tamaa

Tammas is the first album by Samir Joubran duo with his brother Wissam Joubran, released in 2003 labelled "daquí", by Harmonia Mundi.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

    Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku. Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu...
  2. Ms Billionaire

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Goba njia ya Tegeta A kwenda Madawa na Kulangwa tuna changamoto kubwa ya Barabara

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kazi iendelee. Mama Samia, wakazi na wapiga kura wako wa Goba njia ya Tegeta A kwenda kutokea Madawa na njia Tegeta A kuelekea Kulangwa kupitia makanisa ya Katoliki Tegeta A, na Anglikana Tegeta A tuna changamoto kubwa sana ya barabara haitaki kutatuliwa kwa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Namna nilivyotaka kujiua baada ya kukata tamaa ya kuishi

    Hivi karibuni nyuzi zangu nyingi zimekuwa zikielezea hali halisi ya maisha yangu. Moja wapo ya uzi uliokuja kuokoa maisha yangu ni ule wa..... www.jamiiforums.com/threads/hivi-ni-mimi-tu-haya-maisha-yanataka-kunikataa.2210301/ Na hii ni baada ya kukuta watu wawili walionionea huruma na...
  4. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Hata kama ajira hakuna, bado hatupaswi kuwananga na kuwakatisha tamaa wahitimu na waliopo bado masomoni

    Kumekuwa na wimbi kubwa la watu ambao hawaishi kuwasemea vibaya wahitimu wa elimu ya ngazi za juu hapa nchini. Ni kweli tatizo la ajira linazidi kuwa kubwa lakini sio sababu ya kulaumu na kuwasema vibaya wahitimu. Huwa najiuliza, hao wanaokaa vijiweni na kuanza kuponda wanafunzi wa vyuo kwamba...
  5. rajiih

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii mvua inaniletea tamaa ya kutaka kumla mpangaji mwenzangu ila nafsi inasita

    Habari wana JF poleni na Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kote Nchini Kuna mdada amehamia katika Room inayofuatana na yangu sasa toka amehamia tunaishi poa sana kiasi hata nikiomba mzigo sahii ananipa. Sasa juzi kamerudi kamelewa kakaniomba nikasaidie kufungua mlango wake sikustuka kumuona...
  6. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Mo akizira au kukata tamaa, Simba inadondokea nafasi ya 4

    Wakati mashabiki wenzangu wa Simba tukiendelea kusherehekea ushindi huu, tuweke akilinini mwetu ukweli huu kuwa tajiri akizira tunayatimba.
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Simba SC ya sasa ina 'dema dema' na kukatisha Tamaa, ila Yanga SC nawaonya acheni Kubweteka, Kutudharau na Kumaliza maneno yote sawa?

    Na kumbukeni Simba SC ikifanikiwa tu Kuwafunga katika Derby ijayo Pengo ( Gap ) litabaki la Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na kwa Mkakati wa Dharula wa Kimafia ambao nimeusikia unapangwa mahala upo Uwezekano mkubwa wana Yanga SC wanaojiamini kuwa tayari Wameshakuwa Mabingwa kutokana na Matokeo...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tamaa na haja za kimwili zikiisha upendo wa dhati ama usio wa kweli hujidhirisha bayana

    Lengo na vichocheo vya kimwili vikijitosheleza baada ya kukutana kimwili, ndipo unaweza kuona uzuri na ubaya wa huyo ulokutana nae kwenye tendo. na ndio maana matamanio, hamu, ugwadu na upwiru huchochea sana watu wengi kujielaza kwa uongo na kweli, na kuwashawishi wenza wao hata kwa fedha na...
  9. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Imedhihirika: Yanga Vs Mamelodi Sundowns ndiyo mechi kubwa kuliko zote hatua ya robo fainali, Simba ni kama wamejikatia tamaa kabisa

    Kuanzia mtaani hadi mitandaoni, mechi iliyowajaa midomoni wapenzi na mashabiki wa soka ni ile ya Yanga. Kuna wanaoiamini Yanga na kuona itaibuka kidedea Benjamin Mkapa na hata mwisho wa mechi mbili. Kuna wanaoibeza na kuona imefikia mwisho. Lakini, Yanga ameteka mazungumzo. Kuanzia wachambuzi...
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Yupo sawa au anawakatisha wenzie tamaa?

    Wazee nisiwe mnafiki, niwaambieni tu ukweli. Baadhi yenu hamtatoboa kwenye haya maisha kamwe - labda mbinguni. Yani iko hivyo tangu uumbwaji wa dunia, haiwezekani kila mtu atajirike.
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kwanini familia ya Kikwete inapendekeza mishahara kwa wake wa viongozi wakati tayari wengi wao wako serikalini?

    Moja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete madaraka ya uraisi. Pamoja na mapungufu makubwa aliyoonyesha kiungozi bado aliingiza familia nzima katika urais huku wakipigana vikumbo kutafuta fursa na kujipenyeza. Mengi yanajulikana, lakini kinachoniuma zaidi...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Usikate tamaa, kuwa mkakamavu na mwenye bidii ya kutafuta

    Ukiwa mvivu, mlegevu na asie na bidii, maarifa wala kujituma katika kufanya kazi, kila kitu kwako utaona kimekosewa, kina makosa, dosari au kasoro nyingi sana... Utaishia kulala sana magetoni nyumbani na ukiamka utakunywa chai ya mama na kuanza kulalamika tu, kulaumu, kughadhabika na kuhemka...
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unahitaji nguvu ya ziada kuishinda tamaa ya mapenzi;Kuna nguvu nyingine itakuelekeza huko ili uhangamie na kuwa masikini, ni ngumu kuipinga

    Haya twende kazi bila kurefusha story kichwa cha habari kinajieleza. Unajiapiza nitaenda baa kunywa bia mbili tu, sitaki demu kabisa, tena unachagua sehemu hisiyo na mademu. Ile unamalizia bia ya pili tu, pisi kali ndo zinaingia, kwa mshangao nguvu hiyo hisiyothimilika inawavuta warembo wakae...
  14. Surya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tamaa yangu siku zote ni mapenzi tu, nafurahi nimepewa vingi

    Sitazungumzia Mungu kanibariki kwa kiasi gani, kwa kifupi naweza kusema, I am blessed 🤗🤩 Mitihani ni mingi maishani lakini baada ya kufaulu mitihani hiyo, tunalipwa sawa na elimi zetu. nikutonye. Maandiko yanasema hivi... hakuna aliyeacha wazazi, ndugu, nyumba, watoto kwa ajili ya (kazi ya...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni utaratibu wa kuonana na Rais Samia

    Wakuu habari za jioni. Ni mimi kijana mzalendo wa taifa langu, pia mwanafunzi hapa mlimani , ndugu Wana jf nahitaji kuonana na MH: Daktari Samia Suluhu Hassan nipo na project proposal ya muhimu Sana ambayo itakwenda kuliokoa taifa hili na watu wote kwa ujumla. Najua wengi mtanidhihaki Lakini...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Yadaiwa mzee Ali Hassan Mwinyi (RIP) hajawahi KUKOPA wala KUKOPESHA. Maana yake hakuwa na tamaa

    Binafsi sijabahatika kukisoma na kukimaliza kitabu kinachoelezea maisha yake kilichoandikwa na mzee huyu mwingi wa ucheshi, uungwana na mbobevu wa lugha tamu ya kiswahili. Lkn kwa waliokisoma chote wanaeleza mengi sana yanayodhihirisha kuwa hakuwa mtu wa tamaa. Mojawapo ya maelezo hayo ni...
  17. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Je, ni vema kukata tamaa baada ya kupoteza $20 kwenye biashara?

    Wakuu . Naombeni ushauri juu ya biashara gani nifanye sasa , yaani side hustle. Kwenye moja ya uzi hapa jf kuna thread ya "Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)" Akaeleza kitu kimojawapo ni kuangalia hobby yako. Binafsi mimi ni mtu ambaye hupoteza sana...
  18. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hongereni sana wananchi wanaanza kuwaelewa msikate tamaa kuwazindua wananchi wanahitaji mtu wa kuwasemea

    Juhudi za CHADEMA kuwasemea watanzania na kuwasaidia kujielewa na kuelewa hali zao zinaonekana kuzaa matunda. Ukweli ni kwamba watanzania wengi wanahitaji mtu anayeelewa mambo awafafanulie na kuwapa mwanga kwani kwa kawaida watawala hutumia mwanya wa watu kutoelewa mambo na kuwakandamiza...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

    Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba interview ya Mh. Tundu Lissu pale Wasafi FM imefutwa. Awali ilielezwa kwamba Tundu Lissu angefanya mahojiano katika kituo cha Wasafi. Taarifa zisizowekwa wazi ni kwamba mahojiano hayo yamefutwa kufuatia maelekezo ya CCM --- Taarifa kutoka ukurasa rasmi...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Ulaya yameelewa somo la Hamas.Wanataka taifa la Palestina liundwe haraka.Netanyahu ana tamaa ya ushindi na Hamas wana shaka na juhudi hizo

    Mataifa kadhaa ya Ulaya miezi minne tangu vita vianze bila Israel kupata ushindi ilioutarajia yameunga mkono kuundwa kwa taifa la Palestina. Baadhi ya mataifa hayo ambayo yamekuwa yakpeleka wajumbe wao mataifa ya mashariki ya kati ni pamoja na Uiengereza,Ufaransa,Italy na Spain. Kuundwa kwa...
Back
Top Bottom