Una jambo gani la matumaini la kuwaambia watu waliokata tamaa kabisa?

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Naanza mimi hapa.

Kwanza hakuna kuchelewa kwenye maisha. As long as bado uko hai hakuna kuchelewa ama kuwahi kwenye maisha. Jambo lolote linaweza kutokea wakati wowote.

Mimi nilimaliza form four nikiwa na miaka 22, nikamaliza form six nikiwa na miaka 25. Leo hii vijana wanamaliza chuo kikuu na miaka 21 ama 22.

Baada ya kumaliza chuo form six nikakosa mkopo, ninarudi nyumbani nikawa nachimba dhahabu nikapata pesa ya kuanzia maisha chuo kikuu, mwaka uliofuata nikajiunga na chuo kikuu, nikasoma kwa tabu sana, kwa kuunga unga sana, kwa mbinde sana, nikamaliza chuo kikuu nina miaka 29. Ulikua ukiniona kama vile nina miaka 50, nimechoka, nimekongoroka, nimezeeka.

Nakumbuka kuna dada mmoja wa mtaani nilimtongoza akasema hawezi kutembea na nyumbu (kwamba naonekana kama nyumbu😂 ) vile nilivyopauka. Hakuniambia mimi wazi, alimwambia mwanangu mmoja jamaa akaja akaniambia achana na yule manzi anakudharau sana, anasema wewe ni nyumbu.

Baada ya kumaliza chuo kikuu nikakaa mtaani mwaka mzima, nilifanya kazi za ajabu ajabu ajabu sana hazielezeki. Mwaka mmoja baadae zali likanidondokea, nikapata kazi kwa kampuni moja ya wazungu, mshahara wa maana, namaanisha wa maana, gari ya kutembelea ya ofisi, pesa za vocha kwa mwezi kama mshahara wa mwalimu wa bongo😂, nyumba ya kuishi, safari nje na ndani ya nchi na marupurupu ya kufa mtu.

Ndani ya mwaka mmoja nikasahau machungu yote ya maisha niliyopitia. Nikabadili kabisa maisha yangu na maisha ya nyumbani kwetu, bahati mbaya sana kwangu mama yangu alifariki kabla sijamlipa fadhila zangu kwake.

Wale wazungu nilifanya nao kazi miaka 3 kabla ya Magufuli hajaingia, Magufuli alipokua Rais wakafunga ofisi na kuondoka ila kazi yao ilinipa maisha kama vile nimefanya kazi miaka 20.

Baada ya Magufuli kuingia na kule mkataba kuisha nikakaa tena kama mwaka kisha nikapata kazi mahala pengine.

Kufupisha stori, mtu hutakiwi kukata tamaa, haya maisha kifo tu ndio kikukatishe tamaa na kuzima ndoto zako ila kwa kua bado unaishi, usikate tamaa, jambo lolote linaweza kutokea wakati wowote na sio lazima sana uwe na godfather.

Una chochote cha kuwaambia watu waliokata tamaa? karibu.
 
Naanza mimi hapa.

Kwanza hakuna kuchelewa kwenye maisha. As long as bado uko hai hakuna kuchelewa ama kuwahi kwenye maisha. Jambo lolote linaweza kutokea wakati wowote.

Mimi nilimaliza form four nikiwa na miaka 22, nikamaliza form six nikiwa na miaka 25. Leo hii vijana wanamaliza chuo kikuu na miaka 21 ama 22.

Baada ya kumaliza chuo form six nikakosa mkopo, ninarudi nyumbani nikawa nachimba dhahabu nikapata pesa ya kuanzia maisha chuo kikuu, mwaka uliofuata nikajiunga na chuo kikuu, nikasoma kwa tabu sana, kwa kuunga unga sana, kwa mbinde sana, nikamaliza chuo kikuu nina miaka 29. Ulikua ukiniona kama vile nina miaka 50, nimechoka, nimekongoroka, nimezeeka. Nakumbuka kuna dada mmoja wa mtaani nilimtongoza akasema hawezi kutembea na nyumbu(kwamba naonekana kama nyumbu😂 ) vile nilivyopauka. Hakuniambia mimi wazi, alimwambia mwanangu mmoja jamaa akaja akaniambia achana na yule manzi anakudharau sana, anasema wewe ni nyumbu.

Baada ya kumaliza chuo kikuu nikakaa mtaani mwaka mzima, nilifanya kazi za ajabu ajabu ajabu sana hazielezeki. Mwaka mmoja baadae zali likanidondokea, nikapata kazi kwa kampuni moja ya wazungu, mshahara wa maana, namaanisha wa maana, gari ya kutembelea ya ofisi, pesa za vocha kwa mwezi kama mshahara wa mwalimu wa bongo😂, nyumba ya kuishi, safari nje na ndani ya nchi na marupurupu ya kufa mtu.

Ndani ya mwaka mmoja nikasahau machungu yote ya maisha niliyopitia. Nikabadili kabisa maisha yangu na maisha ya nyumbani kwetu, bahati mbaya sana kwangu mama yangu alifariki kabla sijamlipa fadhila zangu kwake.

Wale wazungu nilifanya nao kazi miaka 3 kabla ya Magufuli hajaingia, Magufuli alipokua rais wakafunga ofisi na kuondoka ila kazi yao ilinipa maisha kama vile nimefanya kazi miaka 20.

Baada ya Magufuli kuingia na kule mkataba kuisha nikakaa tena kama mwaka kisha nikapata kazi mahala pengine.

Kufupisha stori, mtu hutakiwi kukata tamaa, haya maisha kifo tu ndio kikukatishe tamaa na kuzima ndoto zako ila kwa kua bado unaishi, usikate tamaa, jambo lolote linaweza kutokea wakati wowote na sio lazima sana uwe na godfather.

Una chochote cha kuwaambia watu waliokata tamaa, karibu.
"Usikate tamaa. Mvua ya leo inaweza kuleta maua ya kesho."
 
Mwanzo wa Mtu unaweza usitoe picha halisi Unayohitaji lakini mwisho wake ukatoa picha Bora kuliko ile ya Mwanzo , Always the end justifies the Means/ mwisho wa Jambo au mtu ndio hutoa maana ya jambo lolote keep God first the best is yet to come .
 
Naanza mimi hapa.

Kwanza hakuna kuchelewa kwenye maisha. As long as bado uko hai hakuna kuchelewa ama kuwahi kwenye maisha. Jambo lolote linaweza kutokea wakati wowote.

Mimi nilimaliza form four nikiwa na miaka 22, nikamaliza form six nikiwa na miaka 25. Leo hii vijana wanamaliza chuo kikuu na miaka 21 ama 22.

Baada ya kumaliza chuo form six nikakosa mkopo, ninarudi nyumbani nikawa nachimba dhahabu nikapata pesa ya kuanzia maisha chuo kikuu, mwaka uliofuata nikajiunga na chuo kikuu, nikasoma kwa tabu sana, kwa kuunga unga sana, kwa mbinde sana, nikamaliza chuo kikuu nina miaka 29. Ulikua ukiniona kama vile nina miaka 50, nimechoka, nimekongoroka, nimezeeka. Nakumbuka kuna dada mmoja wa mtaani nilimtongoza akasema hawezi kutembea na nyumbu(kwamba naonekana kama nyumbu😂 ) vile nilivyopauka. Hakuniambia mimi wazi, alimwambia mwanangu mmoja jamaa akaja akaniambia achana na yule manzi anakudharau sana, anasema wewe ni nyumbu.

Baada ya kumaliza chuo kikuu nikakaa mtaani mwaka mzima, nilifanya kazi za ajabu ajabu ajabu sana hazielezeki. Mwaka mmoja baadae zali likanidondokea, nikapata kazi kwa kampuni moja ya wazungu, mshahara wa maana, namaanisha wa maana, gari ya kutembelea ya ofisi, pesa za vocha kwa mwezi kama mshahara wa mwalimu wa bongo😂, nyumba ya kuishi, safari nje na ndani ya nchi na marupurupu ya kufa mtu.

Ndani ya mwaka mmoja nikasahau machungu yote ya maisha niliyopitia. Nikabadili kabisa maisha yangu na maisha ya nyumbani kwetu, bahati mbaya sana kwangu mama yangu alifariki kabla sijamlipa fadhila zangu kwake.

Wale wazungu nilifanya nao kazi miaka 3 kabla ya Magufuli hajaingia, Magufuli alipokua rais wakafunga ofisi na kuondoka ila kazi yao ilinipa maisha kama vile nimefanya kazi miaka 20.

Baada ya Magufuli kuingia na kule mkataba kuisha nikakaa tena kama mwaka kisha nikapata kazi mahala pengine.

Kufupisha stori, mtu hutakiwi kukata tamaa, haya maisha kifo tu ndio kikukatishe tamaa na kuzima ndoto zako ila kwa kua bado unaishi, usikate tamaa, jambo lolote linaweza kutokea wakati wowote na sio lazima sana uwe na godfather.

Una chochote cha kuwaambia watu waliokata tamaa, karibu.
Kila mtu akate alicho nacho. Kama ana tamaa aikate hiyo, kama ana mafanikio naye ayakate hayo. Mtu kakata tamaa unataka kumfanyaje? Akukate wewe?
 
Endelea kupambana wala usikate tamaa as long as Bado uko hai. Baada ya Dhiki ni faraja .
 
Naanza mimi hapa.

Kwanza hakuna kuchelewa kwenye maisha. As long as bado uko hai hakuna kuchelewa ama kuwahi kwenye maisha. Jambo lolote linaweza kutokea wakati wowote.

Mimi nilimaliza form four nikiwa na miaka 22, nikamaliza form six nikiwa na miaka 25. Leo hii vijana wanamaliza chuo kikuu na miaka 21 ama 22.

Baada ya kumaliza chuo form six nikakosa mkopo, ninarudi nyumbani nikawa nachimba dhahabu nikapata pesa ya kuanzia maisha chuo kikuu, mwaka uliofuata nikajiunga na chuo kikuu, nikasoma kwa tabu sana, kwa kuunga unga sana, kwa mbinde sana, nikamaliza chuo kikuu nina miaka 29. Ulikua ukiniona kama vile nina miaka 50, nimechoka, nimekongoroka, nimezeeka. Nakumbuka kuna dada mmoja wa mtaani nilimtongoza akasema hawezi kutembea na nyumbu(kwamba naonekana kama nyumbu😂 ) vile nilivyopauka. Hakuniambia mimi wazi, alimwambia mwanangu mmoja jamaa akaja akaniambia achana na yule manzi anakudharau sana, anasema wewe ni nyumbu.

Baada ya kumaliza chuo kikuu nikakaa mtaani mwaka mzima, nilifanya kazi za ajabu ajabu ajabu sana hazielezeki. Mwaka mmoja baadae zali likanidondokea, nikapata kazi kwa kampuni moja ya wazungu, mshahara wa maana, namaanisha wa maana, gari ya kutembelea ya ofisi, pesa za vocha kwa mwezi kama mshahara wa mwalimu wa bongo😂, nyumba ya kuishi, safari nje na ndani ya nchi na marupurupu ya kufa mtu.

Ndani ya mwaka mmoja nikasahau machungu yote ya maisha niliyopitia. Nikabadili kabisa maisha yangu na maisha ya nyumbani kwetu, bahati mbaya sana kwangu mama yangu alifariki kabla sijamlipa fadhila zangu kwake.

Wale wazungu nilifanya nao kazi miaka 3 kabla ya Magufuli hajaingia, Magufuli alipokua rais wakafunga ofisi na kuondoka ila kazi yao ilinipa maisha kama vile nimefanya kazi miaka 20.

Baada ya Magufuli kuingia na kule mkataba kuisha nikakaa tena kama mwaka kisha nikapata kazi mahala pengine.

Kufupisha stori, mtu hutakiwi kukata tamaa, haya maisha kifo tu ndio kikukatishe tamaa na kuzima ndoto zako ila kwa kua bado unaishi, usikate tamaa, jambo lolote linaweza kutokea wakati wowote na sio lazima sana uwe na godfather.

Una chochote cha kuwaambia watu waliokata tamaa, karibu.
Hustler nazijua...NJAA naijua hapa naomba utofautishe NJAA NA HAMU YA KULA...😊

Cv tulitembeza sana kama sehemu 200 lakini hola.....

OGOPA SANA ukienda kwenye Interview uku umekamia sanaaa...mm natabia Moja ya kuto kuogopa na hofu....
Kuna mtoto wa waziri wa ulinzi sikua na mjua aliwai kuwa fanyia ndivyo sivyo Raia nikamchana bila kumjua Nikaona raia wanaogopa na kunionea huruma sabb wanamjua yule dogo ni noma...

Mm ni kama Che Guevara hata ukiniweka cage Moja na fisi au chatu au bastola Huwa siogopi.....
Death is constant because are there to stay..... You carry life and death right 😊
My ex girlfriend by then & all people around me they are use to say NIMEBARIKIWA AKILI ZA DARASANI LAKINI SIO AKILI ZA MAISHA.......

Miaka ilikatika Leo 🦁 ni Mimi sio kama Jana
NB: Fanya kile ambacho unakiamini au Die trying....
 
Wakaze,Dunia si lelemama...wakilegea watajiua....just focus!
Tupe story yako.....Mm baba angu mzazi ni rika Moja na MEMBE mzee wangu hajawai ku hustler......

Alifaulu SHULENI akaingia kwenye mfumo...😊

Mm niliwaza labda sijaumbiwa better days....

All in all siku yako ipo hata kama itachelewa sanaa 😊😊

Sio kila binadamu ameumbiwa hustler....😊😊
 
Kila jambo lina mwisho,
Maisha ni mapambano
Matatizo ni sehemu ya maisha
Matatizo hayaishi ni kukabiliana nayo tu
Vyovyote iwavyo, songa mbele, vumilia kutakuchwa tu.
 
Maisha ukiyafanya siriaz sana yatakupeleka makosaa..
Mimi kila nnavyoona sitoboi ndio nikawa naona milango iko wazi.sikutumia nguvu nyingi sana life likaja vizuri tuu.

All in all naamini maisha ni bahati tu na kila mtu anaye ya kwake!haitakupita itakuja kama vile riziki mafungu saba.

Hapo ikija ndio kuna msemo.

Uendelee au usiendelee!
Hilo ni jukumu lako wala usije kumlaumu mtu baadae wala usijilaumu nafsi yako
 
Kuna wakati tunakata tamaa haswa tunapojaribu kujipambania nakufeli mara nyingi na kila ukitafuta wakukupa mkono hakuna upo mwenyewe katika vita usiojua utaishinda vipi na lini
 
Back
Top Bottom