Tangazo la Mshindi Redio Tanzania Dar es Salaam

Tangazo la Mshindi Redio Tanzania Dar es Salaam

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,776
Wimbo
Mshindi sabuni mpya yenye nguvu, yenye kutakasa kuliko zote,
Mshindiii yeee eeeeeh, mshindiii yeee eeeeeh, mshindi.

Maneno ya yule jamaa mwisho wa tangazo
"Mshindi ni sabuni mpya na yenye nguvu, nguvu tele ni sabuni mwanaaana kwa mikono yako, hakuna sabuni inayoshinda mshindi."

Mshindiiii
 
Back
Top Bottom