complex31
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 581
- 1,738
Napendekeza umeme uuzwe kwa vifurushi kama vya simu
Mfano umeme wa 10,000/= upate unit 30 ambazo unapaswa kutumia ndani ya siku 7
Hii itapeleka umeme unaozalishwa utumike wote na kuacha kama sio kuondoa ubanaji wa matumizi kadri siku zinapokaribia kuisha kifurushi
Hii itapelekea pia kutumika umeme wote unaozalishwa, kwavile kutakua na “expire date” na kuacha kulipia umeme uliotengenezwa na kutotumika
Matumizi ya “pay less get more” yakizingatiwa nina uhakika majumba yote yatawashaa AC kwa Dar, majiko ya gas yatakua historia pamoja na taa za nje zitakua zinaachaa usiku mzima
Ahsante