tangazo

  1. JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi

    LIZONA ENTERPRISES LTD iliyopo mkoani Mwanza inawatangazia nafasi za kazi kwa watu wote wenye sifa. Nafasi Za kazi ni kama ifuatavyo :- Msimamizi mkuu na Mtawala(1) Wauzaji wa bidhaa(15) Wasambazaji na wapangaji wa bidhaa(18) Wapokeaji na waelekezi wa wateja sehemu husika(11) Usafi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa Kazini kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 23-11-2022 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Tangazo kwa umma: Utaratibu wa kuingiza makontena kwa kuchangia

  4. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Wizara ya Afya imeona hili tangazo?

    Kuna tangazo lipo kwenye mtandao wa kijamii wa facebook linahusu kutibu HIV, ni mwezi wa sita huu kama sikosei tangu nimeanza kuliona. Nimeweka hapo jina la daktari na wakala wake kwa hapa Tanzania. Ninachoweza kufahamu hakuna kitu kama hicho na mbaya zaidi watu inaonekana wanatapeliwa sana...
  5. JamiiForums Tanzania Tangazo la Raja Club Athletic linatangaza Utalii wa Tanzania, tunalo la kujifunza!

    Nimeguswa sana na Tangazo la Hamasa la Timu Raja Club Athletic kwenye CAF kuhusu ujio wao Tanzania kucheza ball. Natamani Tanzania tujifunze na sisi kutengeneza matangazo kama haya, jamaa wanauonyesha Mlima Kilimanjaro, Hiking, Mbuga halafu wanamalizia COMING FOR THE SERENGETI.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hatua ya Pili ya Mchakato wa Ajira ni Kuandaa Tangazo la Kazi

    - Tangazo la kazi huandaliwa kwa kuzingatia sifa kwa mujibu wa Muundo wa kada husika uliowasilishwa na Mamlaka ya ajira husika. - Tangazo pia huzingatia masharti ya jumla yanayotolewa na Sekretarieti ya Ajira ambayo yanatafsiri Sera, Sheria Kanuni na Miongozi mbalimbali inayohusu michakato ya...
  7. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

    Sasa CHADEMA mkiambiwa msikusanye watu mpaka tishio liishe, mtasema mnaonewa, aliyesema ndio moja ya watu wenu. Na mtu wenu akiambiwa asifanye mkutano wa hadhara analia, akiachiwa akadhurika, anaililia serikali.
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

    Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) wishes to invite qualified Tanzanians to fill vacant posts in District Offices as shown below: 1.0 INVESTIGATION OFFICERS II (220 POSTS) 1.1 Required Qualifications: 1.1.1 Academic Qualifications: Applicants...
  9. JamiiForums Tanzania Sitakaa nilisahau tangazo la CocaCola la mwaka 1995

    Cocacola walitoa tangazo lao mwezi wa December 1995, likiitwa CocaCola Caravan, nilikuwa nimemaliza darasa la saba. Aisee nilivyoliona nilichanganyikiwa, lina uubunifu wa kuanzisha hisia zako hata kama huipendi Christmass. Tokea mwaka huo CocaCola walilirusha tena mwaka 1998 na nafkiri 1999 ila...
  10. JamiiForums Tanzania Tangazo lililowakutanisha Messi na Cr 7

    Kwa haraka haraka unavoona hili tangazo la LV limegharimu kiasi gani?
  11. JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi

    TANGAZO LA AJIRA PAX BROTHERENS CAMPANY LTD iliyopo mkoa wa Songwe wilaya ya Mbozi inawatangaza nafasi ya kazi kwa watanzania wote wenye sifa Cheo – msimamizi MKUU na mtawala. SIFA muombaji anatakiwa kuwa na Diploma na kuendelea katika fani zifuatazo. Accounting , Business Administration...
  12. JamiiForums Tanzania Tafadhali mwenye Tangazo la Pole kutoka kwa ATCL kwenda kwa Precision Air aniwekee hapa tafadhali

    Zawadi Nono itatolewa na Wadau.
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Tangazo la fursa za masomo nchini Norway 2022/2023

    Tovuti moja inadai kutangaza nafasi za ufadhili wa masomo katika chuo kikuu nchini Norway na kusambaa katika mitandao ya kijamii. Tovuti hiyo ina ujumbe wa Kiingereza ulioandikwa vibaya unaotafsirika: "Kasome Nchini Norway Kozi Yoyote Uliyochagua Bila Malipo kwa Muda wote wa programu"...
  14. JamiiForums Tanzania Tume ya Ajira, mbona interview za UDOM hamjatoa tangazo kwa website ya PSRS kama zilivyo nyingine?

    kama ilivo kawaida nilitegemea shortlisted candidates wa nafasi za kazi UDOM iwekwe kwa website ya PSRS . au kuna exceptions UDOM? watu wamepigiwa simu kwenda interview nini agenda ya siri hapo?
  15. JamiiForums Tanzania Tangazo la Kazi za Ualimu (12)

    Hello teachers! our organization is working closely with private and government schools, we admire to serve young people who possess marvelous performance in the learning and teaching field. The organization is recruiting teachers on behalf of private schools in Tanzania's Mainland. The...
  16. JamiiForums Tanzania Star tv na tangazo lenu la corona na kuvaa barakoa leo hii siwaelewi.

    Star tv ina mambo ya kishamba sana sasa lile tangazo lenu la kuvaa barakoa leo hii linamaana gani?
  17. JamiiForums Tanzania Tangazo la Serikali kufuta ada kwa watahiniwa linachanganya

    Habari za mchana wana JF, Moja kwa moja. Ninavyojua tokea elimu ilivyoanza rasmi kutolewa hakuna ada yeyote inayolipwa mpaka mwanafunzi anafanya mtihani na kumaliza kila kitu bure kasoro kidato cha tano na cha sita sasa kilichofutwa leo ni kipi? #UziTayari
  18. JamiiForums Tanzania INAUZWA Tangazo kwa wanaohitaji visimbuzi vya Canal+ Sports

    SIFA ZA KING'AMUZI CHA CANAL+ 1. Bei ya decorder pekee ni Tsh 130,000/=, bei ya decorder na dish(complete) ni Tsh 165,000/=. Vyote hivi vitakuwa na kifurushi cha Tsh 40,000/= kwa mwezi mmoja bure. 2. Kupitia hicho kifurushi cha kuanzia utafanikiwa kuangalia mechi za ligi zote kuanzia EPL, La...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Waliomba ajira ktk tangazo la MDA's na LGA's lililotoka PSRS.

    Habari, Kuna tangazo lilitoka la MDA's na LGA's muda kama mwezi na kitu hv nami niliomba lakini mpaka leo sijaona tangazo la kuita kwenye usaili toka PSRS. Je Kuna mtu aliona tangazo la usaili juu ya tangazo hilo au ana maelezo zaidi tafadhali.?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…