Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe. Mwita Waitara, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania tulimpa heshima Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyrere, Pia ni raihisi aliyeahidi hakuna kazi itakayosimama na zikaendelea.
Pia Mbunge wa Tarime Vijijini anasema Rais...