TAKUKURU wakae pamoja na trafiki barabarani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,955
22,128
Ni bora faini ziende serikalini, sio kwa yanayotokea njia ya Goba.

Kuanzia Massana Hospital mpaka Mbezi Mwisho ni aibu juu ya aibu. Mabasi yanasimamishwa makonda wanatoa hela wanaweka kwenye makaratasi na kugaia.

Shida sio tu kutoa hela. RTO hebu hakiki hili barabarani

Ukitokea Masana Hosp mpaka Mbezi unakutana na trafiki si chini ya 10+ wamekaa vituo zaidi ya saba na wote hao unakutana wanakusimamisha kosa hilo hilo.

Nafikiri wakati muafaka sasa TAKUKURU watoke maofisini wakakae wanaposimama matrafiki kama ni faini tuongeze pato letu kuliko yanayoendelea.

Hakuna anaetoa gari njian akawa salama. Mjitahidi hata mwezi June jamani muwaelishe watu waliokosea wajue makosa yao kama mama yetu alivyoshauri.

Hizi faini ama za brush mna-force mtu anaenda kupeleka chakula cha mtoto hospitali. Mtabeba laana. Mpeni elimu asirudie tena

Mungu awape kuwafungua mjali zaidi wananchi wapate elimu.

Mbarikiwe
 
Ningekuwa na mamlaka, ningeanzisha kampeni ya kuwaondoa askari polisi wote wenye vitambi! Hawa ndiyo wala rushwa wakubwa.

Huwezi kumkuta Askari wa JKT au JWTZ ana kitambi! Ila ukienda Polisi, wamejaa! Siyo wanawake, siyo wanaume. Wote wamejaa matumbo!
 
Kitengo cha Trafiki kifumuliwe- hawa waliopo wapelelkwe FFU na kulinda mabenki na nyumba za wakuu wa mikoa na Wilaya.
 
Ni nani yuko nyuma ya hawa watu? wanalalamikiwa miaka nenda rudi, wananchi wanateseka hakuna anayewachukulia hatua, TAKUKURU hawezi akishashindwa kitambo, na kamwe mbwa hawezi kumkamata mbwa mwenzake.
 
Piiidiiiidiiii pole ulifungiwa mazeee ma nigga hdhehegegehensueks it s to dnuss de h my dead e
 
Back
Top Bottom