tanganyika

Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Tanganyika ni tamaa ya madaraka na wanakosa subra tofauti na Zanzibar

    Tamaa ya vyeo, mfuragano nakukosa subra ktk vyama vya siasa 1. NCCR 2. TLP 3. CUF bara 4. Hivi sasa chadema Siasa wanaona mchakato wa siku 1 , 2 au 3
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika aonya viongozi wa Serikali Za Mitaa kutojihusisha na uuzaji wa ardhi

    Wakuu, Mkuu wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, Onesmo Buswelu amewataka viongozi wa Serikali za vijiji na vitongoji kutojihusisha na uuzaji wa ardhi katika maeneo yao. Hayo yamejiri katika kikao cha halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi (CCM) katika wilaya hiyo ambapo mbunge wa jimbo la...
  3. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kwenye sikukuu ya Idd mwezi Aprili walilipwa mshahara tar 16. Huku Tanganyika Christmas mshahara hakuna

    Hivi inakuwaje waislamu walilipwa mapema ili wajiandae na sikukuu yao tar 16 Tu!! Ila ona huku mpaka leo kimya.. Tujikumbushe hapa Pia soma > Wafanyakazi wa Serikali Zanzibar wamelipwa tayari Mshahara wa Aprili 2023
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kwa faida ya Tanganyika ijayo ipo haja kwa watanzania wote wafurahie Tundu Lissu kuomba nafasi ya Uenyekiti Taifa wa CHADEMA

    Naomba kuwasilisha ndugu wana jukwaa, Taifa hili linapita katika nyakati ngumu sana awamu hii ya 2015-2025, mengi yametokea na yanaendelea kutokea, Lissu ata set precedence ya mambo yanayokuja mbeleni kwenye maeneo kadhaa ambayo sipaswi kuyasema. Demokrasia ndani ya CHADEMA ni chachu ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tuweke rekodi sawa, Kuna bendera ya Taifa duniani inayovutia kama ya Tanganyika?

    Zipo bendera za Taifa duniani zenye kuvutia, Lakini tuweke sawa kumbukumbu, hivi hapa duniani, Kuna bendera nzuri ya Taifa kuliko Ile ya Tanganyika? Nakupenda sana Nchi yangu Nyikani . Nawasilisha, Karibuni🙏
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Happy Tanganyika Day!

    Japo sikuwa nimezaliwa, lakini kupitia vitabu nimefahamu kuwa tarehe kama ya leo ndiyo siku nchi yetu ya Tanganyika ilipata uhuru toka kwa mkoloni mweupe! Kwa furaha kabisa nawatakia Watanganyika wote heri ya siku ya uhuru wa nchi yetu ya Tanganyika! Happy Tanganyika Day!!!
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makundi mbalimbali yaadhimisha Miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika kwa kutunza mazingira

    Katika kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru, mikoa mbalimbali nchini imejitokeza kushiriki shughuli za kutunza mazingira, ikiwemo kufanya usafi na kupanda miti. Mkoani Morogoro, Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu kwa kushirikiana na Kikosi cha Mazao Mzinga na wadau wa mazingira wamepanda miti 7,000...
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanganyika ilikufa na Zanzibar ikabaki?

    Huu muungano huu kiukweli pamoja na kusoma kwangu shule zote sijawai kupata majibu kutoka kwa wanasiasa au walimu wanaofundisha ! Nina maswali wataalamu naomba mnijibu Tanganyika iko wapi? Mbona Zanzibar ipo? Kwanini Zanzibar utoa Rais wa Tanzania wakati Tanganyika haiwezi kutoa Rais...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya Uhuru wa Tanganyika

    Tunapoadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika na baadae Tanzania, tujikumbushe maneno ya aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania na Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere kuhusu Muungano wa Tanzania. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika Ifutwe rasmi

    Kwakuwa hakuna nchi inayoutwa Tanganyika, serikali isipoteze fedha kila mwaka kuandaa sherehe za uhuru wa nchi hewa. Pia wafanyakazi waende kazini kama kawaida maana kukaa nyumbani kwa kisingizio cha sikukuu ya uhuru wa nchi ambayo haipo ni matumizi mabaya ya rasilimali watu.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Uhuru wa Tanzania (iliyokuwa Tanganyika zamani)

    Nimeona mjadala mahali watu wakibishana kuwa leo ni Uhuru wa Tanzania au Tanganyika, nami nimeona kwa manufaa ya wengi nishiriki mjadala huu kwa kutoa mchango wangu wa mawazo. Siku ya Uhuru Ina maana iliyo sawa na siku ya kuzaliwa kwa mtu. Kama mtu alizaliwa akawa anaitwa Juma...
  12. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Leo Desemba 9, 2024 ni Kumbukumbu ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika, una ujumbe gani kwa Viongozi na Wananchi wake?

    Leo tunapoadhimisha miaka 63 tangu Tanganyika kupata uhuru wake mnamo Desemba 9, 1961, tunakumbushwa juu ya safari ya kujitawala, mshikamano, na kujenga taifa lenye matumaini. Ni siku ya kukumbuka juhudi za mashujaa wetu waliopigania uhuru kwa nia ya kuleta haki, usawa, na maendeleo kwa kila...
  13. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia Rais wa JMT ndiye Rais wa Tanganyika. Akiwa ametokea Visiwani tahadhari kubwa inahitajika ili kuulinda Muungano.

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una mambo ya SEBULENI na ya CHUMBANI. Mojawapo ya mambo ya chumbani ni kwamba Rais wa JMT hawezi akatokea Visiwani moja kwa moja. Na kamwe haitokaa itokee Rais wa SMZ akatokea Bara. Rais Mwinyi na Samia walipata ngekewa za kuwa Marais wa JMT wakati tu wa...
  14. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Tanganyika enzi za Uhuru 1961

    Hao ndio walikuwa Wasomi Nchi hii kipindi tunapata Uhuru. Wazee wa Pwani naona Ngoma ziliwanogea hamna hata mmoja.
  15. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Double Standard: Kwa mwaka huohuo mmoja wa kalenda, Sherehe za Mapinduzi Zanzibar sawa, ila Sherehe za Uhuru wa Tanganyika hapana

    Kwa maoni yangu, hili halijakaa sawa. Sherehe hizi ni za Wananchi au ni za Viongozi tuliowaweka madarakani? Je, bila kufanya kinachosemekana ni Kitaifa pale uwanja wa Uhuru, nchi imekosa njia ya namna huku vijijini Matombo wananchi tukasherehekea? Wadau naombeni maoni yenu,tuishauri Serikali yetu.
  16. tpaul

    JamiiForums Tanzania Kwanini ushoga ni mwingi Zanzibar kuliko Tanzania Bara?

    Takwimu zinaonyesha na ukweli unadhihirisha kwamba vitendo vya kishoga nchini Tanganyika ni vichache kuliko ilivyo nchini Zanzibar, hadi kufikia hatua ya kukemewa na viongozi wa dini wanaokerwa na tabia hizi chafu. Tazama jinsi mashoga yanavyofanya shughuli zao na kujinadi hadharani bila...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika: Tumkumbuke Haruna Iddi Taratibu Muasisi wa TANU Dodoma 1955

    KUMBUKUMBU YA MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA Tunamkumbuka Shujaa wa Uhuru wa Tanganyika Haruna Iddi Taratibu Muasisi wa TANU Jimbo la Kati (Central Province) 1955 Haruna Iddi Taratibu Sifa kuu katika ujumbe wa Julius Nyerere ilikuwa ni kule kueleweka kwa mantiki yake na kuweza kuwavutia...
  18. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania KERO Jengo la Wilaya ya Tanganyika lililopo Manispaa ya Mpanda linaharibu taswira ya Mji kwa uchafu

    Hili ni moja ya majengo yanayomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika zamani Mpanda DC yaliyopo Manispaa ya Mpanda, Jambo la ajabu jengo hili limetelekezwa kwa sababu mazingira yake yanaonekana machafu sana. Ni aibu kubwa mazingira ya jengo hili kuwa machafu ili hali liko katikati ya...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa afya ya soka la Tanganyika, tuiombee Yanga ushindi leo

    Yanga inashuka dimbani leo ligi ya mabingwa na Al Hilal ya Sudani ikiwa ni majeruhi ya sumu ya nyuki wa Tabora baada ya kupigwa kipigo kibaya kabisa cha bao 3 kwa moja. Kipigo hicho kiliichanganya sana Yanga mpaka kufikia kumfukuza kocha wake aliyeifanyia mengi msimu huu Yanga bado ina kitete...
  20. S

    JamiiForums Tanzania KWELI Hiki ni Kimbunga cha Maji

    Nmeona mtu ametuma picha zikionesha kama moshi mrefu juu ya maji huku akiyaita ni maajabu lakini watu wamekuwa wakisema hiyo ni hali ya kawaida kwa kuwa hiko ni kimbuga cha maji, Je uhalisia upoje?
Back
Top Bottom