Tangazo la kazi lililotolewa na Wizara ya Afya lina Mapungufu

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
1,954
2,166
Salaam,

Kuna kazi zimetoka siku 2 hizi, zimetokea Wizara ya Afya zikitangaza kada tofauti tofauti, katika kada hizo pia kuna nafasi za madereva (4), lakini wameelezea vigezo na masharti ya kada zote walizoweka lakini hawajaweka maelezo kwa kada ya udereva.

Je, mpaka tangazo hili limeameriwa litoke na kutangazwa kwa wadau, ina maana wahusika wa Wizara hawajaliona hili kosa?

NAWASILISHA.
 

Attachments

  • NAFASI-ZA-KAZI-WIZARA-YA-AFYA.pdf
    396.6 KB · Views: 18
Dah kweli hakuna bt labda kuna wahuni wameliondoa juu kwa juu

Kwa wahuni kuondoa hicho kipengele sidhani kiongozi.

Nafkiri walijisahau kuweka hiyo na nafasi na mpaka tangazo linaenda hawakuhakiki vizuri mwanzo mpaka mwisho wa tangazo kwa kila kada husika mkuu.
 
Back
Top Bottom