Tanesco, huduma ya Luku imekwama tena leo

Leo Jpili tangu adubuhi nimejaribu kununua umeme via Mpesa na Simbanking (CRDB) lakini hakuna kitu. Mpesa wamekata kabisa pesa lkn hakuna token iliyokuja.

E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom