tangazo

  1. stakehigh

    JamiiForums Tanzania BBC wamelipia tangazo insta kuonyesha maandamano yalivodhibitiwa

  2. T

    JamiiForums Tanzania Tangazo la usaili bungeni walioomba kazi

  3. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Haki na Amani Katika Wiki ya Uchaguzi Mkuu 2025: Naomba Nakala ya Tangazo Husika Katika Gazeti la Serikali

    Wadau, Kwa mujibu wa kifungu cha 20 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi (Commissions of Inquiry Act), Sura ya 32, Toleo la 2023, Rais anapounda Tume ya Uchunguzi husika, Tume hiyo inapaswa kuanza kazi baada ya Uamuzi wa Rais kuchapishwa kwenye Gazeti la Serikali . Taarifa ya gazetini inapaswa...
  4. Halmashauri ya Jiji DSM

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam

    TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za elimu binafsi (Private Coaching)

    Unahitaji kujifunza ujuzi mpya au kuboresha uwezo wako binafsi? Sasa ni wakati wako! Tunatoa MAFUNZO BINAFSI (One-on-One) kwa: 🌍 Lugha za Kigeni – Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani, Kichina, Kihispania n.k. 💻 Kompyuta – MS Office, Internet Skills, Typing, Coding, Graphic Design n.k. 🚗...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tangazo ahira kwa wataalamu wa lugha

    📢 TANGAZO LA KAZI – HORIZON INSTITUTE 📢 Horizon Institute inafungua nafasi za kazi katika kozi mbalimbali za kuelimisha! Ikiwa una ujuzi au shauku ya kufundisha, hii ni fursa yako ya kuunga mkono jamii ya wanaojifunza. 🌟 Maeneo ya Kazi Yanayopatikana: 🗣 LUGHA ZA KIGENI ✅ English ✅ French ✅...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Ajira Zanzibar

    📢 TANGAZO LA KAZI – HORIZON INSTITUTE 📢 Horizon Institute inafungua nafasi za kazi katika kozi mbalimbali za kuelimisha! Ikiwa una ujuzi au shauku ya kufundisha, hii ni fursa yako ya kuunga mkono jamii ya wanaojifunza. 🌟 Maeneo ya Kazi Yanayopatikana: 🗣 LUGHA ZA KIGENI ✅ English ✅ French ✅...
  8. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Tangazo kutoka kwa msemaji wa Serikali: waajiriwa na wanafunzi waendelee kuwepo nyumbani kesho tarehe 31 Oktoba

  9. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Video: Tangazo la uchaguzi kama uchawi, Oktoba tunatoka hakuna mganga zaidi ya wananchi

    Amkeni watanzania Bongo Movie ya CCM imetoka Rami ebu watuache kidogo hahahahahahahahahaah
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Taswira ya Vyombo vya Habari Tanzania katika tangazo la TEC

    Chawa wakiitisha press kufanya mambo yao yanayoambatana na comedy mbovu au "wahuni" wakijibu Polepole unakuta mic 🎤 zimejaa mpaka zinaanguka kutoka mezani, katibu wa TEC anaongea kuna mic moja tu ya Jambo TV! Hata wakatoliki wenye viTV vyao vya mfukoni wako mashimoni kama panya wanaosubiria giza...
  11. Madihani

    JamiiForums Tanzania CRDB imekuwaje tangazo lenu halikuwa uzito kama matokeo ya hayo marekebisho au matengenezo ya Benki yenu

    Watu tumelipwa: Overtime Allowance Airtime/Communication Allowance Transport Allowance House Allowance Lakini kwenye akaunti hakuna kitu na wenzetu wa NMB wanakenua tu meno yao ofisini. Toeni taarifa shida nini. Nipo hapa nawaza nikilipwa pesa ya likizo sijui kama nitaiona.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi 25 za Kazi katika Kampuni ya The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) – FINTECH

    TANGAZO LA AJIRA Kampuni: The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) – FINTECH Mahali: Mwanza, Tanzania Kampuni ya The Global Positive Mind Set Center (GPMSC) inakaribisha maombi ya ajira kutoka kwa Watanzania wenye sifa stahiki kujaza nafasi zifuatazo: Nafasi Zilizopo Afisa Uhasibu –...
  13. LPF TENTS

    JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira

    TANGAZO LA KAZI Kampuni yetu inatafuta Wafanyakazi Wenye Ujuzi na Uzoefu kujaza nafasi zifuatazo: 1. Mchoro/Mchoro wa Majengo (Architect) Kiwango cha Elimu: Cheti (Certificate) au Diploma katika Architecture Uzoefu: Si lazima, lakini uzoefu utapendekezwa 2. Mhandisi wa Ujenzi (Civil...
  14. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuondoa tangazo la hisense

    Naangalia mpira hapa kwenye hisense smart tv ila kuna matangazo yanajitokeza mara kwa mara yanakera sana kwa sababu yanaziba baadhi ya sehemu ya uwanja. Naomba mnieleweshe namna ya kuyaondoa
  15. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Taarifa hii imetolewa na Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

  16. Mtoboa siri

    JamiiForums Tanzania Kwenu Vodacom, mkiwa katika kipindi cha kutimiza miaka 25 tangu muanze kutoa huduma kuna tangazo la zamani naomba mtuonyeshe tena kama kumbukumbu.(TBT

    Habari wadau wa Chitchat Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom inatimiza miaka 25 tangu kuanzishwa kwake nchini Tanzania. Vodacom ilianza kutoa huduma zake rasmi tarehe 16/08/2000 kama kumbukumbu zangu zitakuwa sawa. Wakiwa katika mwaka wa shamrashamra hizo mimi nikiwa kama mteja na mdau wao...
  17. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Idea ya Tangazo Kwaajili ya Kampuni ya YAS

    Habari wana JF Jobless hapa wa muda mrefu. Hata hivyo nimekua niki-develop various skills ikiwemo audio production na beat making. Hivi karibuni nimeandaa project (AUDIO) ya dakika 1 ambayo nimejiridhisha kuwa itafaa kama Tangazo la mtandao wa simu wa YAS. Sijui utaratibu na sifahamu...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za kazi – gpmsc technology & banking company

    🔷 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI – GPMSC TECHNOLOGY & BANKING COMPANY 🔷 --- GPMSC TECHNOLOGY & BANKING COMPANY, taasisi inayoongoza kwa huduma za kibunifu za kiteknolojia na kifedha, ikiwa ni kampuni na benki ya kisasa yenye makao makuu Bugarika, Mwanza – Tanzania, inatangaza nafasi za kazi kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania CCM wametufikisha hapa, Tangazo la kuzuwia maandamano ya wananchi wakifurahia pindi anapokufa mwana ccm litataanza kutolewa soon

    Tayari tumefika kubaya na hakuelezeki kabisa Haya yote yanajiri ni kwa sababu tu, CCM mmekosa huruma, mmekosa utu, mnazurumu, mnateka na kuuwa watu peupe pe na bila aibu Wananchi wataanzia wapi kuwaona kuwa nyinyi ni binadamu wenzao Kifo??? Wananchi wanaandamana kufanya sherehe? Kufurahia...
  20. westandtogether

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Mwasonga, Kigamboni

    Ninauza kiwanja kilichopimwa chenye ukubwa wa 540 SQM kilichopo MWASONGA, KIGAMBONI kipo barabara kuu ukitokea Mwasonga stendi. 📍Mahali pazuri kwa makazi au uwekezaji- miundombinu ipo karibu. Bei 6,500,000/= ( milioni saba tu) - maelewano yapo kwa mwenye nia ya dhati. Kwa mawasiliano zaidi au...
Back
Top Bottom