taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mama wa Taifa Zambia ashitakiwa kwa tuhuma za wizi

    Kesi dhidi ya aliyekuwa Mama wa Taifa wa Zambia Esther Lungu, mke wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Edgar Lungu, imeanza mjini Lusaka. Anashitakiwa kwa tuhuma za wizi wa magari matatu, wizi wa hatimiliki ya mali huko Lusaka na kupatikana na $400,000 zinazodaiwa kuwa mapato ya uhalifu. Anakabiliwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ukimya na Usiri wangu unanifanya nionekane Usalama wa Taifa

    Iko hivi 1. Mimi sinywi pombe, sigara wala siendi club hivyo sina sababu ya kwenda sehemu za starehe kama bar. 2. Sina ushabiki wa mpira, hivyo sina sababu ya kujichanganya kwenye stori za mpira au mabanda ya mpira. 3. Sina account ya mitando ya kijamii kama instagram, Facebook au Twitter, nk...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa ndege wa Taifa la Tanzania ni bundi?

    Nchi nyingi huwa na ndege, mnyama, mdudu, ua, mti. . . Vya taifa. Mnyama wa taifa la Tanzania anajulikana ni twiga ila hivyo vingine havijulikani au labda havipo. Katika kusearch ndege wa taifa la Tanzania nikakutana na bundi wa Usambara(Usambara Owl-Eagle) wanasema ndiyo ndege wa taifa la...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kikosi bora cha team ya Taifa, Afrika nzima haijawahi tokea hii combination

    Hiki kikosi cha Super eagles ndio kikosi bora cha Muda wote. Algeria walijaribu kukaza mpaka nusu fainali ya WC ila ubora wao haujawafikia hawa jamaa Waulize Spain walivyokandwa kwenye world cup 1998.
  5. JamiiForums Tanzania Yaliyojificha juu ya historia ya hifadhi ya taifa Arusha na maajabu ya vivutio vyake (episode 2)

    EPISODE 2 Hifadhi hii ina vivutio vingi vyenye upekee wake vyenye kukufanya ubaki na kumbukumbu zisizofutika. ZIWA MOMELLA Ndani ya hifadhi ya taifa Arusha kuna mgawanyiko wa maziwa makuu mawili. Hakuna mito inayopeleka maji kwenye maziwa hayo bali huingiza maji kutoka chini ya ardhi. 1...
  6. JamiiForums Tanzania Yaliyojificha juu ya historia ya hifadhi ya Taifa Arusha na maajabu ya vivutio vyake

    YALIYOJIFICHA JUU YA HISTORIA YA HIFADHI YA TAIFA ARUSHA NA MAAJABU YA VIVUTIO VYAKE. EPISODE 1 Hifadhi ya taifa Arusha inapatikana kaskazini mwa Tanzania ndani ya mkoa wa Arusha. Ni hifadhi inayokadiriwa kuwa na kilomita za mraba zisizopungua 500 sq. km. Huchukua takribani dakika 45 kuifikia...
  7. JamiiForums Tanzania Tabora: Mbunge Jacqueline Kainja katika Mapokezi ya Katibu Mkuu UWT Taifa Ndg. Jokate Mwegelo

    Jacqueline Kainja Andrew, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora katika Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Ndugu Jokate Urban Mwegelo katika Mkoa wa Tabora Wilaya ya Igunga. Pamoja na mwaliko aliopewa na Kanisa Katoliki kuwa Mgeni Rasmi kwenye Kongamano...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Taifa liache unafiki. Hivi uovu wa Gekul unafikia hata robo ya ule wa Makonda?

    Kama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu. Ushahidi uko wazi kabisa: Lissu kamtaja hadharani, mwandishi wa magazeti ya Mwanahalisi kafungua...
  9. JamiiForums Tanzania Draw na vipigo kwa mkapa na uhuru vitazoeleka, Ndumba mama ya Simba ilifukuliwa kipindi cha marekebisho ya uwanja

    Ni wazi kwambasimba inajibusti kwa nguvu za ndumba wakiwa uwanjani na mara kadhaa hufanya wazi wazi hata kama ni nje ya nchi. Ndumba mama ni roho ya ndumba zingine, bila ndumba mama ya Simba inakuwa ngumu ndumba zingine kufanya kazi kama zile za wachezaji kuvaa viunoni, wachezaji kutumwa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aizawadia Timu ya Taifa (Zanzibar) ya vijana chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys) Shilingi Milioni 50

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki hafla ya chakula cha mchana alichowaandalia Wachezaji na Viongozi wa Timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys), Ikulu Tunguu visiwani Zanzibar leo tarehe 25 Novemba, 2023 ameizawadia timu hiyo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kinachonipa hofu mechi ya Yanga, ni wachezaji kutokuwa pamoja kambini hivi karibuni wakitumikia timu zao za Taifa kufukuza Fainali za Kombe la Dunia

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, hii ndio hofu yangu kwa mechi ya leo kwani baadhi ya wachezaji wetu wa humu ndani na wale wa kimataifa, walikuwa wanatumikia timu zao za Taifa katika kusaka nafasi ya kushiriki kombe la Dunia mwaka 2026. Sasa sijui wamekaa kambini kwa siku ngapi ingawa bado...
  12. JamiiForums Tanzania Rais wa Cuba aongoza maandamano kuunga mkono Hamas. Waziri Mkuu wa Spain amwambia Netanyahu taifa la Palestina ni lazima liwepo

    Rais Miguel akiongoza maandamano Havana kuwaunga mkono Hamas. Katika hali ya mabadiliko ya haraka kufuatia mashambulizi ya Hamas ya Oktoba sana huko Cuba Rais wa nchi hiyo ameongoza maandamano ya maelfu ya raia wake katika kuwaunga mkono Hamas na harakati zao za kutetea haki ya kuishi kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Taifa Stars ni mali ya TFF au Serikali?

    Unajua moja ya shida ya nchi hii ni serikali na wanasiasa kuwaonea donge watu na taasisi binafsi pale zinapoonekana kupata ushawishi, umaarufu na nguvu kuwazidi wao. Hili limekuwa ni tatizo kubwa kuliko wengi wanavyodhani au kufikiri. Matokeo yake wamekuwa wanatumia nguvu kubwa kutengeneza watu...
  14. JamiiForums Tanzania 2030 Uvuvi Uchangie Asilimia 10 ya Pato la Taifa

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema katika bajeti ya mwaka 2024/25 mpango wa Serikali kupitia Wizara yake ni kuendelea kutenga kiasi kikubwa cha fedha katika sekta ya uvuvi ili kuiwezesha kuchangia katika Pato la Taifa kwa Asilimia 10 ifikapo mwaka 2030. Waziri Ulega amesema...
  15. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mshauri wa Usalama wa Taifa wa Obama, Stuart Seldowitz anaonesha ubaguzi wa wazi kwa Wapestina

    Wanaukumbi. Islamophobia and blatant discrimination is widespread in many Western countries. This is supposedly a video of Stuart Seldowitz, a former advisor to President Obama threatening a food vendor. This systematic prejudice against Muslims is sadly found on both sides of the aisle...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi leo wamefurahia Taifa Stars kufungwa na Morroco, sababu kubwa ni TFF kuruhusu siasa kwenye soka

    Kila vijiwe watu wanachekelea tu Ziech ziech. Huu upuuzi umefanya stars kuchukiwa.👇
  17. JamiiForums Tanzania Taifa Stars ipo kwenye njia sahihi; jana nimeziona pasi mpenyezo na kukaba kwa kuwapokonya mipira mabeki wa timu pinzani

    Tuweke siasa pembeni, Hii timu tangu nchi hii ianze ilikuwa inatia aibu sasaivi naanza kuona mageuzi ya soka ktk timu yetu ya taifa. Wachezaji hawabweteki tena ukizingua hupangwi kila mtu anataka ufalme pia mpira wetu umekua wa kimkakati. Uzi tayari
  18. JamiiForums Tanzania Taifa Stars ya sasa inanikumbusha kikosi cha "Kakakuona"

    Mageuzi ya kweli kwenye jambo lolote huwa yanahitaji kufanya maamuzi magumu. Wakati mwingine maamuzi hayo yanaweza kushtua watu, yanaweza kuogopesha wengine, yanaweza kukatisha tamaa kwa baadhi na utegemee lawama na shutuma nyingi. Nimependa ushujaa wa Kocha wa Taifa Stars Amrouche ambaye...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa inakosaje kuwa na basi lake?

    Wakuu, Nimekutana na video ikionesha Timu ya Taifa inainga uwanjani kwaajili ya mchezo wake na Morocco, wakitumia basi ya Super Feo. Namnukuu Msigwa kama alivyoandika kwenye ukurasa wake Instagram; " Taifa Stars imeingia kibabe sana leo Uwanja wa Benjamin Mkapa. Kitu cha Marcopolo, sio mchezo!"...
  20. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…