tamaa

Tammas is the first album by Samir Joubran duo with his brother Wissam Joubran, released in 2003 labelled "daquí", by Harmonia Mundi.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Wanasimba Tuache kuwakatisha tamaa wachezaji wetu,tuwe na subira,mmemuona Kibu?

    Leo hii KIBU D kawa mchezaji Bora kabisa katika Klabu yetu.kawa muokozi,mleta faraja,mkombozi na mfunga magoli muhimu. Lakini Kibu huyuhuyu miaka miwili iliyopita hakuna tusi aliacha kutukanwa. Kibu alilaumiwa na analaumiwa kwa kufunga goli moja TU msimu mzima na kutofungq kabisa katika...
  2. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Nilifanya hivi kwa mpenzi mwenye tamaa, je, ni sahihi?

    Uyu demu ni material oriented Kuna siku tunaenda nae sehemu Kwa kutembea tumepanga twende Kwa mguu nilikuwa namsindikiza unfortunately akatokea boda akapanda wakasepa Na Huwa namjali kumhudumia nilijisikia vibaya mno Nikaanza kuwa Kila nikimuona demu mzuri kumzidi tukiwa nae demu wangu...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mbowe ameingiwa na hofu. Nini kimempa Hofu na kukata tamaa?

    Habari za Sabato! Nimeona Mbowe Akihojiwa na Kikeke. Kwa kweli hofu ipo dhahiri machoni mwake. Hata body language yake inamkataa akijaribu kuficha hofu yake. Ni kama amekata tamaa pakubwa. Ingawaje wafuasi wake wanahangaika kupambana, na kumtia moyo lakini jitihada Zao zimefua dafu kuondoa...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hotuba binafsi ya Tundu Lissu mbele ya wanaombackup huko ulaya ni ya kinyonge sana na ina dalili zote za kukata tamaa

    Ni wazi muungwana ameenda kuomba milioni 30 alizotakiwa kuchangia na kamati kuu, kama sehemu ya gharama za mkutano mkuu wa chadema taifa na uchuguzi wa Chadema ngazi ya taifa. Hata hivyo ni kama vile hana uhakika wa kuipata. Ieleweke bayana kwamba, mgombea huyu mbinafsi sana wa uenyekiti...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Recep Tayyip Erdoğan wa Turkey, tamaa yake ya kurudisha Ottoman Empire huenda ikamgharimu

    Kwa wale msiojua Rais wa Turkey Recep Tayyip Erdoğan ni Islamist kindakindaki. Kwa sasa Rais huyo kupitia chama chake cha Adalet ve Kalkınma Partisi, (AK Parti) ni muumini mkubwa wa Muslim brotherhood na hapo ndipo wanapokutana na Serikali ya Qatar ambayo ndiyo mfadhili mkubwa wa mbinu zote...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Tanganyika ni tamaa ya madaraka na wanakosa subra tofauti na Zanzibar

    Tamaa ya vyeo, mfuragano nakukosa subra ktk vyama vya siasa 1. NCCR 2. TLP 3. CUF bara 4. Hivi sasa chadema Siasa wanaona mchakato wa siku 1 , 2 au 3
  7. Knock life

    JamiiForums Tanzania Watu ambao mmekata tamaa nawapa njia hii ya uhakika ya kuzifungua njia zako .

    Habari yenu wadau wa JAMIIFORUM. Leo hii nataka kuwapa dondoo kuhusu MAISHA . Watu wengi najua wanapitia magumu Sana wameomba sana Kwa MUNGU Ila wametoka 0-0 na wengine wameroga Sana Ila wametoka 0-0. Siri iliyopo katika haya MAISHA ni (shukrani ). Anza kuwaambia watu neno Asante na anza...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tujadili Demokrasia ndani ya CHADEMA. Je inashawishi ama kukatisha tamaa?

    Matukio, mwenendo na mitazamo ya wengi kwa sasa yamejikita kwenye mchakato wa kupata Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA. Tunachokiona kwa sasa nimnyukano mkali ambao ulianza kama tetesi na hususan michakato mirefu ya chaguzi kuanzia ngazi za chini hadi sasa kwenye nafasi ya juu ya uongozi wa chama...
  9. KENZY

    JamiiForums Tanzania Wanachadema mbona mnakata tamaa mapema..?

    Mbowe kutangaza tu kuwa atagombea tayari kuna wanachama mmetangaza kukiacha chama!, hata uvumilivu hamna!. Kwani wapi amevunja sheria ya kwamba haruhusiwi kutangaza nia yakugombea..? Hata hivyo si uchaguzi utafanyika akishinda huyo mnaemtaka ndo mtarudi ama!, hebu kaeni mpige kura, ili kura...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Wale wenye biashara za familia, hii ndio njia sahihi ya kulinda mali dhidi ya watoto wenye tamaa na majambazi wataoingia kwa njia ya ndoa

    Huwa inatokea mmiliki wa biasahara hasa baba anapotangulia mbele ya haki haya hutokea, Mke hujimilikisha mali zote na pengine yeye kahusika kwenye kifo kwa tamaa ya mali kuna mtoto hasa wa kwanza hupenda kujimilikisha biashara yote akiamini ni haki yake Wengine wanaolewa au kuoa majambazi...
  11. data

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya Ma Influencer wa hapa JF in a one way other wanakatishwa tamaa na hatuwaoni tena

    Nimelitumia hilo neno "influecer" lakini kwa JF ni la hovyoo. Yani inamaanisha Chawa. Sasa mimi sitaki wahita hawa ni chawa ila ni Greatest Boldied Indivuduals. Lakini wameamua tu ku potea..! Why Mshana Jr karibu
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tamaa ya Tundu Antipas Lissu, Kuutaka uwenyekiti wa CHADEMA taifa ni utashi wake binafsi au shinikizo kutoka nje ya nchi kwa wanao mbackup!

    Chairman wa sasa wa Chadema Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe, akizungumzia kusudio la Tundu Antipas Mughwai Lisu kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, kwa namna yoyote ile atakua ameingia kwenye trap au mtego wa kisayansi alotegwa na kukoleza au kuzidisha joto, uhasama na vita ya madaraka ndani ya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Jf ni sehemu kwa ajili ya kutiana moyo na kuelimishana na sio kukatishana tamaa

    Katika maisha Nina amini biashara ambayo inaweza nikafanya wewe ukatoboa kuna mwingine hawezi tobos 👉Tuendelee na moyo huo huo wa wa upendo as wanajamii! 👉Usisite kutoa mawazo yako pale mwenzako anapokwama kifikra 👉Tusiegemee kwenye kulaumu tu pia tutoe na solution ama suluhisho kwa changamoto...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Husimkatie mtu tamaa (mechi ya yanga klabu bingwa)

    Katika kibanda umiza nimekutana na ujumbe maridhawa unasema usimkatie mtu tamaa,ikiwa ni maandalizi ya klabu bingwa yanga huko Algeria, karibuni tujadili tusimkatie mtu tamaa. Kwako mwalimu kashasha
  15. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya amani, tusikubali kutuika kwa maslai ya watu wengine

    🥲🥲
  16. Upepo wa Pesa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Sijaenda kupiga kura baada ya kukumbuka faulu za uchaguzi wa 2020

    Nakumbuka mwaka 2020 nilipoenda kupiga kura nilishangaa yafuatayo. 1. Mpinzani niliyempigia kura hakupata kura hata moja. 2. Baada ya siku kama nne hivi nilionana na rafiki yangu ambaye naye alikua wakala kwenye moja ya vituo (sio nilichopigiankura) alichoniambia ni kuwa kwanza walikula kiapo...
  17. Red black

    JamiiForums Tanzania Wataalamu : Cryosleep ina_faida yoyote kwa binadamu?

    Cryogenic pod (short : cryopod) ni single device iliyotengenezwa kitaalamu to freeze a person in cryogenic suspension. A cryopod imeundwa na vifaa vyote kwaajili ya kumgandisha mtu kwenye cryogenic sleep na kumuamsha tena. karibu kwa mjadala;
  18. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto afutilia mbali mkataba wa kujenga njia za umeme na kupanua Uwanja wa Ndege wa JKIA kati ya Kenya na Adani Group

    Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao...
  19. Maleven

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana tamaa sana kwenye biashara za mtandaoni

    Mfani rj45 connector ni 200 madukani ikizidi 500, mtu anauza 1500 au 2000 Kifaa ambacho dukan ni elf 65, mtu anaweka 120,000. Kifupi wanaweka bei mara mbili ya inavyokua kawaida, watu wanatamaa sana.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Hongera Waziri Mkuu kwa kuagiza mmiliki wa jengo akamatwe, tamaa imemponza

    Naishukuru sana serikali kwa kuchukua hatua dhidi ya mmiliki wa jengo, naomba kuisaidia Jeshi la Polisi kuendelea kusaka taarifa zaidi za tukio hilo lakini kinachosemwa pale kariakoo na watu mbalimbali kisipuuzwe. Mimi nimesikia watu wakisema kuwa mmiliki wa jengo hilo alifanya tamaa, kwamba...
Back
Top Bottom