Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 950
- 2,866
Kuhusu mkataba wa kilaghai wa kuchukua Bandari zetu milele na kuwakabidhi Waarabu wa Dubai, kama si kwa maslahi yake na wajomba zake Waarabu, basi na awakane sasa hao waarabu ndio tujue ana nia njema na uko kuuza bandari za Tanganyika.
Mama lazima aambiwe ukweli kwamba hata kama alikuwa na nia nzuri kuhusu uwekezaji katika Bandari lakini approach yake imekuwa ni njia isiyokuwa wazi (hakuna ushindani katika kumpata DP World), hila, fitna, ujomba, udini na Mazingira yenye harufu mbaya ya RUSHWA!
Mama lazima atambue kuwa hakuna anayepinga uwekezaji wenye tija na wenye masharti Bora kwa Taifa ambao hauna hila wala udini, niwape wenzangu sisi ni ndugu wa imani nitapata thawabu, yaani utuuze sisi kwa wajomba zako upate thawabu, hii Dunia ina watu wana matatizo ya akili,
Kwa huu mkataba wake na Waarabu hakuna mtu mwenye akili huru anayeweza kuuunga mkono kama anaungwa mkono na kudanganywa na wachumia tumbo Wachache wasiona mbele zaidi ya matumbo yao tu! basi siku zinakuja atashtakiwa kwa kuliuza Taifa, hii ni aibu kubwa kwake kuliko wenzake waliostaafu kwa heshima.