tamaa

Tammas is the first album by Samir Joubran duo with his brother Wissam Joubran, released in 2003 labelled "daquí", by Harmonia Mundi.

View More On Wikipedia.org
  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha usikate tamaa

    Mungu ndie mpaji wa yotee All d best br
  2. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania CCM achaneni na wahuni wapita njia wapeni nafasi wafia chama mmnawakatisha tamaa sana

    CCM ni chama kikubwa na kikongwe hakiwezi kuwa chama cha kitegemea wahamiaji waganga njaa toka upinzani ili kukisemea. Hao no waganga njaa wamekuja kula walivyoyelea jasho wanaccm kindakindaki. Mnawaumiza sana mnapowapuuza na kuwapa majukwaa na vyeo wale waliokuwa wakiwatukana majuzi tu hapo...
  3. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Safari ya mafanikio vs mishale mingi, kukata tamaa, kukatishwa tamaa,anasa za mwili etc ni ngumu kutoboa kama haupo imara!

    Habari wakuu, Safari ya mafanikio kwa aliyefanikiwa ni rahisi kuisimulia kuliko uhasilia uliopo field. Watu tumekuwa tukitengeneza maneno mengi ya uongo especially maneno ya vijiweni ili mradi kuiridhisha mioyo yetu na hali tulizo nazo. Ukitazama kiurahisi kufanikiwa na kutofanikiwa ni kama...
  4. T

    JamiiForums Tanzania What do you see yourself in the Midst of Poverty, Suffering and Despair; Katikati ya Kukata Tamaa

    Ndani ya dimbwi la umasikini wa kutupwa, Katikati ya shida, magonjwa, sononesho la kutisha. Baada ya kukatishwa tamaa na watu uliowahamini, baada ya jamii kukuambia huwezi, huwezi kutoboa, huna uwezo, hizo ni ndoto, baada ya kuwa betrayed, je bado unafikiri utaendelea kusimama? bado unafikiri...
  5. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Barack Obama: Jinsi ya Kutojisikia Kukata Tamaa - Simama, Chukua Hatua, na Lete Matumaini!

    Barack Obama aliwahi kusema hivi: "The best way to not feel hopeless is to get up and do something. Don't wait for good things to happen to you. If you go out and make some good things happen, you will fill the world with hope, you will fill yourself with hope." Tafsiri hisiyo rasmi ni kuwa...
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo: Kila Mtu amlinde mtoto wake, kuna watu kwa tamaa wanawateka watoto

    Prof. Mkumbo Kufuatia hali ya sintofahamu iliyoripotiwa kutokea eneo la shule ya msingi iliyopo Mburahati Kata ya Mkurumla iliyopo Wilaya ya Ubungo kwa wazazi na walezi kukusanyika kwenye eneo la shule kutokana na hofu ya madai ya watoto kutekwa, Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Taarifa za kuwepo kwa uchakachuaji matokeo zinaweza kuwa na lengo la kuwakatisha tamaa waliopanga kupiga kura kwa upinzani

    Kila kitu kichachofanywa na wanasiasa mara nyingi huwa kinakuwa na sababu nyuma yake, tayari kinakuwa kishapigiwa hesabu kuona nini faida yake na hasara yake. Kauli au taarifa za kuwepo kwa uchakachuzi wa matokeo ya uchaguzi, au wizi wa kura huemda ni moja ya mbinu ya kupunguza idadi ya wapiga...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Wafanyabiashara wakiskia tu tetesi za kuongezeka mishahara hapohapo tamaa inawashika wanapandisha bei bidhaa .

    Wamekaa kuvizia vizia siri za kawaida zivuje za ongezeko la maokoto.tuwe na Imani uwezo wa serikali utakapoongezeka basi hata kada za afya na elimu nanyi mtanufaika ishu kwa sasa ni wingi wenu ndo unaoleta wasiwasi tukisema tufanye kitu huko tutafeli V8 Tulizonunua zinahitaji wese. Liwe tu...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Wenyewe tu hamjiheshimu, mnajirahisisha na mnaendekeza mno Tamaa na Pupa ya Maisha, kwanini msiombwe na Mchakazwe hovyo?

    “Sijui kama inawakuta wavulana lakini rushwa ya ngono kwa wasichana ni tatizo kubwa. Inahitaji uwe jasiri na ujue mifumo ya kuripoti”. - Lydia Charles Moyo (31), Mkurugenzi wa taasisi ya @herinitiative alikuwa mmoja kati ya washindi sita waliopata tuzo ya kimataifa ya Global Citizen mwaka 2024...
  10. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Nachukizwa sana na baadhi ya watu wanye tabia ya kukata tamaa

    Salaam kwa wote, Ni kweli maisha yana changamoto nyingi hilo halina ubishi, Pia ni kweli tumeumbwa kila mmoja na uwezo wake wa kukabiliana na changamoto za maisha. Point yangu ya msingi ni kuwasihi watu wenye tabia ya kukata tamaa haijalishi unapitia chagamoto gani, iwe ni magonjwa, changaoto...
  11. Aggrey sallah

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Kutokukata Tamaa: Mdau, Hadithi Yako ya Mafanikio ni Ipi?

    Katika safari yako ya mafanikio, ni wakati gani ulijikuta karibu sana na kukata tamaa? Ni nani au nini kilikusukuma uendelee mbele? Tunapenda kujua hadithi yako na mambo yaliyokupa nguvu ya kusimama tena na kuendelea kupigania ndoto zako.
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Mchungaji Msigwa kuhamia CCM kutoka CHADEMA, unadhani kiongozi gani mwandamizi kufuata nyayo?

    Msigwa hakuwa mwanachama wa kawaida Chadema, alikuwa kiongozi mwandamizi mwenye dhamana ya kusimamia makamanda na wanachama wa Chadema kanda ya Nyasa, na alikuwa pia mjumbe wa kamati kuu Chadema Taifa. Anajua na kufahamu mambo na vitu vingi sana ndani ya chadema. Anajua vema nia, uwezo, malengo...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Upinzani nchini umekata tamaa, umeishiwa pumzi, au umeridhika na uongozi uliopo nchini

    Dalili na ishara ni za wazi na bayana kabisa, kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024 na ule uchaguzi mkuu mapema oct.2025, itakua na miongoni mwa chaguzi za wazi sana, huru sana na za haki mno, ambazo pia ni rahisi sana kuwahi kufanyika nchini Tanazania, katika mazingira...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Poleni sana wasaka ajira, msikate tamaa

    inasikitisha sana, ina uma sana, na kwakweli inatia huruma na kukatisha tamaa mno, lakini daima usichoke wala kukata tamaa. kumbe ni hali halisi ya maisha na ukosefu wa ajira, ndio inawachochea na kuwavutia kujiingiza katika hali hizo za fedhaha na aibu kubwa kiasi hicho. pole sana rafiki...
  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

    Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma anashikiliwa na Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kusafirisha kinyume na sheria Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia. Akiongea Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Manyara ACP Lucas Mwakatundu amesema tukio hilo limetokea March 23 2024 ambapo gari hilo...
  16. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Tamaa za mali mpaka kupelekea mauwaji ya mtalaka wake

    Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga linamshikilia Jafari Magesa Miaka 31 Mkazi wa Milambo kwa tuhuma za kuunda njama za kumuua mtalaka wake na kitu chenye ncha kali aitwaye Gaudensia Shukuru miaka 25 Mkazi wa Malunga Manispaa ya Kahama. Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga Kamishna Msaidizi...
  17. mackj

    JamiiForums Tanzania Gharama za ada ya usajili wa huduma za technolojia TCRA zinakatisha tamaa wabunifu wanaoanza (start-up innovators)

    Serikali kupitia mamlakaya mawasiliano nchini TCRA inahimiza wabunifu kubuni huduma mbalimbali za kiteknolojia ili kuchochea kasi ya maendeleo na kuboresha huduma ili kurahisisha maisha Lakini kikwazo kikubwa ni ughali wa leseni za usajili wa huduma hizo za kibunifu kwa wabunifu wanaoanza yaani...
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
  19. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Drama ya Mapenzi: Kaka Anayekopesha kwa Riba na Tamaa za mke mchepukaji zasababisha ndoa kuvunjika na mauti

    Kuna kaka (baba) mmoja anakopesha kwa riba, akawa ana date dada mmoja mke wa mtu.... Yule dada na mumewe wakapata dharura, akashauri mumewe wakope pesa kwa mchepuko (mumewe hajui kama mkopeshaji ana date na mkewe) wakaweka nyumba yao kama dhamana. Penzi likanoga, mume akimpa mke marejesho...
  20. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

    Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku. Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu...
Back
Top Bottom