tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kariakoo Sasa Majenerator yanaunguruma. Gegegeeee, Dododooo, Gigigiiii

  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Press Release za TANESCO Zimejaa MW. MW Utadhani watanzania wote ni Electrical Engineers

    Aliye iloga Tanzania kafa. Nchi hii imegeuzwa kichwa cha mwenda wazimu Kabisa. Hawa watendaji wa Serikali siyo kwamba hawajui Kazinila wameamua Kula kulingana nanurefu wa kamba Zao. Unjanja unjanja mwinginwa kumwona kila mtanzania ni mkinga. TANESCO Sisi tunataka umeme hizo hesabu zenunza...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO yaelezea undani wa tatizo la umeme wa mgao, yataja uhaba wa maji na matengezo ya mitambo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande amezungumia kinachoendelea kuhusu mgao wa umeme Nchini akitaja sababu na mipango yao ya wanachokifanya ili kukabiliana na changamoto zinazojitokeza. Amesema kuna upungufu wa Megawats 300 hadi 350 kwa siku kutokana na...
  4. Protector

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza upungufu wa Umeme kwenye Gridi ya Taifa kutokana na Ukame

    Leo tarehe 22/11/2022 TANESCO wametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuelezea sababu za mgao unaoendelea nchini. Kwa habari zaidi soma Press release Hapa chini ==== Shirika la Umeme Tanzania limetangaza upungufu wa Megawati 155 za Umeme wa Maji uliosababishwa na Ukame kwenye Mabwawa ya Kihansi...
  5. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Suala la umeme Tanzania ni uzembe wa Serikali

    Wanyamwezi tuna usemi "if it ain't broke, don't fix it." Tulikua tunaenda vizuri tu, umeme ukikatika hauendi muda mrefu unakua umerudi. Lakini tukaona hapana, tupindue meza. Kalemani kaa pembeni ili aje January. Makamba tungeweza kumuweka hata wizara ya mambo ya nje, lakini wapiii? Kalemani...
  6. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Wasichokitaka Tanesco ukijue hiki hapa, pitia uzi huu utanishukuru baadaye na utajipanga na hili

    TAARIFA HALI YA UPATIKANAJI HUDUMA (UMEME) Katika kipindi cha huu mwezi November tuna hali isiyoridhisha ya utoaji huduma kwa mujibu wa haki, wajibu na taratibu za utoaji huduma kwa wananchi ( wateja) kama mikataba yetu ya huduma kwa wateja inavyoelekeza Takribani 23% ya wateja wetu wamekuwa...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania TANESCO tunaomba umeme usikatike kipindi hiki cha Kombe la Dunia

    Najua mpo humu tena ngoja niwatag TANESCO Poleni na majukumu makubwa sana ya kutukatia umeme kila uchwao, sasa mimi nikiwa kama mdau wa soka, kombe la dunia linaanza leo hivyo tunawaomba sana msitukatie umeme mkatunyimba burudani ya soka ambayo huja kila baada ya miaka minne. Kwakuwa TBC1...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nipo tayari kujitolea gharama za matibabu ya akili kwa mkurugenzi wa Tanesco Kariakoo CBD

    Kwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na nitalipa gharama zote za matibabu, this is Insanity!!!!!!!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu Tanesco; Wakati huu wa mgao Futeni kwa muda ma group yote ya whatsapp kwa wateja wenu! Mtanishukuru baadae

    Huduma ni pamoja na kujua kuzichanga karata! Cha msingi lengo ni huduma bora! Dakitali mzuri ni yule anaepambana OP room halafu akitoka inje anarudi na jibu la kueleweka kwamba mgonjwa kafa au kapona! Lakini dakitali anaetoka O.P room kila muda kuongea na ndugu kwamba mgonjwa kapiga chafya...
  10. mwananyaso

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Mkurugenzi Mkuu TANESCO ni usanii mtupu

    Hawa kina Maharage Chande kazi imewashinda kabsaa, wameandaa slide kuhadaa umma hatua za JNHP, wakati si kweli. Kigoma wamezima majenerata, umeme mdogo, unakatikakatika na kusuasua, katoa majibu ya kibabaishaji akimuingiza Ndalichako kutafuta huruma, nonsense kabisa. Mkurugenzi hilo la kigoma...
  11. Kasheshe Mpauko

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Utaratibu wa kutoa takrima TANESCO

    TANESCO Hivi kama nimelipa laki 5 au 7 na ushee bado afisa anahitaji nimpe pesa ili aje kuniunganisha na huduma ninaweza tumia mbinu gani kuipata haki hii ya msingi? Kiukweli hili linachosha sana. Kuna muda unawaza umtege mtu kwa kumpa hela ya moto lakini unamuonea huruma atapoteza kibarua...
  12. maroon7

    JamiiForums Tanzania Nguzo ya Tanesco inaweza kuwa ndani ya uzio?

    Nimekuta nguzo ya Tanesco imewekwa ila iko ndani ya eneo na ninataka kuweza uzio wa ukuta. Kwa wenye uelewa nipeni ushauri,hii nguzo naweza jenga ukuta ikawa ndani ya uzio wangu?
  13. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Apatikane Mbadala wa DAWASA na TANESCO ili kuongeza ushindani na ufanisi wa utoaji huduma

    Wadau, Katika kipindi chote cha kuona serikali tofauti tofauti hapa Tanzania kero ambazo zimekuwa zikijirudia rudia sana ni hii ya upatikanaji wa maji na umeme. Watanzania wameshazoea kuiomba serikali kupewa huduma hizi kitu ambacho ni haki yao tena ya msingi kama walipa kodi. Ifike mahali...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yakiri Umeme hautoshi, TANESCO ina upungufu wa Megawati 190

    Serikali imekiri kuwa na upungufu wa umeme kwa megawati 190 na ndiyo sababu za kukatika au kuwa na mgawo wa mara kwa mara. Kauli hiyo imetolewa leo Novemba 2, 2022 bungeni na Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato wakati akitoa maelezo kama alivyotakiwa na Spika wa bunge Dk Tulia Akson. Dk...
  15. comte

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamejieleza ila kwa chuki za baadhi yetu kwao sidhani kama tunawaelewa

  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yaifutia TANESCO deni la Tsh. Trilioni 2.4

    Kwa kuwa bei ya umeme haiendani na uhalisia wa mauzo, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema halipati mtiririko mzuri wa mapato, hivyo kushindwa kulipa madeni yake ya muda mfupi, hali inayowakimbiza wawekezaji. Hali hii inatokana na ukweli kwamba mara nyingi, Serikali huwa inakopa kisha...
  17. Logikos

    JamiiForums Tanzania TANESCO - The Case of Giving a Dog a Bad Name

    Katika pitapita zangu leo nilikutana na mdau mmoja anaitukana TANESCO kwamba anaichukia kuliko..., Kabla sijamuunga mkono nikakumbuke msemo wa Kingereza Give a Dog a Bad Name so you can Hang it... Nikasema duh hii isije ikawa prelude ya wale wadau wa kuiuza Tanesco au Kuibinafsisha...
  18. Logikos

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuifanya Kampuni ya Tanesco kuwa Kampuni Bora na ya Kujivunia Tanzania na Afrika kwa Ujumla

    Tanzania tumebarikiwa vyanzo vingi vya nishati, Na Tanesco ni kati ya Makampuni mama ya Tanzania ambayo yanaweza yakaitangaza nchi yetu Africa na Pote Duniani (Yaani mfano wa kuigwa) Sio tu kutupatia nishati hapa bali tuweze kuwapa hata majirani zetu na kutuingizia fedha badala ya sasa kutumia...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania DAWASA na TANESCO kwanini hamzingatii ratiba?

    Salaam Wakuu, Kumekuwa na kero kubwa ya kampuni za DAWASA na TANESCO kutoa ratiba ya kuwepo au kutokuwepo na huduma sehemu fulani kwa siku fulani lakini ukiifuata unaambulia patupu. Makampuni haya yamekuwa yakiwapoteza watu mbalimbali kwa sababu ya kutoa ratiba zisizofuatwa. Siku chache...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania TANESCO kumaliza tatizo la umeme Tanga kufikia Machi 2023, waelezea kuzalisha umeme kwa njia ya jua

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeweka wazi mipango yake ya kumaliza tatizo la umeme kwa asilimia 100 Mkoani Tanga kufikia Machi 2023, huku kukiwa na mikakati ya kuzalisha umeme kwa njia ya jua kufikia mwishoni mwa mwaka huu (2022). Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Hashim Mgandilwa...
Back
Top Bottom