tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    INAUZWA Sofa set fior sale in Tanga

    Price 850000/= call 0787103846. Bargaining room for serious buyers ipo.
  2. K

    Car4Sale Toyota Alphard inauzwa Tanga mjini

  3. Tanga: Utaratibu wa ugawaji mahindi ya msaada unatukera, Serikali iangalie utaratibu uliopo

    Wanakijiji Tanga wanapanga foleni kupata msaada wa mahindi na pia lazima waje na vitambulisho, wanauziwa kilo moja kwa shilingi mia tisa, watu ni wengi sana na foleni huenda ikawa hadi jioni na kitu endelevu. Kinachofanyika kwa sasa kimekuwa kikifanyika wiki nzima yote hii. Wanaunganika...
  4. Ujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida itapitia maeneo gani?

    Nimemsikia Waziri Ujenzi, Profesa Mbarawa akisema kunaujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida. Hii barabara mpya itapitia maeneo gani au wilaya zipi ndani ya hiyo mikoa mitatu aliyoitaja? Mwenye uelewa tafafhali ninahisi Prof. ametupiga changa la macho. Au...
  5. Ripoti DCEA: Dar, Tanga na Pwani ni vinara wa Dawa za Kulevya Tanzania

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za kulevya, Gerald Kusaya amesema kati ya mwaka 2021/22 wamekamata Kilo 11,974.4 za Dawa hizo nchini huku mikoa hiyo ikiongoza. DCEA Kusaya amesema "Mikoa hiyo inaongoza kutokana na jiografia yake ilivyo sababu Dawa nyingi zinazomakatwa...
  6. Kama kweli Watanzania tupo makini na taifa letu, basi Mkuu wa Mkoa wa Tanga hastahili kuwepo ofisini

    Kama taifa tuna Mambo na vitu vingi vya kufanya lakini kwajili alilofanya Omary Mgunda aisee hapana huyu bwana arudi tuu kule kwenye Biashara ya mazao. Haiwezekani kijana Mdogo aliefanya jambo lake kishujaa na kiitifaki kama Taifa na serikali lishakubali na kumpa medani, Sasa katika kipindi...
  7. Fainali ya CRDB bank taifa cup jijini Tanga

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa (katikati) akirusha mpira juu kuashiria kuanza kwa mchezo wa fainali kati ya Dar es salaam na Unguja (Wanawake) wa mashindano ya CRDB Bank Taifa Cup yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Bandari Jijini Tanga. Watatu Kulia ni...
  8. Benki ya CRDB yaendesha semina kwa wateja wake wa mkoa wa Tanga

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba akizungumza wakati akitoa hotuba yake katika ufunguzi rasmi wa Semina ya siku moja kwa Wateja wa Benki ya CRDB wa mkoa wa Tanga, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Regal Naivera jijini Tanga, Novemba 14, 2022. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya...
  9. Siku si nyingi namuoa binti mwenye asili ya Kiarabu kutoka Tanga, amekubali kubadilisha dini

    Huyu binti nilimkubali sana tangu nilipomuona mwaka jana na tumekuwa na mahusiano murua. Ni binti mpambanaji tofauti na wengi kutoka mkoa huo. Baba yake alikuwa msambaa asilia (alishafariki) lakini mama yake ni chotara wa kiarabu na hivyo binti amekuwa na hizo elements za kiarabu katika...
  10. Mbunge anusa uozo bandari ya Tanga

    Wakati Bunge likijadili ripoti za kamati za Bunge kuhusu ubadhirifu uliofanywa na baadhi ya watendaji katika miradi mikubwa. Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Judith Kapinga ameishukia Mamlaka ya Bandari (TPA) kwa kile alichokiita uozo katika ujenzi wa bandari ya Tanga. Hoja za wabunge ziliibuliwa...
  11. Mbunge acharuka Tsh. Bilioni. 64 kutafunwa ndani ya siku 1

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Judith Kapinga, ameliibua bungeni sakata la kutafunwa Sh. bilioni 64.3 kwenye Bandari ya Tanga baada ya kutolewa kwa zabuni iliyogubikwa na utata, akitaka hatua zichukuliwe dhidi ya wahusika ili kuongeza uwajibikaji. Judith aliibua hoja hiyo jana alipochangia...
  12. CRDB Bank Taifa Cup 2022 yafunguliwa Tanga

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba (katikati) akifurahi jambo na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa (wanne kulia) wakati wa ufunguzi rasmi wa Mashindano ya taifa ya mpira wa kikapu 2022 (CRDB Bank Taifa Cup), yaliyoanza leo kwenye uwanja wa Bandari jijini Tanga na...
  13. TANGA: Watumishi wabainika kuongeza idadi ya Wagonjwa wa VVU ili kunufaika na Fedha za AMREF

    Watumishi wa afya katika wilaya ya Muheza waliohusika kusajili wagonjwa hewa 313 wa virusi vya Ukimwi (VVU) ili kuonyesha takwimu zipo juu za wanaoishi na VVU kwa maslahi yao binafsi ikiwemo kujinufaisha na fedha zinazotolewa na shirika la afya la AMREF. Awali akitoa taarifa kwa waandishi wa...
  14. Je, Mkoa wa Tanga ni Jamhuri inayojitegemea?

    Naomba kuuliza suala hili kwa Afande IGP, RPC wa Tanga na DTO wa Tanga je Mkoa wa Tanga ni Jamhuri inayojitegemea? Katika kujitafutia maendeleo watanzania wanafanya kazi usiku na Mchana Ili kuweza kupambana na ugumu wa maisha na kupata mahitaji Yao ya kila siku. Ni dhahiri kwamba katika...
  15. TANESCO kumaliza tatizo la umeme Tanga kufikia Machi 2023, waelezea kuzalisha umeme kwa njia ya jua

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeweka wazi mipango yake ya kumaliza tatizo la umeme kwa asilimia 100 Mkoani Tanga kufikia Machi 2023, huku kukiwa na mikakati ya kuzalisha umeme kwa njia ya jua kufikia mwishoni mwa mwaka huu (2022). Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Hashim Mgandilwa...
  16. Pelekeni watoto Hospitali, msiwafunge hirizi –DC Tanga

    Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Hashim Mgandilwa, amewataka wazazi kuwapeleka hospitali watoto wanaozaliwa wakiwa na changamoto kama vile kuwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi badala ya kuishia kuwafunga hirizi na kubaki nao nyumbani. "Kuna wakati unaona mtoto kazaliwa akiwa na changamoto tamaduni...
  17. Moto wateketeza ghala lenye mizigo ya magendo na waliokwepa ushuru Tanga

    Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa Omary Mgumba, ghala lilikuwa na mizigo ya Mamlaka ya Mapato (TRA) ikiwemo Vitenge vilivyokamatwa kwa Magendo baro 370 pamoja na Sukari, Mafuta ya Kula, Baiskeli na Pikipiki Kamanda wa Jeshi la Zimamoto Mkoa, Fatuma Ngenya amesema wamefanikiwa kuudhibiti Moto ulianza...
  18. Tanga: Mkuu wa Mkoa awasimamisha kazi watumishi 4 Halmashauri ya Muheza, ubadhirifu na utendaji mbovu vyatajwa

    Waliosimamishwa ni Ramadhani Mtingi (Idara ya ujenzi), Zainabu Mzindakaya (Mweka Hazina wa Halmashauri), Furaha Sarakikya (Idara ya Manunuzi) na Serapion Basgange (Afisa Elimu Sekondari). Mkuu wa Mkoa Omary Mgumba amewatuhumu watumishi hao kutumia vibaya Fedha za Serikali na Usimamizi Mbovu wa...
  19. Natafuta Mtaalam wa zao la Kokoa ( Kakao) mkoa wa Morogoro au Tanga

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Naomba mzoefu wa kilimo cha Kakao kwa mkoa wa Tanga au Morogoro ani pm tuwasiliane. Nahitaji kupata uzoefu na kujifunza zaidi kwa MTU anayefanya aina hii ya kilimo kabla ya kuingia kwenye ukulima wa hili zao. Najua Kyela ni wazoefu zaidi lakini...
  20. R

    Angalia Rushwa (rushwatozo) ya trafiki toka Tanga mpaka Lushoto kabla ya Kinana kuingilia kati

    Nimehojiana na dereva alivyokuwa anatoa rushwa kwa trafiki na kumshukuru Kinana kupunguza trafiki barabarani. Unatoka Tanga kwenda Lushoto. Unatoa rushwa as follows 1. Ukitoka Tanga stend ya zamani kabla ya kufika Kange stend unatoa 2,000 2. Kange stend kabla ya kuanza safari ya L:ushotondoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…