tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. Wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF na Wilfred Lwakatare waiteka Tanga

    WAJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA CUF & WILFRED LWAKATARE WAITEKA TANGA. KILA WILAYA WANAYOFIKA WAPOKELEWA KIPEKEE Wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF wameamua kufika kila wilaya kuzungumza na wanachama na Viongozi wa CUF kuweka mikakati kuelekea katika Uchaguzi Mkuu. Wameanza na Mkoa wa Tanga na...
  2. Jeshi la Polisi Pangani jijini Tanga limewakamata viongozi wa CUF pia ni wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa la CUF

    Jeshi la Polisi Mkoani Tanga wilayani Pangani, limewakamata viongozi wa cuf pia ni wajumbe wa baraza kuu la taifa la CUF. Wamekamatwa wakiwa katika ujenzi wa chama #hatuwezikurudinyuma.
  3. Tatizo la maji Tanga mjini

    Heshima kwenu wote. Sisi wakazi wa kata ya Pongwe jijini Tanga yapata siku 10 sasa hatupati maji kabisa hasa katika maeneo ya Pongwe kusini (Sanawari) maji hayatoki hata tone moja.Hatujapata taarifa yeyote kuhusu tatizo la maji kama hapo nyuma ilivyokuwa na matengenezo nk Tumeenda kwenye ofisi...
  4. S

    Madereva wa private: Arusha/ Moshi na Tanga mnakaribishwa kupata chakula kwenye hoteli ya Drive in Lodge Msata

    Drive in lodge msata inayopatikana barabara ya Bagamoyo,inakujulisha wewe dereva wa gari ya kukodiwa au gari ndogo uwapo Safari na UNAHITAJI huduma za chakula, vinywaji au malazi, karibu Sana hotelini. Kwa dereva wa coster utapata chakula,maji na kifuta jasho abiria watapokula au kununua...
  5. Kisa cha kweli: Kumbe mapenzi yaliyozaliwa Tanga ni fake

    Wanajamvi habarini? Wanandoa kwema?. Muhtasari: nikiwa tineja nilijiwekea mipaka ya makabila ambayo sitao,kila kabila na sababu zake. Wakurya: ukatili Wachaga:kutojua mapenzi sana Wazaramo: wavivu Tanga(makabila yote): sababu ya ushirikina. Jambo la kushangaza hao ndio nikawa nawapata sana hasa...
  6. Kwa walio Tanga

    Habari zenu wana jamvi, kama kuna mtu yupo maeneo ya Tanga mjini ningependa kuonana naye hata tubadilishane mawili matatu hata kujuana zaidi sisi kama wanajamii wa JamiiForums.
  7. Kadogosa: Tutarejesha safari za treni kati ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha ndani ya muda mfupi

    Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli Tanzania - TRC Ndg. Masanja Kungu Kadogosa ametembelea kipande cha reli kati ya stesheni za Buiko na Hedaru mkoani Kilimanjaro ambacho kimefunikwa na maji kwa zaidi ya juma moja baada ya mafuriko yaliyosabishwa na mto Pangani kujaa kutokana na mvua zinazonyesha...
  8. Dispatch Clerk II at Tanga Cement PLC

    Position: Dispatch Clerk II Reporting to: Weighbridge Supervisor Location: Tanga Key responsibilities: Responsible for Weighbridge administration ensuring compliance with procedures Principle Accountabilities: Accurate weighing and recording of truck weights Preparation of daily and monthly...
  9. Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

    Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Kazungu amezungumza na vyombo vya habari ili kuweka mambo sawa. Balozi kazungu amesema... Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza...
  10. K

    Hao Madreva 19 wa Kenya waliothibitika kuwa na Corona waliruhusiwa kuingia nchini?

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga amedai wapo madreva 19 wa Kenya waliothibitika kuwa na Corona lakini hawakuwakataa alimaanisha na Kenya waruhu madreva wetu bila kujali Hali zao kiafya waingie Kenya. Swali; 1. Walipimwa lini? 2. Walipimwa boda wakakaa kusubiri majibu kutoka dar? 3. Walipimwa lini kwa...
  11. Sheikh wa Wilaya ya Tanga awaomba waumini kutotumia Sanitizer kabla ya swala maana ina kilevi

    Sheikh Mohamed Kombora amewaasa waumini wa Kiislam wa wilaya ya Tanga kuacha matumizi ya vitakasa mikono (Sanitizer) kabla ya swala maana vina kilevi kwa zaidi ya 60% na kwamba wakitumia watanajisi swala zao. Chanzo : EATV Nakala : FaizaFoxy
  12. Tanga: RAS aagiza Walimu waendelee kuhudhuria kazini licha ya agizo la Serikali kuzuia mikusanyiko

    Wakati serikali ikiwahimiza wananchi wake kupunguza mikusanyiko na safari zisizo za lazima ikiwa ni pamoja na kuzifunga shule zote na vyuo vyote nchi nzima kwa lengo la kupunguza athari za kusambaa kwa Virusi vya CORONA, imebainika hali ni tofauti huko mkoani Tanga kwani katibu Tawala wa mkoa...
  13. J

    Mbowe tafadhali tembelea kituo cha Karantini Horohoro Tanga na ikikupendeza wachangie chakula

    Kupitia kituo cha luninga cha ITV wameonyeshwa wananchi walio katika kituo cha Karantini katika mpaka wa Horohoro wakilia njaa. Wananchi hao wamedai wanatakiwa kulipa sh 140,000 kila mmoja ili waweze kutunzwa mahali hapo kwa siku 14. Wananchi hao wamedai kuwa wao ni maskini hawana uwezo wa...
  14. Zanzibar yatangaza maambukizi mawili huku wote wakitokea Tanga na kuingia Zanzibar

    IDADI YA WAGONJWA WA COVID19 WAONGEZEKA Z’BAR Wizara ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya wawili wa maambukizi ya virusi vya #Corona na hivyo kufanya idadi ya waliopata maambukizi hayo kufikia saba. Wagonjwa hao wapya wote ni Watanzania, wanaume wenye miaka 33 na 27 na waliingia Zanzibar...
  15. Christopher Mariba, Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tanga na mwenzake, watuhumiwa kuomba na kupokea rushwa, wasimamishwa kazi

    TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO WA HABARI IMETOLEWA JIJINI DAR ES SALAAM MACHI 20, 2020 WATUMISHI WAWILI WA TAKUKURU WASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa — TAKUKURU inapenda kuufahamisha umma kwamba, watumishi wake wawili akiwemo Mkuu wa TAKUKURU Mkoa...
  16. Katiba ya Tanzania yazidi kusiginwa , 8 waliojiuzulu udiwani Cuf Tanga na kujiunga na CCM wahudhuria kikao cha bajeti na kulipwa posho

    Kiukweli watu hawa ambao si madiwani tena baada ya wao wenyewe kutangaza hadharani na kuandika barua za kujivua udiwani na uanachama wa CUF na kuhamia CCM hawakupaswa kuendelea kuhudhuria vikao vya baraza la madiwani. Mkurugenzi wa Jiji la Tanga kaamua kujitoa akili na kueleza kwamba hana...
  17. Historia ya mkoa wa Tanga

    Mkoa wa Tanga una eneo la 27,348 km² na uko Kaskazini Mashariki mwa Tanzania ukipakana na Kenya upande wa Kaskazini, Bahari Hindi upande wa mashariki na mikoa ya Morogoro, Manyara na Kilimanjaro. Mpaka upande wa kusini unafuata mto wa Mligaji. Mkoa wa Tanga unaunganisha sehemu za pwani pamoja na...
  18. Office Secretary at TANROADS Tanga

    Educational/Professional qualifications:- Must have a Certificate in secretarial Service or equivalent from any recognized Learning Institution/colleges; A National Form IV/VI certificate; Computer literate; Work Experience: At least 3 years cumulative experience related to clerical/...
  19. Nafasi za kazi TANROADS Tanga

    The Tanzania National Roads Agency (TANROADS) on behalf of the Government of the United Republic of Tanzania entered into a Contract for the Upgrading of Bagamoyo – (Makurunge) – Saadani – Pangani – Tanga (256km) to Bitumen Standard, LOT 1: Pangani – Tanga Section (50Km). The Contract period is...
  20. F

    Ushauri: Fedha zilizookolewa ktk uchaguzi Njombe, Tanga, Mtwara, Katavi na maeneo mengine zijenge vituo vya Afya

    Mada hapo juu yaeleweka vizuri sana. Mnafahamu kiendeleacho nchini hivi sasa. Katavi, Njombe, Mtwara na Tanga hakuna uchaguzi. Hela nyingi zimenusirika kulipa posho za wasimamizi, karatasi, wino, visanduku, usafirishaji nk. Hata mitaa na vijiji vingi kwingineko hakuna uchaguzi wa serikali y...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…