicheki inbox...
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANGAZO: FURSA YA KUSHIRIKIANA KATIKA BIASHARA YA KIWI NYEUSI

    Unatafuta fursa ya kuwekeza katika biashara yenye bidhaa inayotembea? Tunatafuta mshirika wa biashara kwa ajili ya bidhaa yetu ya kiwi nyeusi kwa viatu! ✅ Masoko yetu kwa sasa ni wanafunzi – wateja wa uhakika! ✅ Sehemu ya uzalishaji ipo tayari. ✅ Package zipo tayari kwa usambazaji. Tunahitaji...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi

    Hello members tangazo limeisha muda .. Na wahusika wameshapatikana
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnahitaji tangazo jipya bora la TONE TONE, hili la sasa halitafika mbali

    Tangazo la TONE TONE la CHADEMA la sasa linaonyesha zaidi ufahari na lenye kuwakilisha mazingira ya tabaka la mjini na kishua zaidi. CHADEMA, halina msisitizo na msisimko wa wale mnayopigania au kuhitaji kutoka kwa jamii kama chama.
  10. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwa sisi ambao haipiti siku bila kugegeda,hili tangazo la serikali tulieleweje?

    Wakuu. Nimelia sana,kuona hili tangazo la serikali.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta dalali wa kiwanja

    TANGAZO: NATAFUTA DALALI WA KIWANJA Natafuta dalali wa kusaidia kuuza kiwanja changu kilichopo Bukoba Mjini. Kiwanja kina eneo zuri, kipo kwenye mahala pazuri kwa makazi au biashara, na kina hati halali. Dalali anayejua soko la viwanja Bukoba na anaweza kupata mteja haraka awasiliane nami...
  12. detected

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA KAZI YA MUDA MFUPI - MWANZA

    Nafasi: Wasaidizi wa Kukusanya Data za Wateja Eneo: Mwanza Mjini Muda wa Kazi: Mwezi Mmoja Mwisho wa Maombi : 27-02-2025 CollectTech Limited inatangaza nafasi za muda kwa vijana wanaoishi Mwanza Mjini kwa ajili ya kazi ya kukusanya data za wateja. Sifa za Mwombaji: • Awe mkazi wa Mwanza...
  13. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania UTUMISHI: Tabia ya kutoa tangazo halafu mnaita watu kwenye usahili baada ya miezi tisa mkome.

    itaendelea wiki ijayo..
  14. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

    Wakuu kwema… Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu. Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu. Mdau mwingine akasema yeye...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania HUYU MWL MBWAWA LUTHERAN SCHOOL UPENDO MSIENDELEE KUONYESHA HILI TANGAZO N AIBU SANA

    HABARI WANA NDUGU NINEANDIKA HUKU BAADA YA KUSHAURI HII TV WAONDOE HILO TANGAZO TANGAZO LIKO HIVI ANATOKEA MWL WAO ANASEMA INAKUPA NN MWANAO KUFAULU KWENDA FORM FIVE BILA KUWA NA NIDHAMU INAKUPA NN MWANAO KUPATA DIV ONE BILA KUWA NA NIDHAMU NILIPOCHOKA WANAONYESHA MATOKEO YAO HAHA WANA DIV...
  16. T

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA KAZI MAKONDAKTA NA WAHASIBU

    ..
  17. C

    JamiiForums Tanzania Tangazo hili la Yas linanitia mashaka

    Kuna tangazo moja la kampuni ya Yas,Mtu mmoja anadai ni mkazi wa kijiji kimoja kule wilayani Mkinga,Tanga anajinadi kwamba ameshinda bahati nasibu ya kampuni ya Yas kupitia promotion ya Giftishe na magifti na anajitaja kwa jina sijui Athuman Athuman na baadaye anasikika mama yake naye akishukuru...
  18. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira: Graphic designer & digital marketer

    Tunatafuta mtaalamu mwenye ujuzi katika Graphic Design na Digital Marketing kwa ajili ya kujiunga na timu yetu. Mtu anayefaa kwa nafasi hii anatakiwa kuwa mbunifu, mwenye uelewa mzuri wa masoko ya kidijitali, na uwezo wa kuandaa maudhui yanayovutia. Majukumu: Kubuni na kutengeneza nyenzo za...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira

    HABARI !!!NAHITAJI KIJANA WA KIUME ANAEJUA KUPAKA KUCHA RANGI,KUBANDIKAKUCHA, NA KUBANDIKA KOPE ENEO :KATORO- GEITA MAWASILIANO 0693795737 MSHAHARA MAELEWANO Sourc: Ajirazone,on Instagram @ajirazone
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Channel ten..rekebishen tangazo la mkutano WA ccm mwisho mmeandika tar mwezi Mwaka 2024Siku ya pili ♌

    Polen najua n MAKOSA ya kibinadamu Si mbaya tukayasahihisha Nimeangalia tangazo linasema kutakuwa na mkutano WA kamati kuu ccm Dodoma ANGALIEN mwishoni mmeandika tar mwezi sawa Mwaka 2024 badlaa ya 2025 Naamini tutaona tofauti Thx
Back
Top Bottom