Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,286
- 1,854
Walimu 56 wakihama chama cha walimu CWT kilindi Tanga.Hatua hiyo wamefikia kutoa notisi ya mwezi mmoja kwa mwajiri.
"Mimi nadai pesa za uhamisho mwaka wa 6 huu mbaya zaidi kila wanaposema wanatulipa tunaishia kupewa laki mbili,tatu au nne sisi walimu wa msingi lakini wenzetu wa sekondari wanalipwa milioni moja mpaka mbili katika kupunguziwa deni lao.Je,huu sio ubaguzi? Ni bora kukihama hiki chama au kutokuwa na chama kabisa hawatutendei haki kwakuwa viongozi wa cwt wanaogopa kupoteza vyeo vyao hivyo wanatutelekeza ".