Rich Dad
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 748
- 133
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Naomba mzoefu wa kilimo cha Kakao kwa mkoa wa Tanga au Morogoro ani pm tuwasiliane. Nahitaji kupata uzoefu na kujifunza zaidi kwa MTU anayefanya aina hii ya kilimo kabla ya kuingia kwenye ukulima wa hili zao.
Najua Kyela ni wazoefu zaidi lakini nimependelea mikoa hiyo niliyotaja kwa urahisi zaidi hasa ukizingatia mimi naishi Dar es Salaam.
Ni rahisi zaidi kufika Morogoro ama Tanga.
Najua Kyela ni wazoefu zaidi lakini nimependelea mikoa hiyo niliyotaja kwa urahisi zaidi hasa ukizingatia mimi naishi Dar es Salaam.
Ni rahisi zaidi kufika Morogoro ama Tanga.