Tanzania imefungua vizuizi vya utafutaji wa mafuta ndani ya Ziwa Tanganyika, mojawapo ya maziwa makubwa zaidi ya maji safi duniani yaliyyo kati ya Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi na Zambia.
Ziwa hilo linamiliki 17% ya maji safi duniani, lina zaidi ya spishi 1,500, na...