Tanga Regional Energy Hub: Mradi wa Bilioni 20 USD

Tanga Regional Energy Hub: Mradi wa Bilioni 20 USD

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,104
Reaction score
873
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, leo wameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano (MoU) wa mradi wa Tanga Regional Energy Hub, unaojumuisha ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi (refinery) chenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 20 (zaidi ya Shilingi trilioni 56).

Mradi huo, utakaotekelezwa kwa ushirikiano wa TPDC, UNOC na Vitol Bahrain E.C., pia u
IMG-20260806-WA0034.jpg
nahusisha ujenzi wa bohari la mafuta, jetty na bomba la kusafirisha mafuta yaliyosafishwa kwenda Uganda.

Uwekezaji huo unatarajiwa kuifanya Tanga kuwa kitovu cha nishati na biashara ya mafuta Afrika Mashariki, huku ukiongeza ajira, uwekezaji na kuimarisha shughuli za Bandari ya Tanga.
 
Back
Top Bottom