Mkuu tuwe wazi kidogo ni yako kweli au wewe ni mtu kati?Ina miaka 13
Zipo ekari ngapi?Shamba la mitiki LINAUZWA
Mteja ambae uko serious
Piga simu tuzungumze
0615636384
Miti iko 1700
Uwekezaji huu utakupatia Kila hekari million 300 Mimi nimeshindwa kuendeleza
Karibu umalizie palipo
View attachment 3446218 Baki.
Linauzwa shamba la miti, hauzwi mwenye shamba. Wewe kama uko interest na miti si namba kakuwekea hapo, regardless anayeuza ndio katangaza au mtu kati ndio kakufikishia taarifa.Mkuu tuwe wazi kidogo ni yako kweli au wewe ni mtu kati?
Nina sababu muhimu kumuuliza hapa, hakuna sababu ya kuwasiliana na mtu anayeuza ardhi kwa vificho.Linauzwa shamba la miti, hauzwi mwenye shamba. Wewe kama uko interest na miti si namba kakuwekea hapo, regardless anayeuza ndio katangaza au mtu kati ndio kakufikishia taarifa.
Kwanza unayo hela ya kununua hilo shamba?Nina sababu muhimu kumuuliza hapa, hakuna sababu ya kuwasiliana na mtu anayeuza ardhi kwa vificho.
Na ndio maana nimemuuliza, siwezi nkaenda hadi Korogwe alafu naenda kukutana na mtu kati aliyesema ni mmiliki. Unafika alafu unakutana na stori nyingi na kuanza kumbembeleza muuzaji akuuzie, huo ujinga unapoteza sana muda.Kwanza unayo hela ya kununua hilo shamba?
Na nia ya kununua shamba unayo?
Then kama vyote vipo achana na namba wala muuzaji huyu. Funga safari nenda Korogwe kwenye hilo shamba ununue. Hakuna haja ya kuuliza mwenye tangazo kama ndio mwenye nalo wakati tiyari unaamini anauza kwa kificho. Hata jibu anaweza kukupa la kificho.
Suala la msingi kujua pia ni ekari ngapi.
Analia mtu sasa hivi hapa milio muda si mrefu mitik ilivyo mikubwa hivyo iiuzwe online kuna mtu atatoa mlioShamba la mitiki LINAUZWA
Mteja ambae uko serious
Piga simu tuzungumze
0615636384
Miti iko 1700
Uwekezaji huu utakupatia Kila hekari million 300 Mimi nimeshindwa kuendeleza
Karibu umalizie palipo
View attachment 3446218 Baki.
Nina sababu muhimu kumuuliza hapa, hakuna sababu ya kuwasiliana na mtu anayeuza ardhi kwa
Shamba lina hati ambayo inasoma jina langu hakuna janja janja apoNa ndio maana nimemuuliza, siwezi nkaenda hadi Korogwe alafu naenda kukutana na mtu kati aliyesema ni mmiliki. Unafika alafu unakutana na stori nyingi na kuanza kumbembeleza muuzaji akuuzie, huo ujinga unapoteza sana muda.
Picha ya kudownload mtandaoni bonyeza link hii kuona alikotoa picha hiyo ilikuwa profile ya mwana jf anaitwa octoba tuna tiki so hili shamba ni kitapeli naona muuza shamba kala kona akiwa bado anapumua napiga tena kichwani ....utapeli mwikoShamba la mitiki LINAUZWA
Mteja ambae uko serious
Piga simu tuzungumze
0615636384
Miti iko 1700
Uwekezaji huu utakupatia Kila hekari million 300 Mimi nimeshindwa kuendeleza
Karibu umalizie palipo
View attachment 3446218 Baki.
![]()
Analia mtu sasa hivi hapa milio muda si mrefu mitik ilivyo mikubwa![]()
😂😂😂wewe ndo akili Huna kabisa sijaanza kupost ili kuuza shamba hili leo naomba tembea post zangu kwanza piliPicha ya kudownload mtandaoni bonyeza link hii kuona alikotoa picha hiyo ilikuwa profile ya mwana jf anaitwa octoba tuna tiki so hili shamba ni kitapeli naona muuza shamba kala kona akiwa bado anapumua napiga tena kichwani ....utapeli mwiko