Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,718
- 6,772
Mmeshindwa kutupa umeme wa uhakika tunawaangalia tu.
Sasa mmeshindwa kuja na ratiba rasmi ya huo mgao wenu ili hata mtu apangilie ratiba yake ya siku maana shughuli nyingi bila umeme haziendi?
Sasa mnakata umeme saa 2 usiku weekend, mnataka twende wapi muda huu?
Hivi furaha yenu ni kuona watanzania tunateseka au?