Waganga wa Jadi: Vipi Mbona Hakuna tamko lolote kuhusu hili Janga?

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,677
2,000
Au nyie wenzetu mna kinga zenu binafsi,Lakini huu si ndio muda mubashara wa kuonnesha uwezo wenu jamani na kujipiga promo. Mimi siamini km hii kitu mmekosa ufumbuzi au bado mpo maabara,aaaaah! Jamani hata br. Mshana umetuchunia kabisaaa,km haupo vile.
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
8,256
2,000
Au nyie wenzetu mna kinga zenu binafsi,Lakini huu si ndio muda mubashara wa kuonnesha uwezo wenu jamani na kujipiga promo. Mimi siamini km hii kitu mmekosa ufumbuzi au bado mpo maabara,aaaaah! Jamani hata br. Mshana umetuchunia kabisaaa,km haupo vile.
Hapo ndipo uongo wa waganga unapojulikana. Wanaweza kufanya mabaya tu na kuwadanganya watu lakini linapokuja tatizo la kweli hawana uwezo wowote.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom