tamko

  1. President of China

    JamiiForums Tanzania Kutoka uwanja wa Uhuru: Tamasha la CCM linalojumuisha wasanii Tanzania

    Nitakuwa nakupatia update. Wasanii wote Tanzania kwa moyo wa upendo walitunga nyimbo kuhusu serikali ya CCM. Wapo katika kufanya mazoezi ya nyimbo zitakazotumika kwenye kampeni ya chama kikubwa barani Afrika CCM.
  2. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

    Wakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu? Earthquake M6.1 - 3.495 miles of Field Patch - Tanzania by BMKG (2020-08-12 17:13:13 UTC) -- Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro Pia soma: Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora Tetemeko dogo...
  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tamko la Lissu kusema hatawapa wagombea CHADEMA pesa litasababisha michango yake idode

    Kuna mama mmoja alimuhoji Tundu Lisu kwenye mkutano wa baraza kuu. Aliuliza wewe Kama mgombea urais una mpango gani kutusaidia kifedha wagombea wengine wa udiwani na ubunge? Akajibu hela Hana wasahau ya Lowassa Sasa Kama Hana na wajumbe wengi wanagombea udiwani na ubunge Ina maana akienda...
  4. sixgates

    JamiiForums Tanzania Wanachopaswa kufanya CHADEMA baada ya Tamko la Polisi

    Toka asubuhi nimeona taarifa za hamasa za kumpokea Tundu Lissu. Ni katika kuhamasisha mipango ya ndani ya CHADEMA kumtengenezea ukubwa Tundu Lissu, lakini nasikitika kusema CHADEMA wamefeli kwanzia planning, na execution ya Jambo la Lissu. Nitaelezea siku nyingine hapo kwenye planning ila kwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu atoa tamko baada ya Wakala wake kuchukua fomu, akumbusha sifa za wanaostahili kuwa wadhamini, asisitiza kurudi nchini

    Amesema Ratiba kamili ya tarehe na siku ya yeye kurudi itatolewa na uongozi wa chama baada ya mashauriano. Aongelea pia ukimya wa vyombo husika kuhusu usalama wake na kawatoa hofu Wanachama kuwa atarudi
  6. E

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini, Dotto Biteko tunasubiri tamko la Serikali kuhusu mauaji ya wachimbaji wadogo wadogo

    Kufuatia mauaji ya wachenjuaji wapatao wanne waliokatwa mapanga huko ntambalale kahama niwakati sasa wachimbaji wapewe hadhi yao katika kazi zao kwa kupewa ulinzi ktk maeneo yao yakazi. Haiwezekani kila siku media zinawasifu wachimbaji wadogo kwa kuongeza mapato ya serikali lakini usalama wao...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali ni wakati wa kutoa mwongozo kuhusiana kuhusu ulipaji wa ada shuleni baada ya tamko la Rais shule kufunguliwa

    Kwa miezi mitatu mpaka mitatu na nusu wanafunzi wamekuwa nyumbani kutokana na janga la Corona. Na sasa masomo yamekuwa resumed tunaamini yataendelea na mwishoni mwa mwezi wa 11 au katikati ya mwezi Dec kutakuwa na likizo mpaka Januari. Shule ni Huduma. Tunalipia huduma ambayo ktk miezi hiyo...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako tunaomba utoe tamko kuhusu mwongozo wa elimu baada ya shule kufunguliwa, kuna shule wamebuni michango yao

    Katika shule moja iliyopo wilaya ya Magu, ambayo ni Sekondari ya kata watoto wanatakiwa kupeleka kilo kumi za mchele kila mmoja, hayo ni maelekezo waliyopewa watoto kutuambia wazazi. Shule ina wanafunzi wastani wa 2000×10 = kg 20,000/= na pesa tsh.2000@ mwanafunzi ambazo ni tsh. 4,000,000/=...
  9. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Baada ya tamko lingine la Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania; Je, ni wakati muafaka kwa Serikali kutathimini upya mahusiano yake na taifa hilo?

    Tarehe 11/06/2020 Ubalozi wa Marekani umetoa tamko lingine linaloelezea ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 nchini Tanzania, na kuwashauri raia wake kukaa ndani na kuachana na mizunguko isiyo ya lazima. Taarifa hii inafuatia tahadhari mbali mbali ambazo imekuwa ikizitoa tangu ugonjwa...
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

    Hatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
  11. B

    JamiiForums Tanzania CORONA: Madereva wa Tanzania bado wanazuiwa mpakani, TATOA Watoa tamko

    June 8, 2020 Chama cha wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA) Tanzania Truck Owners Association :: Home wameonesha masikitiko yao kwa nchi jirani na Tanzania kufuatia muendelezo wa kuzuiliwa madereva wa malori wanaotoka Tanzania kuvuka mipaka kwa madai ya kuwa madereva hao wana maambukizi ya...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Nasubiri tamko la Wanademokrasia CHADEMA kulaani mauaji yaliyofanywa na Polisi wa Marekani

    Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani. CC: Mmawia
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tamko la wazee Chadema: Mbowe ndiye kiongozi pekee barani Afrika asiyelipwa posho wala malipo yoyote na chama chake, anajitolea!

    Baraza la wazee wa Chadema limetoa tamko lake la kumtetea Mwenyekiti wa chama hicho dhidi ya njama ovu zinazotekelezwa na wabunge waliohamia CCM wakimtumia Mwita Waitara aliyewahi kuwa mlinzi wa Mbowe. Katika tamko lake baraza la wazee limetaja sifa kuu 3 za Mbowe: Mosi Mbowe ni mwenyekiti...
  14. No Escape

    JamiiForums Tanzania Waganga wa Jadi: Vipi Mbona Hakuna tamko lolote kuhusu hili Janga?

    Au nyie wenzetu mna kinga zenu binafsi,Lakini huu si ndio muda mubashara wa kuonnesha uwezo wenu jamani na kujipiga promo. Mimi siamini km hii kitu mmekosa ufumbuzi au bado mpo maabara,aaaaah! Jamani hata br. Mshana umetuchunia kabisaaa,km haupo vile.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa AZAKI katika mchakato wa uchaguzi, THRDC yatoa tamko

    May 18, 2020 Onesmo Ole Ngurumwa mratibu wa asasi za kiraia. Mwaka 2015 Asasi za kiraia zilishiriki kwa ukamilifu kabisa kutoa elimu ya uraia kupitia TWAWEZA, REDET UDSM, TEMCO , vyombo vya habari AJM , LHRC , Taasisi za Dini , Polisi n.k Mwaka 2020 uchaguzi unakaribia kuna changamoto kubwa...
  16. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Habari! Karibu ili kujuzwa na pia kupata taarifa (masasisho) mbalimbali ya kile kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) almaarufu kama "kirusi cha Wuhan" kutoka nchini China. Katika uzi huu utapata kufahamu mambo mbalimbali hususani hali ya ongezeko na ukuaji, jitihada...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Makonda Mkuu wa Mkoa Dar halitendewi haki

    Tunashangaa sana sisi wakazi wa huku Mburahati NHC kuna vijana wanakaa katika makundi huku wakivuta bangi na kucheza kamali pamoja na janga hili kubwa huku wahusika hawashughuliki nalo tunaomba serikali iliangalie hili kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wanaovuta bangi na kucheza kamali...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri tamko la Mh. Lameck Okambo Airo, Mbunge wa Rorya

    Mhe. Lameck Okambo Airo ni Mbunge wa Rorya kwa awamu mbili toka 2010 -2020. Mwaka jana aliutangazia umma kuwa atastaafu Ubunge na hatagombea tena katika uchaguzi ujao wa 2020. Wenzako tayari wamekwishautangazia umma kuhusu kung'atuka kwao 2020 lakini pamoja na kuutangzia umma mwaka jana kuwa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa / Kiongozi mkubwa kutoa ' Tamko ' pasipo ' Ukomo ' wake ni Kiashirio cha Uweledi wake au Kupotoka Kwake?

    Viongozi wengi wa Mataifa mengi ( Barani Afrika, Ulaya, Marekani na hadi Asia ) nimeona wakiweka Ukomo katika Matamko yao hasa juu ya hili Janga baya la CORONA ( COVID-19 ) ila nasikitika Viongozi wa Mataifa mengine wamekuwa wakitoa tu Matamko yao pasi na Kuwaeleza Wananchi ni lini kutakuwa na...
  20. Zitto

    JamiiForums Tanzania Tamko la ACT Wazalendo kuhusu mlipuko wa Corona

    Tamko la Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Juu ya Ugonjwa wa Corona Ndugu Watanzania A: Utangulizi Dunia imekumbwa na ugonjwa wa Covid - 19 (maarufu zaidi kama Corona). Nchi yetu kama sehemu ya dunia haijasalimika na kadhia hii. Machi 2, 2020 wakati nikitoa hotuba yangu kwenye kikao cha...
Back
Top Bottom