tangazo

  1. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Urusi imepuuza tangazo la Trump la kupeleka manowari karibu na Urusi

    Je, hii inaweza kuwa mara ya kwanza katika historia kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii kusababisha ongezeko la matumizi ya nyuklia? Rais Donald Trump, aliyekerwa na kauli za Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev, anasema ameamuru manowari mbili za nyuklia kusogea karibu na Urusi...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu naona hili tangazo la shughuli wasizotakiwa wageni kufanya halijakaa sawa kidiplomasia

    Ukiingia mtandaoni utaona pages nyingi za nchi jirani zilizoko SADC na EAC haziongelei kwa uzuri hili tangazo la Jafo. Kwa majirani zetu ni ngumu kujua kama walengwa wakuu ni wachina. Watu wengi wameona kama limekaa kibaguzi. Mimi ninashauri badala ya kuleta matangazo haya yaliyokaa kisiasa ni...
  3. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Kwa Tangazo hili ya Serikali, Je CCM imevunja Katiba kumteua Samia Suluhu?

    Nimeona Tangazo la kuvunjwa kwa Bunge la tarehe 20 July 2025. Mh Rais Samia anakiri mwenyewe kwamba haiwezekani kuteua Wagombea kabla ya Bunge kuvunjwa. Je Jan 2025 CCM walivunja katiba ya nchi? Na je Mgombea Urais wanaye tayari au lah!? Kutakuwa na uteuzi mwingine mbeleni?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Job Opportunity: Full-Time Nanny Wanted

    POST AQUIRED. a person has been found for the position of the advertised jobs.
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia kataa hizi aibu, Ripoti ya Uchunguzi: Hitilafu na Utofauti Kati ya Matokeo ya Wilaya/Mikoa na Tangazo la Kitaifa la CCM, Mkutano wa Mtandaoni

    “Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.” Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
  6. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Wadada mnaotoa tangazo humu kutafuta wapenzi muwe mnasema kama mna mzigo wa kutosha ama laa

    Unakuta mdada anaandika uzi kutafuta mpenzi au mume, eti anaandika mara nina diglii ya biashara, mara ninaishi sijui mbagala, mara mrefu kidogo mweupe! Jambo la kusikitisha ni kwamba ataeleza yote hayo halafu anashindwa kuandika kama ana makalio makubwa ama la.. Nani kakwambia anashida na hiyo...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tangazo Maalum kwa vijana walio Chuo, Waliohitimu Chuo au Form Six

    📢 TANGAZO MAALUM KWA VIJANA WALIO CHUO, WALIOHITIMU CHUO AU FORM SIX! Kama wewe ni mwanafunzi wa chuo, umehitimu chuo, au umemaliza kidato cha sita, basi usikose kutembelea kurasa hizi muhimu zinazokupa taarifa sahihi, maarifa na mwelekeo wa maisha ya baada ya shule: 🔹 1. Fursa za Ajira –...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Asilimia 95 na zaidi ya Wanawake wa sasa wanalichukia hili Tangazo

    Anachosema huyu mtangazaji wa hili Tangazo ni cha kweli kabisa kwa asilimia 95 na zaidi. Hizi issues zipo ila sijui kama zina dawa. Dawa nzuri ilikuwa ni kwa mwanamke kutulia tu. Wala asiwe na mambo mengi na kuhangaika.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira Relief Family Home Organization (RFHO - NGO)

    POSITION ACQUIRED. a person has been found for the position of the advertised jobs
  10. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Mjadala: WAAJIRI(HRs) KWA TANGAZO KAMA HILI MNATAKA NINI KWANI?

    Hebu soma hizi kelele MASHARTI NA VIGEZO KIBAO NA VIKUBWA VISIVYO NA UHALISIA na UONE JINSI LINAVYOFOKA (kuwa utajitegemea kwa kila tu)...Kumbe ni VOLUNTEER tu... Internship and Volunteer Opportunities at ECSA-HC The ECSA Health Community (ECSA - HC) is pleased to announce internship and...
  11. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Video ya tangazo la Salim Kikeke na Zitto Kabwe wanapigia chapuo jukwaa la uwekezaji mtandaoni

  12. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Tangazo!

    Kwa moyo mzito na huzuni kubwa, inanibidi kutangaza kwamba nimepata kazi na nitakuwa kazini kuanzia kesho 😭😭.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Kampuni ya Ulinzi ya Synergy Security Ltd

    TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA ULINZI. Kampuni ya ulinzi ya SYNERGY SECURITY Ltd Inatangaza nafasi za kazi za ulinzi kwa vijana wakike na wakiume, kwa sehem zifuatazo; Dodoma, Dar es salaam,Masasi, Arusha, Na Zanzibar; wenye sifa zifuatazo; 01. Awe mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na...
  14. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Tangazo la mnada wa hadhara- MOI

  15. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Wakuu! Vipi ili tangazo la Salimu Kikeke na Zitto Kabwe

    Hii ni sehemu sahihi ya kuwekeza, au ni upigaji mpya. ================= Ufuatiliaji uliofanywa na JamiiCheck kwa kutumia utafutaji wa maneno muhimu (Key word search) umejiridhisha kuwa video hiyo imepotoshwa kutoka kwenye video halisi ambayo ni sehemu ya matangazo mbashara ya kipindi cha...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Hili tangazo la Masanja ni kusherehesha tu!! Au lina uhalisia!? Mbona lina mkanganyiko!?

    Nimemsikia masanja mkandamizaji anapigia debe mradi wa maji mwanga katika segment yake maarufu kama mtalii wa ndani. Kwenye tangazo Hilo masanja anasema eti kwenye mradi ule zimetumika trilioni 335 fedha za kitanzania. Hili jambo linawezekanaje wakati hiyo hela kwa uelewa wangu ni bajeti ya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania TRA kwanini waitwe kazini kwa Email badala ya Tangazo la kuitwa kazini linalotolewa kwa UMMA?

    Salaam Wakuu, Kama mtakumbuka, mwezi Februari mwaka huu, TRA walitangaza nafasi za Kazi kwa Watanzania wenye SIFA. Na takribani Watanzania laki moja na kitu, waliomba zile nafasi, na baada kufanyiwa Usaili uliofanyika tarehe 29 & 30 Mwezi Machi. Baada ya Usaili, Matokeo yalitoka Mwezi April na...
  18. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwaajili ya Watanzania wote waliopo, hii ni fursa ya kipekee, maelezo yote yapo kwenye Tangazo

    🗻✨ Unasikia wito wa Uhuru Peak? ✨🗻 Safari ya maisha yako inakusubiri… Mlima Kilimanjaro kwa siku 6 tu! Kwa gharama ya Tsh 900,000 tu, Mtanzania unapata nafasi ya: ✅ Kupanda mlima mrefu zaidi Afrika 🌍 ✅ Kuweka historia yako mwenyewe 📸 ✅ Kukutana na marafiki wapya wa roho ya adventure 🤝 ✅ Kuonja...
  19. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira mbalimbali. Fungua Document hapo chini

    👇🏻👇🏻👇🏻 open document hapo chini upate maelekezo.
Back
Top Bottom