tangazo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa kuelewesha kuhusu Tangazo la kazi lililotolewa na JWTZ 14.04.2026

    Habari za zenu wana JF, Husika na mada hapo juu mimi ni kijana Mtanzania, ambaye nimeona nikajitolee kulitumikia Taifa kupitia Jeshi la Wananchi. Tangazo nililiona na vigezo vyote ninavyo, ila sasa sijaelewa kitu kimoja ambacho naomba msaada wenu kwa ambao mna uzoefu na hili jambo. Shida...
  2. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za kazi TAKUKURU

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba kuajiriwa nafasi za kazi katika ofisi za TAKUKURU Wilaya kama inavyoonekana hapo chini: 1.0 AFISA UCHUNGUZI (NAFASI 250) 1.1 Sifa za Mwombaji: 1.2 Sifa za Kitaaluma: Muombaji awe...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Tangazo la home tuition – Tanzania nzima 🇹🇿

    Unahitaji msaada wa masomo kwa mtoto wako au wewe binafsi? Sasa suluhisho lipo hapa! Tunatoa huduma ya Home Tuition kwa viwango vyote vya elimu nchini Tanzania. ✅ Tunafundisha mitaala yote ya Tanzania (NECTA) ✅ Masomo yote yanapatikana (Sayansi & Sanaa) ✅ Walimu wenye uzoefu na ufanisi mkubwa ✅...
  4. Avith almachius

    JamiiForums Tanzania Mimi ni fundi mbobezi wa mifumo ya mabomba (Professional Plumber) mwenye uzoefu

    [PSD] Plumbing & System Design Kauli Mbiu (Slogan): Mifumo Bora, Maji Salama. UTAMBULISHO WA KAZI: Mimi ni fundi mbobezi wa mifumo ya mabomba (Professional Plumber) mwenye uzoefu wa: Uchoraji wa Ramani za Mifumo (Plumbing Blueprints): Naandaa ramani za kitaalamu za jinsi mabomba ya maji safi...
  5. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kupotea kwa Mtoto wa kike

    ⚠️ TAARIFA YA MTOTO ALIYEPOTEA ⚠️ Tunaomba msaada wa wananchi wote. Mtoto anayeitwa EDITHA ERICK ameripotiwa kupotea tangu juzi saa 1 usiku na mpaka sasa bado hajapatikana. 📍 Maeneo aliyopotelea: Wilaya ya Hai, Kata ya Bomang'ombe. Kwa yeyote atakayemuona au kuwa na taarifa zozote zinazoweza...
  6. astalavista

    JamiiForums Tanzania Mfanye mteja asikie tangazo lako la biashara kila akikupigia badala ya ringtone ya kawaida.

    Ni sisi ONFON MEDIA watu mahiri kwenye mifumo mbalimbali, wakati huu tunakusogezea huduma ya RING BACK TUNES kwa gharama ndogo sana ya 30,000/=. Mfanye mteja wako apokelewe na ujumbe maalumu mara tu akupigiapo simu. Nipigie/WhatsApp 0795790411
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushawahi Kutana na tangazo gani la biashara lililokuacha katika hali ya mshangao

    Wakuu, katika harakati zetu sisi vijana, hasa upande wa kibiashara, je, ubunifu wa kutengeneza matangazo una athari zozote katika maendeleo ya biashara zetu? Kwa mfano, unakuta baadhi ya watu huweka matangazo yenye vichekesho, na baadhi yao huweza kuvutia wateja na kuwafanya wapendezwe na...
  8. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Kipima ubora wa Maji (TDS Meter): Je, Maji unayokunywa ni safi? Linda afya yako na familia yako kwa kipima TDS

    💧 TANGAZO LA KIPIMA UBORA WA MAJI (TDS METER) 💧 Je, unajua ubora wa maji unayokunywa kila siku? Linda afya yako na familia yako kwa Kipima TDS cha maji! ✅ Hupima haraka kiwango cha uchafu kwenye maji ✅ Sahihi na rahisi kutumia ✅ Kidogo na rahisi kubeba popote ✅ Kinafaa kwa maji ya kunywa...
  9. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania TANGAZO KWA UMMA: Epuka mimba Feb 14 kwa kuzingatia yafuatayo

    Siku ya wapendanao, watu wengi hutumia kwa kuwa na muda wa pamoja, japo si lazima kufanya ngono, ila ikitokea mmekutana kimwili basi zingatia haya. Kama mwanamke yupo kwenye siku zake leo Feb 4 (unamalizia au umeanza siku kadhaa zilizopita) kuna uwezekano mkubwa siku ya valentines day 2026...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania NMB wajanja sana, naona wanamu kandia CRDB kidizaini katika hili tangazo

    Kumbuka crdb huwa inatambulika na rangi ya kijani😁
  11. VN Warehouse Limited

    JamiiForums Tanzania Tangazo Maaalum la VN Hardware

    VN HARDWARE ni duka la kisasa la vifaa vya ujenzi linalolenga kutoa suluhisho kamili na la kuaminika kwa sekta ya ujenzi. Tunajihusisha na usambazaji wa vifaa bora vya ujenzi kwa mafundi, wakandarasi, kampuni na wateja binafsi, tukizingatia viwango vya ubora, ufanisi na huduma ya kitaalamu...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Tangazo la home tuition – mafunzo bora ya nyumbani

    Mzazi au mlezi, je unajisikia maumivu kuona mtoto wako: Hajasoma wala kuandika vizuri? Anapata tabu kuelewa masomo darasani? Anashuka darasani licha ya juhudi zako zote? Anaogopa masomo au hana kabisa hamasa ya kujifunza? Usijilaumu. Watoto hawafeli kwa sababu hawana uwezo, mara nyingi...
  13. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi 100k kwa mwezi. Kazi unafanyia popote

    Nafasi za kazi huria Kazi ni digital services Mshahara -100k kwa mwezi Uwe na simu Uwe mkoa wowote Mkataba upo Uwe una uzoefu wa kuongea na watu (Communication skills) Ushawishi muhimu Wanaotaka ni PM AU ANDIKA NO YAKO NITAKUPIGIA CONTACT: zelemelohiym@gmail.com
  14. H

    JamiiForums Tanzania Tangazo la home tution Afrika Mashariki yote

    Je, unahitaji mwalimu bora anayekufikia nyumbani au online? Sisi tunatoa HUDUMA ZA HOME TUITION kote Afrika Mashariki 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇸🇸 🔹 Mitaala yote (NECTA, Cambridge, IGCSE n.k) 🔹 Masomo yote kuanzia chekechea hadi sekondari 🔹 Lugha zote za kigeni 🔹 Mafunzo ya mtu mmoja mmoja au makundi 🔹 Online &...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Tangazo la home tuition (mikoa yote Tanzania)

    Je, unatafuta mwalimu bora wa home tuition kwa mtoto wako au kwa ajili yako binafsi? Sisi tunakuletea huduma bora, salama na za uhakika katika mikoa yote ya Tanzania HUDUMA ZETU Tunatoa Home Tuition kwa: Awali (Nursery) – Msingi – Sekondari – Chuo Mitaala yote NECTA Cambridge IB Montessori...
  16. A

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA KAZI

    Anaitajika mfanyakazi mwenye taalum izi Diploma ya business management Diploma ya business handling Social skills Market idea na usafi KAZI ni ya mini super market pamoja na butcher ivyo awe na idea ya kutunza nyama na samaki pia awe anaweza ku park vizur number ya sim 0763390302 Mwisho wa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi

    Anahitajika mfanyakazi mwenye taaluma zifuatazo: Diploma ya business management Diploma ya business handling Social skills Uelewa wa masoko na usafi Kazi ni ya mini supermarket pamoja na butcher, hivyo mwombaji awe na uelewa wa kutunza nyama na samaki na awe anaweza ku-pack vizuri...
  18. Inside10

    JamiiForums Tanzania Ajira Mpya Uhamiaji Tangazo La 29 Desemba 2025

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI IDARA YA UHAMIAJI TANGAZO LA AJIRA Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Konstebo wa Uhamiaji kwa...
  19. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Viongozi wanapoamuru jeshi kuua raia ni tangazo la vita? Nini hatima yake?

    Narejea kusisitiza kwamba, CCM ndiyo watakaosababisha vita ya wenyewe kwa wenyewe Tanzania Kitendo cha Hangaya kutangaza 2024 kuwa vyombo vyote vya ulinzi na usalama kujiandaa kijeshi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu 2025, lilikuwa ni tangazo la maandalizi ya vita dhidi ya raia. Kitendo cha kutoa...
  20. Mind stone

    JamiiForums Tanzania Wakuu bado natafuta kazi, na maelezo yangu ni hayo kwenye tangazo hapo chini

    Natafuta kazi na qualifications zangu zipo hapo kwenye picha ya Tangazo.
Back
Top Bottom