Wakili Mwabukusi amevunja rekodi za viongozi wote kutetea mali za umma, atalipwa wema hadi kizazi chake cha mwisho

saidoo25

JF-Expert Member
Jul 4, 2022
602
1,407
Wakili Boniface Mwabukusi yuko Mahabusu kwa siku kadhaa sasa kwa kosa la kupigania haki za Watanganyika kuzuia Bandari zake kuuzwa kwa Mwarabu.

Mwabukusi anakuwa Mtanzania wa kwanza wa kizazi cha sasa kupinga mipango ya familia za watu wachache Serikalini kuuza mali asili za watanzania wote ambazo kwa mujibu wa Katiba tunatakiwa kuzilinda kama waamuzi wa baadaye wa Taifa letu.

Mwabukusi alichukua njia ya kwenda Mahakamani kupinga mkataba, Maamuzi ya Mahakama yakaja huku Mahakama ikiweka wazi Mkataba huo una kasoro nyingi ila haiwezi kuubatilisha kwa sababu umepitishwa na Bunge. Mahakama haiwezi kuingilia Bunge.

Mwabukusi alichukua hatua ya kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaa akaishia kulala ndani ili asiendelee na hatua ya kukata Rufaa kupinga mkataba huo.

Kwa hatua hii ilipofikia suala hili historia ya Tanzania hususana Tanganyika haitakaa ije isauhau uzalendo wa Boniface Mwabukusi.

Mwabukusi atakuwa Kiongozi mkubwa siku za baadaye maana amekubali kuteseka kwa maslahi ya watanganyika tofauti na wanasiasa wengine ukiwauliza leo hata kama waliwahi kufungwa gerezani walifungwa wakitetea jambo gani kwa watanzania kama ilivyo sasa kwa Mwabukusi.
 
Huyu mhaini au Kuna mwingine?
 
Mnamsifia nyuma ya Keyboard!
Sasa hivi familia yake inataabika kwa ajili maneno yake machafu na kutotumia busara wakati akipeleka hoja yake (tena ya msingi tu) na kuongeza uongo ndani yake.
 
Wakili Boniface Mwabukusi yuko Mahabusu kwa siku kadhaa sasa kwa kosa la kupigania haki za Watanganyika kuzuia Bandari zake kuuzwa kwa Mwarabu.

Mwabukusi anakuwa Mtanzania wa kwanza wa kizazi cha sasa kupinga mipango ya familia za watu wachache Serikalini kuuza mali asili za watanzania wote ambazo kwa mujibu wa Katiba tunatakiwa kuzilinda kama waamuzi wa baadaye wa Taifa letu.

Mwabukusi alichukua njia ya kwenda Mahakamani kupinga mkataba, Maamuzi ya Mahakama yakaja huku Mahakama ikiweka wazi Mkataba huo una kasoro nyingi ila haiwezi kuubatilisha kwa sababu umepitishwa na Bunge. Mahakama haiwezi kuingilia Bunge.

Mwabukusi alichukua hatua ya kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaa akaishia kulala ndani ili asiendelee na hatua ya kukata Rufaa kupinga mkataba huo.

Kwa hatua hii ilipofikia suala hili historia ya Tanzania hususana Tanganyika haitakaa ije isauhau uzalendo wa Boniface Mwabukusi.

Mwabukusi atakuwa Kiongozi mkubwa siku za baadaye maana amekubali kuteseka kwa maslahi ya watanganyika tofauti na wanasiasa wengine ukiwauliza leo hata kama waliwahi kufungwa gerezani walifungwa wakitetea jambo gani kwa watanzania kama ilivyo sasa kwa Mwabukusi.
True
 
Ndo kazi yenu.
Mnamsifia mtu mpk bichwa linavimba akidakwa mnarudi tena kumsifia lkn wanaoteseka sio nyie tena bali familia yake
 
Wakili Boniface Mwabukusi yuko Mahabusu kwa siku kadhaa sasa kwa kosa la kupigania haki za Watanganyika kuzuia Bandari zake kuuzwa kwa Mwarabu.

Mwabukusi anakuwa Mtanzania wa kwanza wa kizazi cha sasa kupinga mipango ya familia za watu wachache Serikalini kuuza mali asili za watanzania wote ambazo kwa mujibu wa Katiba tunatakiwa kuzilinda kama waamuzi wa baadaye wa Taifa letu.

Mwabukusi alichukua njia ya kwenda Mahakamani kupinga mkataba, Maamuzi ya Mahakama yakaja huku Mahakama ikiweka wazi Mkataba huo una kasoro nyingi ila haiwezi kuubatilisha kwa sababu umepitishwa na Bunge. Mahakama haiwezi kuingilia Bunge.

Mwabukusi alichukua hatua ya kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaa akaishia kulala ndani ili asiendelee na hatua ya kukata Rufaa kupinga mkataba huo.

Kwa hatua hii ilipofikia suala hili historia ya Tanzania hususana Tanganyika haitakaa ije isauhau uzalendo wa Boniface Mwabukusi.

Mwabukusi atakuwa Kiongozi mkubwa siku za baadaye maana amekubali kuteseka kwa maslahi ya watanganyika tofauti na wanasiasa wengine ukiwauliza leo hata kama waliwahi kufungwa gerezani walifungwa wakitetea jambo gani kwa watanzania kama ilivyo sasa kwa Mwabukusi.
Aje Chadema tumpatie jimbo 2025, anafaa!
 
Back
Top Bottom