tanganyika

Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

View More On Wikipedia.org
  1. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ipi ni maana halisi ya jina "Tanganyika" na historia nyuma yake hadi nchi hii kuitwa "Tanganyika"?

    Karibuni wakuu.
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania NIi kweli umeme Zanzibar ni rahisi kuliko Tanganyika?

    Nimeona Habari ya kushuka kwa bei za umeme Zanzibar, ndio nikashtuka kua kumbe tokea siku nyingi umeme Zanzibar NI Rahisi kuliko Tz bara. Je umeme si unatoka huku kwetu? Nini shida mpaka Sisi tunyonywe Unit inauzwa ghali ?
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Utabiri Mzito: Mwaka wa 2025 ni mwaka Tanganyika kuamua hatima yake

    Hayawi hayawi ndivyo ndelemo za 2025 zitakavyokuwa huu ni mwaka mwaka wa Tanganyika. Si rahisi rahisi rahisi ndivyo itakavyokuwa. Sumu haionjwi kwa ulimi, ni gusa unate, gusa unuke na usiponuka unaondoka kama Member, misifa mingi wakati huna agano na Mungu kwa uhai wako. Leo Kiko wapi...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Mrindoko: Ufyekaji wa Mahindi ya Wananchi wa Wilaya ya Tanganyika si maelekezo ya Serikali

    https://www.youtube.com/watch?v=gLonjJFJotY Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,amesema kitendo cha wakulima wa wilaya ya Tanganyika kufyekewa mahindi kwenye msimu huu wa kilimo sio maelekezo ya serikali na si haki kufanya hivyo. Mwishoni mwa mwezi Disemba,2024 baadhi ya wakulima wa...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

    Ni ugeni mkubwa mwaka huu.. Maandalizi ni mengi na ni makubwa lakini yanayofanywa kwa siri kubwa sana hasa na wachina wenyewe. Madalali wa kichina tayari wako nchini wakizisaka fursa na kuzishikilia, mashushushu wa kichina pia ni wengi mno Mahoteli yananunuliwa kwa kasi ya ajabu. Migodi...
  6. KHM 1995

    JamiiForums Tanzania Hatma ya Tanzania iko juu ya Watanganyika na Wazanzibar

    Hatma ya Tanzania iko juu ya watanganyika na wazanzibar, lakini athari za kisiasa inaweza kuwa doom day kwa Tanzania. Lakini kanuni ya asili itaamua mustakabali wa Tanzania,itaacha kiashiria cha hatari juu ya watanganyika na wazanzibar,lakini kanuni ya asili sio matokeo ya kisiasa wala kiuchumi...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Wananchi Tanganyika walalamika kufyekewa mahindi hekari 60

    Baadhi ya Wananchi kijiji cha Kagunga Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi wamelalamika kufyekewa hekari 60 za mahindi jambo ambalo wamedai kuzorotesha ukuaji wa sekta kilimo na kujikwamua kiuchumi. Tukio hilo la kufyekewa mahindi limetokea hivi karibuni kutokana na kile kinachotajwa ni uvamizi...
  8. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hivi kile kizazi cha watumwa waliokuwa wanachukuliwa na waarabu kutoka Tanganyika kiliishia katika taifa/mataifa yapi?

    Leo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa. Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi. Au walichukuliwa kwa uchache na kusambazwa maeneo...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mapindizi cup Tanzania Bara imedhalilika

    Ni mashindano ya kuidhalilisha Tanganyika na watanganyika. Imefungwa Kila timu.
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hakuna Tanzania bara Kuna Tanganyika.

    Ziliungana Zanzibar na Tanganyika sio Zanzibar na Tanzania bara. Tanganyika tunakwama wapi? Sio sawa kuita Tanganyika kwa jina la Tanzania bara kwasababu hata Tanganyika Kuna visiwa vingi pia kama vile Mafia, Mbuja, ukerewe, nk. Tanganyika inahitaji kuombewa ili ijitambue.
  11. Mandingo

    JamiiForums Tanzania Tanganyika yaitwa Tanzania Bara Azam tv!

    Nimeumia sana kuona Zanzibar ipo ila Tanganyika imebatizwa jina la ajabu eti Tanzania Bara!!!
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je, Kwa Nini Timu ya Taifa ya Tanzania Bara Ni Kilimanjaro Stars Badala ya Tanganyika Heroes?

    Timu ya Taifa ya Tanzania Bara inajulikana kama Kilimanjaro Stars. Jina hili, ingawa linaashiria mlima mrefu na wa kihistoria nchini, halionyeshi historia ya kihistoria ya nchi kuu ya Tanganyika. Kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, nchi ilikuwa inaitwa Tanganyika na sio...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Leo katika historia Tanganyika

    Hii ndio ilikuwa Bendera yetu, na katikati ya Bendera ni Ngao ya Jamii (Coat of Arms) ya Nchi yetu enzi tunaitwa Deutsch-Ostafrika (Ujerumani ya Afrika Mashariki) miaka ya 1885 mpaka 1918. Wakati huo nchi ilikuwa na eneo la Mita Square 994,996 Km² ndani yake kuna Burundi na Rwanda, na Eneo la...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kagunga Kasekese Tanganyika Tanzania

    Kijiji cha Kagunga Kata ya Kasekese Wilaya ya Tanganyika 50211 WAKULIMA WAANGUA KILIO KWA RAIS SAMIA WAFYEKEWA MAHINDI YALIYOZAA https://m.youtube.com/watch?v=__MWE5flqWo Wananchi walia kunyanyaswa wapigwa, wabebeshwa matofali kijiji cha Kagunga, kata ya Kasekese Tanganyika. Fidia bado...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Sultani wa Zanzibar alikaa Tanganyika kwa siku 5 kabla ya kuelekea Uingereza kwa hifadhi ya kisiasa

    SULTANI JAMSHID ALIYOISHI DAR ES SALAAM KAMA MKIMBIZI AKIJITAYARISHA KWENDA NCHI YA TATU ILI TANGANYIKA ISIWE NA MGOGORO NA ZANZIBAR. Mchezo huu hauhitaji hasira, mtu ni kwao, karibu sana Sultan Jamshid. TOKA MAKTABA: AIISHUKURU SERIKALI YA TANGANYIKA KWA KUMPA NJIA YA KUPITA KUELEKEA...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan Bin Ameir Sehemu ya Nne na ya Mwisho

    https://youtu.be/7hdr_NWa6mk?si=iZwFvEiOtXV3lK35
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan Bin Ameir Sehemu ya Tatu

    https://youtu.be/iCuOj7ppe5E?si=QeKMvxp0WqOpAzUi
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeiteka Tanganyika

    Ni wajinga pekee wenye maono kimo cha mbilikimo ndio wanaoweza kafanya uharamia ili CHADEMA kigawanyike , kivurugane ama kisambaratike! Tangu harakati za kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA zianze hakuna habari nyingine yoyote imeweza kuipiku CHADEMA kwenye top trending discussions. Ni kama...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan Bin Ameir Sehemu ya Pili

    https://youtu.be/CeBBijxdjwg?si=3wUQnU1BEJOgcM_N
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Sheikh Hassan bin Ameir Mufti wa Tanganyika

    https://youtu.be/ZY0ozVzGzXo?si=7u9N3U8Ky8qlgefs
Back
Top Bottom