Tangazo la kazi EWURA

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,798
21,395
Watanzania kuna tangazo la kazi EWURA.

Mwenye taarifa sahihi kuhusu ili tangazo tafadhali.
 
Attachments

  • Employment-Opportunities-August-2021.pdf
    512.2 KB · Views: 38
Mkuuu uwe na tabia ya Kusoma vema Tangazo la kazi mstari kwa mstari neno kwa neno. Hilo tangazo la EWURA ulilotupia ni halisi lakini ni la Mwaka 2021 mwezi Agosti na hivyo lilishapitwa na Wakati. Ahsante
 
Watanzania kuna tangazo la kazi EWURA.

Mwenye taarifa sahihi kuhusu ili tangazo tafadhali.
ilo tangazo la mwaka jana na lilishapita muda watu waliomba na hawajaitwa sababu ewura walitangaza bila kujua hawana mamlaka ya kuajiri kwa sasa ilikuaga zamani sasa ajira zote ni pablic service recrutment secretariat ndio wenye mamlaka
 
Mkuuu uwe na tabia ya Kusoma vema Tangazo la kazi mstari kwa mstari neno kwa neno. Hilo tangazo la EWURA ulilotupia ni halisi lakini ni la Mwaka 2021 mwezi Agosti na hivyo lilishapitwa na Wakati. Ahsante
Limepitwa na wakati wakati hadi leo Hakuna aliyekuwa kwenye interview?
 
ilo tangazo la mwaka jana na lilishapita muda watu waliomba na hawajaitwa sababu ewura walitangaza bila kujua hawana mamlaka ya kuajiri kwa sasa ilikuaga zamani sasa ajira zote ni pablic service recrutment secretariat ndio wenye mamlaka
Wewe ni msemaji wa Ewura?
 
Limepitwa na wakati wakati hadi leo Hakuna aliyekuwa kwenye interview?
Kitaaalam hilo Tangazo limekosewa maaana kwa Muundo wa Masharti ya Mtumishi wanayemhitaji Nafasi husika inapaswa kujazwa kwa UHAMISHO kwa maaana kwamba atoke Taasisi nyingine ya Umma kwenda hapo EWURA mtaani huezi pata mwenye hizo sifa kizembe
 
K

Kama limekosewa Kwanini ewura hawaja toa tamko? Wanawaacha watanzania gizani Muda wote huo?
 
Back
Top Bottom