Tangazo la Sabuni ya Komoa: Redio Tanzania Dar es Salaam

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,776
Nipeni nguo nifue (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa)
Nipeni maji nioge (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa)
Inanukia vizuri (komoaa), inapovu jingi sana (komoaa)
Haichubui mikono, (komoaa) kiboko ya nyingine (komoaa)

Aeee eee (komoaa), aaa eee eee, (komoaa) aaa eee eee (komoaa)

(Tilititititi eeeeeh! tilititititi komoaa!)x2
Titititititi tiii tiii tiii tiii tii, titititititi tiii tiii tiii titii
Komoaa.
 
Huyu KOMOA alikuwa mpinzani wake wa kuitwa KOMESHA.... Sijui walicheza na majina tu, napata ukakasi kuhisi ilikuwa ya mtu mmoja akacheza na majina awachukulie hela wamama tu.. Sema kuna ile kodrai ilikuwa na kamuonekano fkani hivi "ameizin"😁
 
Naaam
 
Tangazo moja ya Revola ilikuwa na mrembo Miriam Odemba anaoshanmguu lani hivi sio wa kibantu, umekoamaa😁😎eeeh ilikuwa tangazo flani iv ya kimamtoni... Unapajua mamtoni wewe!? 😎
Kuna kipindi fulani cha salaam, mama mmoja akaambiwa achague wimbo wa kusindikiza salaam zake, akachagua Revola revola revola
 
Nipeni nguo nifue (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa)
Nipeni maji nioge (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa)
Inanukia vizuri (komoaa), inapovu jingi sana (komoaa)
Haichubui mikono, (komoaa) kiboko ya nyingine (komoaa)

Aeee eee (komoaa), aaa eee eee, (komoaa) aaa eee eee (komoaa)

(Tilititititi eeeeeh! tilititititi komoaa!)x2
Titititititi tiii tiii tiii tiii tii, titititititi tiii tiii tiii titii
Komoaa.
halafu mwishoni linasikika lisauti la mtu mwanamume, 'komoa! Sabuni ya mche, ya KISASA!!'
 
Nipeni nguo nifue (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa)
Nipeni maji nioge (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa)
Inanukia vizuri (komoaa), inapovu jingi sana (komoaa)
Haichubui mikono, (komoaa) kiboko ya nyingine (komoaa)

Aeee eee (komoaa), aaa eee eee, (komoaa) aaa eee eee (komoaa)

(Tilititititi eeeeeh! tilititititi komoaa!)x2
Titititititi tiii tiii tiii tiii tii, titititititi tiii tiii tiii titii
Komoaa.
UNA NINI KICHWANI LAKINI?
DAAH
 
Hatari sana, alafu kuna kizazi hiki cha sabuni JAMAA
 
Salama ,kondomu ya kisasa salamaa
Salama kondomu ni Bora
Salama kondomu ni mpya
Salama kondomu ni ya kisasa
Salama kondomu ni chaguo lako la mm na wewe

VO : Salama kondomu ni chaguo lako
 
Back
Top Bottom