tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. Kinachoendelea Tanesco Mwanza ni kipimo cha Serikali kufeli

    Katika Jiji la Mwanza, Tanesco Nyakato, wananchi wamekuwa wakilalamika kila wanapoenda ili wapate huduma katika Maeneo mbambali kama, kijerishi, Nyamongoro, Kisesa maeneo ya Isen B, Nyakato, Buswelu, National. Baadhi ya Matatizo yaliyopo ni kutowekewa umeme huku nguzo transforma na wire...
  2. Gharama za umeme zimepanda lini? Tsh.10,000 kwa unit 72 badala ya 82 imekuwaje?

    TANESCO kuna shida kabisa kwanza umeme unakatika katika hovyo sawa hiyo moja lakin nyingine naona ghafla gharama za umeme zimepanda kimya kimya maana kwa Tsh.10000/ tulipata unit 82 lakini sasa mwez huu Tsh.10000 unit unapata unit 72. Hii ni hujuma au kuna nini huko TANESCO? Maana TANESCO ndiko...
  3. P

    Jengo la Tanesco Ubungo lifanywe Hostel za wanachuo

    Siwezi kujua lengo la shirika la umeme Tanesco kuhusu jengo lao lililoko Ubungo jirani na daraja la Kijazi. Lakini kwa muonekano kwa nje Ni Kama halitumiki. Kwa kuwa serikali ya AWAMU ya sita iko katika safisha safisha ya baadhi ya madudu yaliyoonekana yanazingua nchi na wananchi wake Basi...
  4. Kinachoendelea TANESCO ni kumfitinisha Rais Samia kwa Wananchi

    Tokea afariki Magufuli huko TANESCO hakujatulia na mambo yamekuwa ya hovyo sana! Umeme kukatikakatika kwa sasa ni jambo la kudumu. Mfumo wa kununua umeme kwa njia ya simu nao pia chali. Hii si hali njema sana kwa Wananchi na imesababisha usumbufu usiokuwa na lazima. Kipindi cha Utawala wa...
  5. Nyakato, Mwanza: Wananchi walalamika kuzidiwa kwa TANESCO

    Katika Jiji la Mwanza Tanesco Nyakato imeshindwa kutatua kero za wananchi. Wananchi wamelalamika kutofungiwa umeme kwa muda mrefu huku wakidai kupeleka form zao katika kituo hicho kwa mda mrefu wakiahidiwa surveyor kupigiwa simu bila Mafanikio Manager wa Tanesco amedai wanagali mbili na...
  6. Baraza la Mawaziri likibadilishwa Kalemani aondolewe kwa hoja ya Tanesco kutokaguliwa, Mwanasheria Mkuu kusimamia awamu ya 5 kuvunja sheria

    Nasikia tetesi za mabadiliko ya Baraza la mawaziri. Namshauri mama asimuache Kalemani, kwa muda wote ameacha Tanesco bila kukaguliwa hesabu wakati anajua Tanesco inameza zaidi ya trilioni ishirini za nchi kwenye mradi wa bwawa la Stiegler's, mabilioni mengine pia. Kuna uwezekano huko kuna...
  7. "Wilaya ya Mbezi Beach" kama inavyoelezwa kwenye taarifa hii ina maana gani?

    Naomba kuuliza hii wilaya ya mbezi Beach imeundwa lini☹️☹️☹️☹️?
  8. B

    Tanesco, huduma ya Luku imekwama tena leo

    Leo Jpili tangu asubuhi nimejaribu kununua umeme via Mpesa na Simbanking (CRDB) lakini hakuna kitu. Mpesa wamekata kabisa pesa lakini hakuna token iliyokuja.
  9. S

    TANESCO mbona makato mengi sana? Anayejua ni ya nini anijuze

    Hii Trans fee ni nini? Au makato ya fee ya barabara imeanza hata kabla ya budget? ===== VAT EWURA REA TRAN FEE??? Ni nini hiki?
  10. Baada ya serikali kupunguza bei ya kuunganishiwa umeme kuwa Tsh 27,000 Mkoa wa Kilimanjaro ofisi ya Tanesco mkoa yakabiliwa na upungufu " Surveyor"

    Baada ya Serikali kupunguza kulipia umeme Hadi 27,000 tanesco kwenye baadhi ya mikoa ,limeibuka tatizo la kukoseka kwa watumishi wanaojulikana kama ' surveyor, mfano kule Kilimanjaro ofisi ya tanesco mkoa ,kuna surveyor wawili, anaohudumia ofisi ya mkoa . Hii imechangia kuongezeka kwa...
  11. J

    TANESCO rudisheni token ama fedha za watu mlizochukua wakati wa tatizo la mtandao

    Rudisheni Token ama fedha za watu mlizokata wakati mna tatizo la mfumo wa LUKU, ni muda sasa hela hamrudishi Token hamtoi, hamuoni kama huu ni wizi kama wizi mwingine? Kwenye mitandao ya simu mtu akipata shida ya miamala ndani ya saa 24 hela zake zinarudi nyinyi mna tatizo gani , watu walinunua...
  12. D

    Ushauri: TANESCO wapeni kipaumbele kwanza waliolipia Tsh 300,000 waishe kabla ya kuanza kufungia LUKU wale wa Tsh. 27,000/=

    Nashukuru bei ya kuingiza umeme imeshuka hadi elfu 27000/= mijini na vijijini kwa sasa. Kesho naenda kuomba luku 10 kwa mpigo kila mpangaji awe na yake. Lakini inasimuliwa wako watu waliolipia bei ya laki tatu ambao hawajawekewa Luku hadi sasa. Kutokana na ongezeko la mahitaji kwa wateja wapya...
  13. Gharama za umeme: Rais Samia muwajibishe Waziri Kalemani na uongozi wote wa TANESCO

    Nipo kwenye rekodi hapa ya kumtetea waziri Kalemani huko nyuma lakini leo naomba Rais Samia amfukuze tena ikibidi haraka Sana huyu waziri. Kwa mujibu wa maagizo aliyowapa TANESCO waziri Kalemani anataka sasa karibu watu wote Tanzania nzima wakitaka kuunganishiwa Umeme walipe Elfu 27 tu bila...
  14. Umeme wa TANESCO umekuwa kero katika wilaya ya Masasi

    Sisi wananchi wa wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara kuanzia jana umeme umekuwa unakatika kila baada ya dakika 10 na kuleta madhara makubwa kwa sisi wananchi ambao tunautumia kwani tunaunguliwa na vifaa ambavyo vinatumia umeme. Pia majokofu yanashindwa kufanya kazi kwa ufanisi kutokana na kero ya...
  15. Tanesco ukataji umeme wa ovyo

    ..
  16. Tanesco Dodoma bado hawataki tulipe 27,000 kuunganisha umeme

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Licha ya waziri wa nishati kuelekeza kuwa wananchi waunganishiwe umeme kwa 27,000 tanesco Dodoma bado wamekaidi agizo hili. Wameamua kuwaunganisha wateja wenye nguzo karibu na nyumba zao huku wengine wakiambiwa walipie gharama za kuwasogezea nguzo karibu...
  17. J

    Maji katika bwawa la Nyerere kuanza kujazwa 15/11/2021 na 13/04/2022 litakuwa limejaa tayari kwa majaribio

    Waziri wa nishati mh Kalemani amesema mradi wa umeme bwawa la Nyerere kuanza kujazwa maji November 15. Kalemani amesema hayo alipotembelea mradi huo akiwa ameongozana na waziri wa nishati wa Misri ambaye amesema bwawa litakuwa limejaa 13/04/2022 na majaribio ya mitambo ya kuzalisha umeme...
  18. Call For Interview UTUMISHI At MU, TCB, Tanga-UWASA, IRUWASA ,UDSM, MNH, TANESCO & TTCL On 24th May 2021

    INTERVIEW ANNOUNCEMENT Click below to download pdf file:
  19. Nashauri TANESCO kuwe na bima ya umeme

    Hivi karibuni kulikuwa na changamoto iliyojitokeza na kukwamisha shughuli za Watu wengi kwa kukosa umeme. Shirika la Umeme na Kampuni za Simu/Watoa huduma za Luku, waanzishe Bima ya token/unit ambapo Wateja watakuwa wananunua unit(token) za akiba zitakazohifahiwa kwenye akaunti zao na pindi...
  20. M

    Wizara kuweka gharama za kulipia nguzo 1,2,3 = Tsh 27000/= linaleta kero kubwa, TANESCO hawana uwezo wa kufidia punguzo hilo

    Wizara ya Nishati umeshindwa kutatua kero za kuunga umeme kwa wananchi na badala yake imezidisha ugumu wa kupata huduma ya umeme hasa kwa wateja Wanahitaji nguzo 1,2,3,4,5,6,7,8,9, Hadi kumi. Wizara ilitoa sharti gumu kwa TANESCO inayojiendesha kihasara kupunguza gharama za umeme wa nguzo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…